Uhusiano wa Franco na Mobutu

Uhusiano wa Franco na Mobutu

Hahaha ,mkuu ,franco alipendwa sana na wazee enzi hizo,
Mkuu mbona kama kuna vitu umepotosha kama sio kuviacha kabisa...???

Franco hakuwa na mahusiano mazuri na Mobutu na hii ni kutokana na kuwa mkosoaji mkubwa wa serikali...,au mimi ndio sijui..??? Unakumbuka kile kisa cha Franco kufanya mapazia ya milango na madirisha ya nyumbani kwake kitambaa cha suit ya Mobutu..??? Ambacha Mobutu alikiona kama kitendo cha fedheha kwake...!!!

Unajua Franco hakwenda Ubelgji kwa kupenda mwenyewe bali ni kwa usalama wake baada ya kuwa na hali kutoelewana na serikalini ya Mobutu...???

Mkuu hebu tuletee Uzi ulioshiba na wenye historia ya kweli baina watu hawa maarufu sana kwetu sisi wahenga.
 
Mkuu, franco alikua na uhusiano na mobutu ambao kuna muda walikua marafiki na kuna muda wanakosana, na mara zote ni sababu ya franco kumkosoa mobutu

Hata mwanae franco juzi kuna kipindi kinaitwa faces of africa kasema baba yake alinufaika sana na mobutu

Amini hivyo,
Na sababu ya franco kwenda ubeligiji sio mobutu,ni sababu ya kuumwa ,alizunguka hospitali za kinshasa akaona aende ubelgiji

Kuna nyimbo yake hadi anaelezea maneno ya watu walivyokua wakimuona mahospitali ,anasema hivi

" balobi bamonie a ngaliema " akimaanisha wanavomsema akilivoenda hospitali ngaliema pale kinshasa

"Balobi,bamwonie a brusells" walivokua wakimuona ubelgiji

Kwa kifupi,franco alibaki zaire,ila band yake ilikua na branches europe,,hakumkimbia mobutu
 
Kama kumbukumbu zangu ziko vizuri ni kwamba UKIMWI uliingia Afrika miaka ya 80, sasa ikawaje UKIMWI huo huo ambao tunambiwa na watalaam huchukua miaka nane tangu kuambukizwa ndo dalili zake zionekane ukagharimu maisha ya Franco ndani ya miaka hiyo ya 80..Niko tayari kurekebishwa..Vinginevyo shukrani zimwendee aliyetuletea historia hii na pia wale wote ambao hawakusita kuchangia pale ambapo waliona wana cha kuchangia na wale pia waliouliza maswali yaliyopelekea historia hii kuongezewa nyama.
Hata mimi naskia hivo,ukimwi uligundulika miaka hiyo,

Kuhusu franco,hata mi nashangaa,na sio kwa franco tu hadi mtoto wa mobutu anaitwa kongulu alikufa 1998 ,

Bora hata franco alikonda,kongulu hakukonda na alikua na pesa sasa hua najiuliza ni vipi afe ,tena akiwa na afya
 
mke wa kwanza wa Mobutu aliejulikana kama Marie Antoine alifark mwaka 1977 kutokana na kipigo kutoka kwa Mobutu alikimbizwa hospital nchini uswiss lkn alifariki
watoto wawili wa Mobutu walikufa kwa ngoma
mmoja mwaka 1994(huyu ndie mtoto wake wa kwanza alizaliwa 1955)
meingine anaitwa kongulu Mobutu alifariki mjini Monaco 1998 huyu alizaliwa 1975 na alikuwa askari ktk kikosi cha kumlinda Mobutu alikuwa anabaka msichana yoyote amtakae hakukuwa na wa kumuuliza,akiamua anaenda shule anatafuta mwanafunz yyote anaenda kumla,mwishow ukimwi ulimmaliza
Nina picha yake ntaituma,aliitwa pia saddam hussein ,kuna kipindi hawakuelewana na mobutu akaenda middle east kisa pesa haramu,,mobutu akatuma walinzi wake wamuombe arudi home
 
Mobutu alifuja hela za nchi mno
hadi anakufa alikuwa na Pesa cash dola billion 3 za marekan achana na asset nyingne
hadi juz juz serikali ya uswiss ambalo kulikuwa na akaunt ya Mobutu waliamua kuwagawia hizo hela familia ya mobutu
Inakadiriwa kuwa usd bill 5 ,,ana rekodi ya kutumia usd mill 2 kwa siku kwa ajili ya bill ya hotelini,

Alipenda sana mercedes benz,akawa nazo model zote mpya
 
Kongulu.jpeg

Wakuu,huyu ndiye kongolu mobutu a.k.a saddam hussein,nita muelezea siku nyingine
 
aisee kumbe yupo? alipona ukimwi enzi hizo?
Alipona,
Ingawa Yule Dada wa Yondo sister ulimwangusha mapema,
Kama una kumbukumbu kuna wakati kile kipindi cha kina Jollie Detta kulikuwa na huyo Jollie na Kusalla ndugu wa Yondo alikuwa mwanamke mrembo na anaijua kazi yake ya kuimba na kuchezea jukwaa.

