luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,701
- 8,906
mtoto wa kwanza wa Mobutu aliitwa nyiwa
alifarik 1994 kwa ngoma alizaliwa 1955
alifarik 1994 kwa ngoma alizaliwa 1955
Congo cablesDaah itabidi nikitafute mkuu si unaju story za huku kijiweni tulishawahi kuambiwa idd amini alikua anakula nyama za watu,hahah
Hicho kitabu kinaitwaje mkuu.
Mkuu fatilia historia vizuri kwa wacongo watakwambia,,,pia soma articlesMabutu hakuleta maendeleo Congo, yeye alichofanya ni kuua Maendeleo
duhhView attachment 721775 kaburi la mama yake mobutu,,liliandikwa kwa maandishi ya dhahabu,,baadà ya kupinduliwa wanajeshi walifika hapa ili kuiba mali,
Wakafyatua risasi kwenye kabuli la kaka yake mobutu ili kulibomoa wachukue dhahabu na madini mengine aliyozikwa nayo,risasi ilimrudia aliyefyatua ikamuingia kifuani,wenzie wakakimbia
WASIOMJUA MPONG'O LOVE (NDAYA). ALIKUWA KISU, FRANCO HAKUWA WA MCHEZO MCHEZO. ALIAMUA KUCHAGUA ****ALIYENONA HASWAAmkuu lucas mobutu
mm n kijana ila ktk simu yangu nyimbo zangu 90%, n za Franco, aisee Jamaa alikuwa na nyimbo tamu wazee wananishangaa Mimi kijana napendaje nyimbo zao? kiukweli nilizipenda nyimbo za Franco kupitia radio moja ya Kenya iitwayo citizen walikuwa wana zitafsir nilizpenda kweli kweli
Franco alikuwa rafiki wa Mobutu lkn walikuwa wanakosana na kupatana
pia kuna kisa kimoja mwaka 1973 Franco na mdg wake walikuwa wanagombnia demu sasa mdg wa Franco akaamua kusafiri na huyo demu ktk gari mdg wa franco akaamua kuangusha gari maksud ili wafe wote lkn huyo demu alivunjka mguu ila Jamaa akafariki
Franco alipata ukimwi miaka ya 1980's na hawara yake alikuwa mwanamuzk ktk bendi ya okk jazz alieitwa mpongo love
Franco alikuwa anamiliki majumba hko Belgium na France
baada ya kutunga wimbo wa kumpamba Mobutu,Franco alipewa malori 6 kama zawadi
pia Mobutu alikuwa na vituko aliwahi chukua waganga wa kienyeji nchi nzma akasafiri nao na timu ya taifa ili ishinde lkn timu hiyo ilifungwa 7_0
baadhi ya nyimbo za Franco ni
matata ya mwasi
naloba nini
fabrice
Mario
mamuu
muongo na mulozo
cooperation
lisolo ya nzambe na adamu
fc Gabon
colonel bangala
republique du Zaire
azda
masuu
muya
liberte
arzon
1200 leters
kimpa kisangameni
ngungi
attention na sida
Franco alikuwa na albamu 150, na single 1200
WASIOMJUA MPONG'O LOVE (NDAYA). ALIKUWA KISU, FRANCO HAKUWA WA MCHEZO MCHEZO. ALIAMUA KUCHAGUA ****ALIYENONA HASWAA
Mkuu huyu jamaa Kongulu Mobutu ulishamwelezea kama ulivyoahidi hapa?View attachment 719588
Wakuu,huyu ndiye kongolu mobutu a.k.a saddam hussein,nita muelezea siku nyingine
haswaaMimi pamoja na udogo wangu lakini niliposikia nyibo zake nikazipenda hadi leo ninazo liveshow zake....alijaaliwa kipaji haswa.
Nilisahau.namuelezea muda si mrefu nitaku tagMkuu huyu jamaa Kongulu Mobutu ulishamwelezea kama ulivyoahidi hapa?
Kama nndivyo naomba link au jina la uzi ulioandika ni-search niongeze madini kidogo kichwani.
Nilisahau.namuelezea muda si mrefu nitaku tag
Tayari nimeandik kumuhusu .cheki .Mm pia nasubilia mkuu
Poa mkuuNilisahau.namuelezea muda si mrefu nitaku tag
TayariPoa mkuu
Acheni uongo, ugonjwa wake ulibaki sirina aliemwambukiza n mwanamzki aitwaye mpongo love alieimba nyimbo iitwayo "ndaya"
I see wewe ni mwongo sana. Tabu Ley hakufundishwa muziki na Franco wala hawakuwahi kuimba bendi moja. Tabu Ley alitoka band ya Grand Kalle wakiwa na Dr. Nico Kasanda wakaanzisha African Fiesta. Baadaye walitengana wakigombea hela.Franco kawafundsha mziki wanamzki kama vile
tabu ley
Sam mangwana
mpongo love
simaro lutumba
madiluu system nk japokuwa baadaye tabu ley alihama band ya okk jazz na kuanzisha yake iitwayo orchestra afrisa international ambayo ilichuana na OK jazz
ktk band hiyo wakina Sam mangwana walijiengua okk jazz na kujiunga na orchestra afrisa,miaka ya 1987 band ya okk jazz ikaanza kuyumba hii n kutokana na Franco kuwa nje ya nchi mda mrefu pia afya yake kuzorota
mwaka 1987 Franco aliimba wimbo akimshirikisha Sam mangwana wimbo uitwao muongo na mulozi huu wimbo n kama walikuwa wanaagana Franco alitoa mawaidha mazito ktk wimbo huu miaka miwili baadae akafariki
Napenda wimbo wa vewe na azda veweee pia namuona Mobutu kama mvumilivu kwa kiasi flani na mwenye upendoasante sana sana sana. wakati nakua mzee alikuwa anapenda sana kusikiliza nyimbo za franco .sikuwa na muelewa kabisaa. mpaka leo jamaa simoendi kwa sababu ya kwamba nyimbo zake zilikuwa zinaninyima kusikiliza vipindi vingine nivipendavyo kama michezo RTD pindi mzee akiwepo. sasa nimeelewa
Tayari nimeandik kumuhusu .cheki .