Uhuru katika Mahusiano?

Uhuru katika Mahusiano?

Msikilize kwanza ujue shida iko wap
Nisikilize Nini?....yaaani Mapenzi hayafosiwagi..yeye mwenyewe angeanza kujielelezea bila ya kuulizwa...Sasa Kama mtu Simu zako zinamyima Uhuru wakufanya afanyayo. Ambayo yangekuwa ya kawaida yangesemeka.

Mtu Kama yupo busy anapokea anakwambia nipo busy ubusy ukiisha anakipigia kukuelezea huo ubusy wake..
Sio kukwambia unamyima Uhuru...Na hawezi katisha ratiba zake kwa ajili yako..nahizo ratiba huzijui.. LOOOH
Akufukuzae ..
 
Namini Nashangaaa...Uhuru upi yaani anautaka..wakufanya Nini..mpaka Mimi Simu zangu zimpunguzie huo Uhuru...

Huyu mwanaume Ni Mgumu Sana...yaani anamisimamo ya Ajabu Sana...hata ukisema nampeleka ndugu yangu hospital..anajibu HAYA....like hata kuuliza anaumwa Nini nalo hawezi...eti kwani Huyu ndungu yako Ni Wewe?
Huyo akupendi achana nae tuu kabla hajakuumiza
 
Labda maana sielewi....Mi sioni Kama namyima Uhuru..Simu hua napiga akiwa hayupo kazini...akiwa kazini sipigagi Simu..

Sasa mpnz wako kukupigia simu ndo kumyima Uhuru..Tena penzi jipya? Lakini Simu zangu hapokeagi ...Mara nililala mapema, Mara sikuisikia, saiv ndo anasema hawezi kukaa na Simu muda wote nanyima Uhuru wakufanya Mambo mengine...

Sasa Kama unamambo Mengine unafanya SI unasema Tatizo liko wapi...nipo kwenye kikao...Kutokupokea Simu Mimi naona Kama Dharau...

ukilalamika anakata Simu eti Kama huelewi Basi...jamani Mapenzi yakigumu Hakuna kumbembelezana...Hakuna romantic language...yaani yeye anachoona kinafaa ndo hicho hicho...Mtu anaamini yupo sawa haijalishi Wewe unaumia au la...

Mi sioni Kama huu Ni upendo..Mapenzi Ni mahaba na kuhurumiana...
Mtu unasafiri unaenda mbali huko mkoani utakaa labda wiki mbili...huwezi kumuaga mpnz wako Tena Ni dakika 20 TU a Gari....

Minaamini kwenye Mapenzi furaha ya mpnz wako Ni kipaumbele...Kama mtu hainvest kumfanya mpnz wake afurahi...Basi hapo HAKUNA MAPENZI.
Huyu jamaa ako amefanana na mm ila mm apo kwenye kuaga naagaga kwa mke wangu na kwenye kumbembeleza nambembeleza mke wangu yupo Njombe na familia yangu mm nipo Dar kikazi now..

Ila tumekuwa tukiwasiliana kwa siku mara moja au mbili ndani ya siku moja na kila siku lazima nimulizage kusu binti yetu wa meisho Mirabel mwenye umri wa miaka 3 ameshindaje...

Akinipigia cm nisipo pokea akilalamika uea nakuja juu sana namwambia mke wangu lilian mbona upo hivi we mwanamke ivi mm na umri wangu huu miaks 38 na watoto wote hao 6 nachepuka natafuta nini unanitafuta we mwanamke nitskuchenchia sasaizi nilikuwa na wakuu ndomana cm yako nilikuws sipokei nikona lawama zimezidi nakata simu afu badae ndo namtafuta nampeti peti kwa kumsifia sifia wewe mwishoni anaingia kingi maisha yanasonga...