Ukweli ukimwi uliitafuna sana tasnia ya muziki nchini humo!
 
Marehemu Mpudi Decca. Alijiunga na OK Jazz mwanzoni mwa 1970's. Mpiga besi mahiri sana.
Gitaa LA besi la Mpudi Decca lilikuwa na sauti ya Tp Ok Jazz halisi mkuu.
Kwa wasikilizaji wa bendi hiyo nadhani wanaelewa maana yake.
 
Kama kumbukumbu zangu ziko vizuri ni kwamba UKIMWI uliingia Afrika miaka ya 80, sasa ikawaje UKIMWI huo huo ambao tunambiwa na watalaam huchukua miaka nane tangu kuambukizwa ndo dalili zake zionekane ukagharimu maisha ya Franco ndani ya miaka hiyo ya 80..Niko tayari kurekebishwa..Vinginevyo shukrani zimwendee aliyetuletea historia hii na pia wale wote ambao hawakusita kuchangia pale ambapo waliona wana cha kuchangia na wale pia waliouliza maswali yaliyopelekea historia hii kuongezewa nyama.
Kwa wengi tunajua Franco alifariki kwa ukimwi,
Lakini kuna taarifa zingine zinakinzana na taarifa hiyo.

Kuna baadhi ya taarifa zinasema kifo hicho kilisababishwa na maelewano mabaya kati yake na Mobuttu,
Na mtu aliyefanikisha mipango ya kuweka sumu katika mic ya Franco ni MTU wake aliyempenda sana Madillu.

Ukiangalia Franco aliugua na kupungua haraka sana, mashavu yake yalibonyea kwa ndani kwa haraka sana pia kama mtakumbuka wakati wa kutoa albam ya forever akiwa na Sam Mangwana alikuwa kapungua ghafra.

Inasemekana Madillu alipewa cheki tupu na kutakiwa ajaze mwenyewe kiasi anachohitaji toka kwa Mobutu, alijaza US$ 500,000 na kazi akaifanya,
Na kuhamia Marekani, na kuna baadhi wanasema baada ya kifo cha Franco, Madillu aliimba nyimbo nyingi za kumuomboleza rafiki na kiongozi wake wakati akijua ni yeye alihusika kwa tamaa ya pesa.

Kifo cha mtu maarufu huacha simulizi nyingi za kweli na zisizo na ukweli, hivyo kila mmoja anaweza kuamini sehemu au chanzo cha habari anachokiamini.
 
Alipona,
Ingawa Yule Dada wa Yondo sister ulimwangusha mapema,
Kama una kumbukumbu kuna wakati kile kipindi cha kina Jollie Detta kulikuwa na huyo Jollie na Kusalla ndugu wa Yondo alikuwa mwanamke mrembo na anaijua kazi yake ya kuimba na kuchezea jukwaa.

Ukweli ukimwi uliitafuna sana tasnia ya muziki nchini humo!
i wish wangekuwepo hadi Leo,sida iliwatafuna haswaa
 
Kwa wengi tunajua Franco alifariki kwa ukimwi,
Lakini kuna taarifa zingine zinakinzana na taarifa hiyo.

Kuna baadhi ya taarifa zinasema kifo hicho kilisababishwa na maelewano mabaya kati yake na Mobuttu,
Na mtu aliyefanikisha mipango ya kuweka sumu katika mic ya Franco ni MTU wake aliyempenda sana Madillu.

Ukiangalia Franco aliugua na kupungua haraka sana, mashavu yake yalibonyea kwa ndani kwa haraka sana pia kama mtakumbuka wakati wa kutoa albam ya forever akiwa na Sam Mangwana alikuwa kapungua ghafra.

Inasemekana Madillu alipewa cheki tupu na kutakiwa ajaze mwenyewe kiasi anachohitaji toka kwa Mobutu, alijaza US$ 500,000 na kazi akaifanya,
Na kuhamia Marekani, na kuna baadhi wanasema baada ya kifo cha Franco, Madillu aliimba nyimbo nyingi za kumuomboleza rafiki na kiongozi wake wakati akijua ni yeye alihusika kwa tamaa ya pesa.

Kifo cha mtu maarufu huacha simulizi nyingi za kweli na zisizo na ukweli, hivyo kila mmoja anaweza kuamini sehemu au chanzo cha habari anachokiamini.
hili nalo neno
maana Franco alikonda mno akawa kama mbwa anaenyonyesha,lakin wakati wa mauti yake miaka ile ya 1980's Franco na Mobutu walikuwa wanaelewana? ile nyimbo ya kumpamba ya candida na bisso n ya 1984
lakin kuna ukweli kwa kiasi maana madilu alitajirika mno baada ya kifo cha luambo hii inaweza kuwa kweli
 
View attachment 719588
Wakuu,huyu ndiye kongolu mobutu a.k.a saddam hussein,nita muelezea siku nyingine
naam huyu ukimwi ulimuua mwaka 1998 pale Monaco
aligegeda kila aina ya binti aliempenda na alikuwa na uwezo wa kwenda shule fulan anaopoa binti anaenda Ku gegeda bila MTU yoyote kumuiliza,alikuwa moja ya ma body guard wa Mobutu Babae
 
Back
Top Bottom