Uhuru katika Mahusiano?

Uhuru katika Mahusiano?

KWELI kabisa yaani...unaweza piga TU simu ulalamike mi naona hunipendi..Basi unabembelezwa...
Huyu yeye anasema Kama umepiga Simu kulalamika KATA TU SIMU...

Naona hapa nijiongeze tu
Duuh!.. pole mweeeh.
Uyo ka ingekua mimi nkikata ndo sipigi teeena.
Hata kama naumia. Hamna namna.

Sent from my Redmi 5 using JamiiForums mobile app
 
Nisikilize Nini?....yaaani Mapenzi hayafosiwagi..yeye mwenyewe angeanza kujielelezea bila ya kuulizwa...Sasa Kama mtu Simu zako zinamyima Uhuru wakufanya afanyayo. Ambayo yangekuwa ya kawaida yangesemeka.

Mtu Kama yupo busy anapokea anakwambia nipo busy ubusy ukiisha anakipigia kukuelezea huo ubusy wake..
Sio kukwambia unamyima Uhuru...Na hawezi katisha ratiba zake kwa ajili yako..nahizo ratiba huzijui.. LOOOH
Akufukuzae ..
Mmh aisee kazi unayo
 
Namini Nashangaaa...Uhuru upi yaani anautaka..wakufanya Nini..mpaka Mimi Simu zangu zimpunguzie huo Uhuru...

Huyu mwanaume Ni Mgumu Sana...yaani anamisimamo ya Ajabu Sana...hata ukisema nampeleka ndugu yangu hospital..anajibu HAYA....like hata kuuliza anaumwa Nini nalo hawezi...eti kwani Huyu ndungu yako Ni Wewe?
si ndo mnachopenda mkuu? manake mwanaume akikuletea bebi kam beki tu mii nyingi mnaanza oooh huyu mwanaume wa Dar...au ukaksi umezidi?
 
Hatuna huo Muda wakukaa....chini..ameshasafiri kikazi..SIJUI KWELI SIJUI SIO KWELI... Ila Mimi nishaweka effort ... ambayo response imekuwa Negative.

So, nikiweka more pressure haitosaidia KITU...MAPENZI huwa yanaflow TU...hayaitaji nguvu nyingi
Huyo jamaa ana mtu wake lazima

Wewe ni second or third rated
 
Namini Nashangaaa...Uhuru upi yaani anautaka..wakufanya Nini..mpaka Mimi Simu zangu zimpunguzie huo Uhuru...

Huyu mwanaume Ni Mgumu Sana...yaani anamisimamo ya Ajabu Sana...hata ukisema nampeleka ndugu yangu hospital..anajibu HAYA....like hata kuuliza anaumwa Nini nalo hawezi...eti kwani Huyu ndungu yako Ni Wewe?
Mmh hapo umeingia chaka dadaangu
 
Ukitaka uhuru kuwa single, ukishaingia kwenye mahusiano unakuwa umeuza uhuru.

Huwezi kuwa kwenye mahusiano na ukawa huru, huwa haviendi pamoja hivi vitu.
Sure thing ..ukiwa ktk mahusiano it means nusu ya Maisha yako umekubali kumpatia mwenzako
 
Labda maana sielewi....Mi sioni Kama namyima Uhuru..Simu hua napiga akiwa hayupo kazini...akiwa kazini sipigagi Simu..

Sasa mpnz wako kukupigia simu ndo kumyima Uhuru..Tena penzi jipya? Lakini Simu zangu hapokeagi ...Mara nililala mapema, Mara sikuisikia, saiv ndo anasema hawezi kukaa na Simu muda wote nanyima Uhuru wakufanya Mambo mengine...

Sasa Kama unamambo Mengine unafanya SI unasema Tatizo liko wapi...nipo kwenye kikao...Kutokupokea Simu Mimi naona Kama Dharau...

ukilalamika anakata Simu eti Kama huelewi Basi...jamani Mapenzi yakigumu Hakuna kumbembelezana...Hakuna romantic language...yaani yeye anachoona kinafaa ndo hicho hicho...Mtu anaamini yupo sawa haijalishi Wewe unaumia au la...

Mi sioni Kama huu Ni upendo..Mapenzi Ni mahaba na kuhurumiana...
Mtu unasafiri unaenda mbali huko mkoani utakaa labda wiki mbili...huwezi kumuaga mpnz wako Tena Ni dakika 20 TU a Gari....

Minaamini kwenye Mapenzi furaha ya mpnz wako Ni kipaumbele...Kama mtu hainvest kumfanya mpnz wake afurahi...Basi hapo HAKUNA MAPENZI.
Daahh pole Sana [emoji1786][emoji1786] huyo upendo Hana huwenda ilikuwa alikutamani tu .. au Ni type ya wale wanaume wanao amini kwenye Violence ego and the likes ..wakiwa in relationship huwa wanapenda kutawala wenzao hawapendi majadiliano Wala masikilizano .... Inshort umeuvaa mkenge
 
Namini Nashangaaa...Uhuru upi yaani anautaka..wakufanya Nini..mpaka Mimi Simu zangu zimpunguzie huo Uhuru...

Huyu mwanaume Ni Mgumu Sana...yaani anamisimamo ya Ajabu Sana...hata ukisema nampeleka ndugu yangu hospital..anajibu HAYA....like hata kuuliza anaumwa Nini nalo hawezi...eti kwani Huyu ndungu yako Ni Wewe?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] anakuuliza hivyo !??
 
Back
Top Bottom