Kwaiyo basi sametimes sisi wanaume uwa tunaupendo sana kwa wanawake zetu ila tukiwaoneshea sana upendo uwa mnataka kama kutupanda kichwani ndoma tunatumia ukoloni na ukauzu sametimes atupo romantic mana ukiwa sana na lugha ya romantic kwa mwanamke wako atahisi anakuweza sana..

Hivyo bac mkuu jamaa anakupenda sana usiwe na wasiwasi mana hata mm niko hicyo kwa wife wangu na tumeishi kwenye ndoa tokea 2002 mpaka saiz huu tunaingia mwaka wa 19 uwa tunazinguana maisha yanaenda safi na mm ni mtu wa kusafiri kutikana na nature ya kazi yangy kwaiyo, usimchukulie vibaya bhana jamaa apendi man hood yake ipelekeshwe...kuwa mpole ishi nae kwa akili...
 
Bora Wewe unampeti peti huyo mkeo...Mimi huko kupetiwa petiwa ndo nakutaka...lakini kumpeti peti mtu usiona umuhimu wake Ni kazi Sana...

unajua Kuna muda unaweza Seema tu siku hizi naona hunipendi...Jibu lake ushaanza lawama Kama HUNA la kuongea kata Simu[emoji44][emoji44][emoji44]

Dooh kumbe mtu unaTAKA TU kusikia maneno mazuri masikini...
Aisee mtu akikipenda ...hutumiii nguvu nyingi...yaani Mambo yanaflow TU.

Minimeona nlikua natumia nguvu nyingi saaaana..kutaka kumfahamu yeye Wala haangaiki...

Basi solution mlie buyu mazima au akikutxt mambo mjibu poa uko wapi mjibu nipo hm unafanya nn mjibu nimekaa yani mjibu short and clear usianze ww kumtafuta ww kuwa busy na yako atajirejebisha mwenye utanza tuu msikia mbona sikuizi umebadilika sio kama zamani apo sasa ndo mchane kweli kweli mambo yake yote...
 
Uhuru katika mahusiano ni muhimu sana, kabla ya kua katika mahusiano yenu kila mtu alikua na mambo yake na ratiba zake au aina yake fulani ya maisha aliyokua anaishi, ukiingia katika mahusiano zipo ambazo ratiba au aina fulani ya maisha itapungua lakini sio yote..

Mfano hai kwangu: niliwahi kua katika mahusiano na mwanamke mmoja hivi basi alikua anakaba hadi penati, atanichatisha na kunipigia simu muda wote, always tuwe karibu kama sio physical basi through simu (nadhani kwa akili yake alijua hayo ndio mapenzi lakini kwangu ilikua ni kero)

Kuna muda nakua bize na kazi, kuna muda naenda zangu kucheki mpira either taifa au ligi ya wenzetu (ligi kuu ya uingereza) sometimes inabidi nijichanganye na wana sasa huyo mwanamke ukimwambia tu unafanya moja kati ya haya ananuna, anaona ni kama humpendi kwake alikua na mindset ya 50%-50% kama anavyofanya vile basi na mimi nifanye hivo hivo hadi nikawa najiuliza mapenzi gani haya ya kuchekiana kila dakika as if umebandika maharage jikoni.

Kwa experience niliyoipata mtu huru namuona ni yule aliyepo single mbali na hapo ni uhuru wa bendera tu.
 
Mapenzi ya uchumi wa kati.

Pole sana mpendwa
 
Labda maana sielewi....Mi sioni Kama namyima Uhuru..Simu hua napiga akiwa hayupo kazini...akiwa kazini sipigagi Simu..

Sasa mpnz wako kukupigia simu ndo kumyima Uhuru..Tena penzi jipya? Lakini Simu zangu hapokeagi ...Mara nililala mapema, Mara sikuisikia, saiv ndo anasema hawezi kukaa na Simu muda wote nanyima Uhuru wakufanya Mambo mengine...

