Uhuru, Kikwete agree to defuse tourism dispute

Uhuru, Kikwete agree to defuse tourism dispute

Mkenya hana time ya kubembeleza mnafki na mvivu kama mtz asiyetaka kutumia akili kujiendeleza bali kulalamika na njia mkato. sheria zenu munazounda zitawatenga zaidi na nchi jirani, mukifukuza wakenya, rwanda, ugandans, malawi kutoka kwa nchi zenu unadhani hizi nchi hazitalipiza.. CoW itafanya mikutano ya pamoja na kufurusha watanzania wote toka nchi zao hii itawaumiza sana hasa kiuchumi..GoT inatakiwa kufikiri kabla ya kutoa tamshi au jambo, nyinyi hamna rafiki ni uadui munautafuta kwa wingi
wewe ni mjinga huna una elimu,uandishi wako unakuweka uchi.
 
Hapo jipeni moyo JK anaangalia nchi yake kuliko EAC na anajua kila kitu maana hata TCAA lazima walimpa taarifa kabla hawajatoa hiyo taarifa kwa Kenya na KQ.
Lazima walishauliwa na TISS
 
uhuru kama hayuko comforable kivile,jk as always kwenye majukwaa haya ndo mwake,ndo maana yuko relaxed.

JK amezoea kutembeza bakuli kwa hivyo ashazoea kutembea ila pale naona kama anajaribu sana kupata attention ya UK.
 
Mkenya hana time ya kubembeleza mnafki na mvivu kama mtz asiyetaka kutumia akili kujiendeleza bali kulalamika na njia mkato. sheria zenu munazounda zitawatenga zaidi na nchi jirani, mukifukuza wakenya, rwanda, ugandans, malawi kutoka kwa nchi zenu unadhani hizi nchi hazitalipiza.. CoW itafanya mikutano ya pamoja na kufurusha watanzania wote toka nchi zao hii itawaumiza sana hasa kiuchumi..GoT inatakiwa kufikiri kabla ya kutoa tamshi au jambo, nyinyi hamna rafiki ni uadui munautafuta kwa wingi

Wewe utakuwa unatumia kiungo kingine zaidi ya kichwa kufikiria, labda unatumia masaburi. Kama ni wavivu hayo mazao ya chakula mnayonunua tz yanajilima yenyewe? Relative advantage Kenya iliyonayo over tz ni kuwa na viwanda vingi zaidi na siku zote industrial goods zina bei ambayo ni stable. Zaidi ya hapo hakuna cha zaidi wala usijidanganye kuwa wakenya ni wachapakazi. Kuhusu EAC bado hizi ni nchi maskini kwa ujumla hivyo hakuna mengi ya kutarajia.Tena kuliko kujiunga na EAC ni aheri kuwa Friends na DRC which has everything.
 
Kenya mbona mmelaaniwa na sura mbaya? Maraisi wenu wote wana sura mbaya

Ebu muone UK alivyo smart compared to the short and ugly JK. Hivi unaona Mkapa na mwinyi ana sura nzuri? Moi Naye alikuwa handsome sana
 
Mkenya hana time ya kubembeleza mnafki na mvivu kama mtz asiyetaka kutumia akili kujiendeleza bali kulalamika na njia mkato. sheria zenu munazounda zitawatenga zaidi na nchi jirani, mukifukuza wakenya, rwanda, ugandans, malawi kutoka kwa nchi zenu unadhani hizi nchi hazitalipiza.. CoW itafanya mikutano ya pamoja na kufurusha watanzania wote toka nchi zao hii itawaumiza sana hasa kiuchumi..GoT inatakiwa kufikiri kabla ya kutoa tamshi au jambo, nyinyi hamna rafiki ni uadui munautafuta kwa wingi

Watanzania waliopo CoW ni wachache kuliko wananchi wa CoW waliopo Tanzania included. Tuliwafurusha wanyarwanda, Kagame amekaa kimya na hakusema lolote cause anajua hakuna watanzania rwanda. The same to kenyans, tutawatimua wote tuone huko watakuja kufanyaje. Ajira huko hakuna huku zipo za kumwaga ndo maana mnajazana kila sehemu.
 
Tanzania mbona mmelaaniwa na ufupi hivo? Rais wenu wote wafupi

mbona nyinyi mnaongoza kwa kuwa na maraisi wenye sura mbaya na za kutisha sisi hatusemi?!!.

haya pokea zawadi yako hiyo kamuonyeshe mkeo.
sura mbaya.jpg
 
Ati photo design by kadoda :lol::lol:

You cannot claim to have designed a photo when you did not add or remove anything from the photo. That is a copyright violation,
ungekua Kenya, you would be eligible for a law suit!
 
mbona nyinyi mnaongoza kwa kuwa na maraisi wenye sura mbaya na za kutisha sisi hatusemi?!!.

haya pokea zawadi yako hiyo kamuonyeshe mkeo.
View attachment 236733
f
we acha bangi uhuru is the most admired president in africa ata kuna madem wa ug waliwa wanasema hez the most goodlookn btw watanzania wana meno kubwa kama za fisi mla nyasi
 
Bloc must benefit the people, says Jakaya Kikwete

The success of the East African Community (EAC) will depend on how the bloc is benefiting the ordinary citizens and how member countries resolved their differences, President Jakaya Kikwete said in Bujumbura on Thursday.

