Uhusiano wa Franco na Mobutu

Uhusiano wa Franco na Mobutu

View attachment 721775 kaburi la mama yake mobutu,,liliandikwa kwa maandishi ya dhahabu,,baadà ya kupinduliwa wanajeshi walifika hapa ili kuiba mali,

Wakafyatua risasi kwenye kabuli la kaka yake mobutu ili kulibomoa wachukue dhahabu na madini mengine aliyozikwa nayo,risasi ilimrudia aliyefyatua ikamuingia kifuani,wenzie wakakimbia
hyo ya risasi kurudi yaweza kuwa chai asee
 
Refer Papa wemba,, aliwekewa sumu kwenye mic live kbs,, kuhusu Franco sijui ila kuna wimbo wake analalamika kuwa amelogwa
Unaitwa kimpa kisangameni
Anadai kuna mchawi analoga familia yao,anadai atakufa amuache mama yake peke yake
Anamuuliza mama yake "nani atakuzika ?"
Kwa sababu marie bavon alikua kafa
 
hyo ya risasi kurudi yaweza kuwa chai asee
Sio chai,ni ukweli mkuu
Kuna possible reson mbili

1.uchawi
Mobutu alitajwa kua na waganga wengi walio mlinda hivo labda alifanya matambiko hapo

(Kuna matukio watu walijaribu kumuua mobutu wakafa wao.nitaelezea siku nyingine)

2.marble
Wanadai ni hizo maru maru hapo kua risasi ilipiga hapo then ikatereza na kurudi kutokana na nature ya maru maru
 
Alishavuta kama sikosei 2014 au 15
Ilikua ni 2007
Alikua amerudi kinshasa kutoka geneve au paris kwa ajili ya ku shoot video yake pale kinshasa
Akaanguka ghafla na kupelekwa hosp na kufia huko
 
.
Screenshot_2018-07-13-23-28-53.jpg
Screenshot_2018-07-13-23-29-06.jpg


jenerali kibibi
 
Kuna nyimbo ya franco na tabu ley ,wanasema "kinshasa makambo ngai mwana mutu," franco aliimba nyimbo kama 3 kulalamikia umbeya wa kinshasa ,nimejaribu kutuma nyimbo yake ya mwisho iliyorekodiwa 89 na kuachiwa miaka ya 90 ikagoma
 
Back
Top Bottom