Uhusiano wa Franco na Mobutu

Uhusiano wa Franco na Mobutu

Kuna nyimbo ya franco na tabu ley ,wanasema "kinshasa makambo ngai mwana mutu," franco aliimba nyimbo kama 3 kulalamikia umbeya wa kinshasa ,nimejaribu kutuma nyimbo yake ya mwisho iliyorekodiwa 89 na kuachiwa miaka ya 90 ikagoma
pia kuna nyingne aliimba na tabu ley inaitwa ngungi sijui tafsir yake
mkuu we unajua kilingala/French?
 
hivi mke wa Franco yupo?
ninafahamiama na mtoto wa Franco anaitwa Yves emongo luambo katika Facebook
 
pia kuna nyingne aliimba na tabu ley inaitwa ngungi sijui tafsir yake
mkuu we unajua kilingala/French?
The lingala word ngungi means fly in english, but here in this song it means gossipers.
The song tells the story of how gossiper annoy people.
Translation of the intro
Nazoki molangi eh
(I am wounded by a glass)
Nga mwana maman
(I am telling you)
Na pesa nzoto nanga na Nzambe
(I have given by body to God)
Mosolo nako liaka se na nzembo
(I feed myself through music)
Mopepe nga nako pemaka oyo ya bato nyoso
(I breathe the same air as everyone else)
Mosuni ya nzoto naga suka ya elengi
(My flesh is sweet to (the flies), or people love talking about me)
Moto nyoso ako luka kaka a gouter maman
(Everyone want to taste it)
Luambo eh eh
(Luambo eh)
Po na nini mosuni ya nzoto ya mwana ya moto
(Why is it that someone’s flesh)
Bo lingi bo lia yango lokolo mosuni nde ya nyama
(You want to eat it like meat from an animal)
Boko kende na yango wapi na Kinshasa oyo
(Where are you going to take it in Kinshasa)
Bo tika asala, asala a koba
(Let him work, work and carry on working)
Bo lingi nini na nzoto naye bandeko
(What do you want from him?)
Ley, yamba nalembi bato oyo eh Ley
(Sing, Ley, I am tired of these people)
Kinshasa makambo eh
(Kinshasa has problems)
Ngai mwana ya maman
(I am telling you)
Nasi na mesana na kotongo
(I am used to gossips)
Matoi emesana na koyoka
(My ears are used to listening)
Nzoto ekoma libanga po na masolo ya bato
(My body has turned into a rock because of these talks)
Na landaka te, Nzambe
(I don’t care about it, God)
Luambo alanga nzembo
(Luambo, a musicien)
Na sala nini eh ye ye ye eh
(What can I done?)
 
hivi mke wa Franco yupo?
ninafahamiama na mtoto wa Franco anaitwa Yves emongo luambo katika Facebook
Mke sifahamu,ila ninachojua franco alimuacha akaenda kwa ka binti fulani ,emongo naskia ndio mtoto pekee wa kiume wa franco ni kweli ?
 
hahaha yule ngoma ilimuua aise alikuwa bonge lakin alikonda sana
hawara yake mpongo love nay ngoma ilimuua mwaka 1994
The great Franco na hawara wake Mpongo love walipishana mwaka mmoja kufa.

Franco akifa mwaka 1989 na Mpongo love akifa january 1990 walipishana kidogo sana.

Na inawezekana kabisa wakati wa maazishi ya Franco Mpongo alikuwa mgonjwa huku akisubiri nae kuondoka.

Ila mpongo alikuwa kisu sanaaa siwezi mlaumu Franco kumfanya mpango wake wa kando.
 
Mwaka 1970 Franco alipata pigo kubwa kwa kufiwa na mdogo wake Bavon Marie Marie amabaye kifo chake kilitokana na ajali ya gari alipokuwa akiendesha kwa hasira baada ya kukorofishana na kaka yake Franco juu ya mwanamke ambaye pia alikufa katika ajali hiyo.
Mwaka 1980 Serikali ya Kongo (Zaire) ilimtunuka hadhi ya kuwa Babu wa muziki wa Kongo kama heshima kwa juhudi zake za kufufua uchumi amabo ulikuwa ukiyumba nchini humo.
Wakati wa maisha yake aliwahi kuongeza uzito ghafla na kufikia paundi 300 ambazo ni sawa na kilo 136.
Franco alifyatua wimbo mkali mwaka 1985, uliotikisa nchi wa Mario. Lakini mwaka 1987 fununu zikaanza kuzagaa kwamba Franco yu mgonjwa.
Wimbo aliotengeneza mwaka huo kabla ya kifo chake ulikuwa wa ‘Attention na SIDA’(Jihadhari kwa Ukimwi / AIDS)
 
hivi mke wa Franco yupo?
ninafahamiama na mtoto wa Franco anaitwa Yves emongo luambo katika Facebook
Mkuu kama mtoto wake anaongea kiswahil au kiingereza ebu mshawishi ajiunge JF hata atupe kidogo tafsir ya baadhi ya ngoma
 
Back
Top Bottom