In his keynote The State of EAC address to the regional Parliament, he warned that many East Africans would not like to see the collapse of the regional organization as was the case in 1977.

"We don't want to see the EAC collapsing again. As leaders we must ensure the community survives," he told Eala which is currently holding its session in the Burundi capital.

He stressed that it was the responsibility of the leaders in the region to make the wananchi benefit from the regional integration failure to which they would take it as a ‘club' of the leaders.

He noted that MPs must also resolve among themselves and focus on regional integration.
"Eala members should deal with regional issues rather than each member dealing with matters of his or her respective country," President Kikwete said according to a statement issued by the the directorate of Presidential Communications.

President Kikwete was emphatic that the incremental approach of the integration process had been a great success. He said under the Customs Union, the region benefited from enhanced trade through the Common External Tariffs.

"Indeed, goods which meet the criteria of rule of origin have been moving across borders without paying taxes, however, non-tariffs barriers remain a challenge. Progress has been made but the matter has not been resolved fully yet," he added.

"Trade is now at 23 per cent over and above intra-African trade figure of 12 per cent. There has been a 300 per cent increase in the value of trade from, $2 billion in 2005 to $6 billion in 2014," he said.

These numbers, coupled with the combined EAC GDP of $110.3 billion with an average annual rate growth, of 2.6 per cent makes the region a formidable trade and economic bloc in Africa, according to President Kikwete.
http://www.thecitizen.co.tz/News/national/-/1840392/2662044/-/item/1/-/kbul52z/-/index.html
 
Ati photo design by kadoda :lol::lol:

You cannot claim to have designed a photo when you did not add or remove anything from the photo. That is a copyright violation,
ungekua Kenya, you would be eligible for a law suit!

let me take you back to my multimedia school.
photo designing is not only about adding or removing details in the photo,even the layering of images in viewable order.

if you think i have violated the copyright rules,be my guest,google search other images that look the same as mine and share them here for comparison.i will apologize.

FYI, i'm multimedia professional and adobe PS pundit,what i did in that photo was very little compared to what i do in my businesslike stuff.

check this one:

Last edited by a moderator:
f
we acha bangi uhuru is the most admired president in africa ata kuna madem wa ug waliwa wanasema hez the most goodlookn btw watanzania wana meno kubwa kama za fisi mla nyasi
kujidanganya nayo.:lol::lol:
 
Manyang'au bana huwa yananifurahisha kwa uzuzu wao...
 
10906585_1033474996681053_5969082398518500147_n.jpg

Developing story: After meeting at the sidelines of the inauguration of the new president of Namibia, the official Kenyan statehouse spokesman has announced that the Tanzanian president has ordered Tanzania's civil authority to allow Kenya Airways to resume its full schedule to Tanzania immediately.

While expressing his desire to solve the issue amicably, the Tanzanian president indicated that the reduction of flights had greatly restricted travel to Tanzania and that the economic ramifications were going to be felt by all the parties involved.

This comes after the Zanzibar tourism association read Dar es Salaam the riot act over the limitation of Kenya Airways flight to the island. Kenya Airways is the airline of choice for over 80% of visitors to Zanzibar.

JECf7o0.png

Tanzania's tourist have also been allowed to resume normal operations to JKIA. However, Fastjet, the British owned low budget airline, will not be granted landing rights to JKIA.

Tanzania's and Kenya's foreign affairs ministers are set to hold a press conference over the resolution.

http://www.nation.co.ke/news/Uhuru-Kikwete-agree-to-defuse-tourism-dispute/-/1056/2662338/-/fnalbez/-/index.html

More to come...

These numbers, coupled with the combined
EAC GDP of $110.3 billion with an average
annual rate growth, of 2.6 per cent makes the
region a formidable trade and economic bloc
in Africa, according to President Kikwete.
http://www.thecitizen.co.tz/News/nat...z/-/
index.html

Kenya ni 58bn$- 110 = 52bn$ EAC hahaha
Kenya exports TO EAC STOOD AT 3.1BN$ OUT OF POSSIBLE 6.3BN$ EXPORTS WHILE IMPORTS TO KENYA FROM EAC WAS 2.2BN$ OUT OF TOYAL 22.2BN$ IMPORT MARKET HAHAHAHA AM JUST GLAD WE OWN EAC
 
Back
Top Bottom