Sasa Kama unamambo Mengine unafanya SI unasema Tatizo liko wapi...nipo kwenye kikao...Kutokupokea Simu Mimi naona Kama Dharau...

ukilalamika anakata Simu eti Kama huelewi Basi...jamani Mapenzi yakigumu Hakuna kumbembelezana...Hakuna romantic language...yaani yeye anachoona kinafaa ndo hicho hicho...Mtu anaamini yupo sawa haijalishi Wewe unaumia au la...

Mi sioni Kama huu Ni upendo..Mapenzi Ni mahaba na kuhurumiana...
Mtu unasafiri unaenda mbali huko mkoani utakaa labda wiki mbili...huwezi kumuaga mpnz wako Tena Ni dakika 20 TU a Gari....

Minaamini kwenye Mapenzi furaha ya mpnz wako Ni kipaumbele...Kama mtu hainvest kumfanya mpnz wake afurahi...Basi hapo HAKUNA MAPENZI.
Sasa mbona una majibu yote,haikuwa na haja ya kuuliza.Inshort hakupendi wala kukuthamini,ila inaonekana hauamini macho yako.
 
Hii kitu hata mimi nafanyaa na sijui nilianza vipi lakini sipendi mtu anaepiga simu mara nyingi au text nyingii ni mvivu kutumia simu.Text naweza kusoma kama ishu sio ya muhimu sijibu naendelea na kazi zangu hapa wengi nimeachana nao sasa na mimi ndo kasoro yangu eti mtu hawezi kuvumilia basi naonaga isiwe shida kila mtu achukue time yaan ata hujanifumania unataka tuachane nakubembelezaje hapo.
Mimi hata tusipowasiliana naonaga sawa tuu considering the silence is comfortable hatuna ugomvi.

My friends wanasemaga hujapenda wewe[emoji23][emoji23]nacheka tuu
 
Uhuru katika mahusiano ni muhimu sana, kabla ya kua katika mahusiano yenu kila mtu alikua na mambo yake na ratiba zake au aina yake fulani ya maisha aliyokua anaishi, ukiingia katika mahusiano zipo ambazo ratiba au aina fulani ya maisha itapungua lakini sio yote..

Mfano hai kwangu: niliwahi kua katika mahusiano na mwanamke mmoja hivi basi alikua anakaba hadi penati, atanichatisha na kunipigia simu muda wote, always tuwe karibu kama sio physical basi through simu (nadhani kwa akili yake alijua hayo ndio mapenzi lakini kwangu ilikua ni kero)

Kuna muda nakua bize na kazi, kuna muda naenda zangu kucheki mpira either taifa au ligi ya wenzetu (ligi kuu ya uingereza) sometimes inabidi nijichanganye na wana sasa huyo mwanamke ukimwambia tu unafanya moja kati ya haya ananuna, anaona ni kama humpendi kwake alikua na mindset ya 50%-50% kama anavyofanya vile basi na mimi nifanye hivo hivo hadi nikawa najiuliza mapenzi gani haya ya kuchekiana kila dakika as if umebandika maharage jikoni.

Kwa experience niliyoipata mtu huru namuona ni yule aliyepo single mbali na hapo ni uhuru wa bendera tu.
Mimi sipo hivyo... Naamka alfajiri kuswali namtumia msg.. anajibu akiamka.. nakusema anaenda kazini... Namtumia msg mchana labda SA saba...then akitoka...Kama anaangalia mpira akisema simtumii msg.. Kama anakutana na wasjkaji akisema Wala simsumbui...

Lakini Simu nampiigiaga usiku Mara nyingi sanne...anasema hua hasikii...Mara akilala anaweka vibration.
Jana kazima Simu SA tatu...usiku Hadi sa Moja nampigia simpati...

Ukilalamika anasema UNALALAMA Sana..kwani kafanya Nini Hadi nisimuamini.

Kama unampenda mpnz wako na mnagombana kutokupokea SIMU... atapikea na kusema nipo busy ..au atatuma msg kuwa Kuna Jambo nafanya... Sio kusema UNANYIMA UHURU...

