mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,117
Daah inawezekana angesumbua sana mkuu,swali la mwisho kama hutomaindi mkuu.Ilimbidi akimbie kwanza coz hakua amejipanga kuunda jeshi la msituni,lengo lake lilikua kui defend kinshasa,
Sasa wanajeshi wakubwa wakawa wameshaisaliti serikali,kwa kukimbia na kutoa mipango ya siri ya kijeshi hivo hakua na jinsi
But baàda ya kukimbia aliunda kikosi cha kuikomboa congo,but akafa mapema,nadhani asingekufa angesumbua sana serikali mpaka leo
Kwa matendo ya Mobutu ni vitu gani vilikuvutia hadi akawa role model wako, maana story zake nyingi ni za mambo maovu labda unaweza kututajia mazuri yake kwa raia wake mkuu.