Mawasiliano katika Mapenzi ndo yabuild Mapenzi... Na kujaliana na kuoneana huruma
 
Sasa mbona una majibu yote,haikuwa na haja ya kuuliza.Inshort hakupendi wala kukuthamini,ila inaonekana hauamini macho yako.
Natoa TU dukuduku moyoni...HAIJAWAI TOKEA NIKADANGANYWA HIVI....hapa ukweli najua... Ninaumiaa TU rohoni yaani sana
 
Labda maana sielewi....Mi sioni Kama namyima Uhuru..Simu hua napiga akiwa hayupo kazini...akiwa kazini sipigagi Simu..

Sasa mpnz wako kukupigia simu ndo kumyima Uhuru..Tena penzi jipya? Lakini Simu zangu hapokeagi ...Mara nililala mapema, Mara sikuisikia, saiv ndo anasema hawezi kukaa na Simu muda wote nanyima Uhuru wakufanya Mambo mengine...

Sasa Kama unamambo Mengine unafanya SI unasema Tatizo liko wapi...nipo kwenye kikao...Kutokupokea Simu Mimi naona Kama Dharau...

ukilalamika anakata Simu eti Kama huelewi Basi...jamani Mapenzi yakigumu Hakuna kumbembelezana...Hakuna romantic language...yaani yeye anachoona kinafaa ndo hicho hicho...Mtu anaamini yupo sawa haijalishi Wewe unaumia au la...

Mi sioni Kama huu Ni upendo..Mapenzi Ni mahaba na kuhurumiana...
Mtu unasafiri unaenda mbali huko mkoani utakaa labda wiki mbili...huwezi kumuaga mpnz wako Tena Ni dakika 20 TU a Gari....

Minaamini kwenye Mapenzi furaha ya mpnz wako Ni kipaumbele...Kama mtu hainvest kumfanya mpnz wake afurahi...Basi hapo HAKUNA MAPENZI.
Uache kiherehere, kwani Umelazimishwa?
 
Namini Nashangaaa...Uhuru upi yaani anautaka..wakufanya Nini..mpaka Mimi Simu zangu zimpunguzie huo Uhuru...

Huyu mwanaume Ni Mgumu Sana...yaani anamisimamo ya Ajabu Sana...hata ukisema nampeleka ndugu yangu hospital..anajibu HAYA....like hata kuuliza anaumwa Nini nalo hawezi...eti kwani Huyu ndungu yako Ni Wewe?
Kati yenu wawili, nani alianza kumletea shobo mwenzake?
 
Mimi hata tusipowasiliana naonaga sawa tuu considering the silence is comfortable hatuna ugomvi.

My friends wanasemaga hujapenda wewe[emoji23][emoji23]nacheka tuu
Mimi Siwezi kaa siku nzima... kimya I am a caring person... What I give I expect... essential kwa mtu ambae alifanya kila namna kunihakikishia kuwa ananipenda...so I blindly believed him

Sijui why people do the things they do.. am baffled... Why should you go to Xtreme to show someone you love them but just to toy with their hearts.
 
Sasa mbona una majibu yote,haikuwa na haja ya kuuliza.Inshort hakupendi wala kukuthamini,ila inaonekana hauamini macho yako.
Labda maana sielewi....Mi sioni Kama namyima Uhuru..Simu hua napiga akiwa hayupo kazini...akiwa kazini sipigagi Simu..

Sasa mpnz wako kukupigia simu ndo kumyima Uhuru..Tena penzi jipya? Lakini Simu zangu hapokeagi ...Mara nililala mapema, Mara sikuisikia, saiv ndo anasema hawezi kukaa na Simu muda wote nanyima Uhuru wakufanya Mambo mengine...

Sasa Kama unamambo Mengine unafanya SI unasema Tatizo liko wapi...nipo kwenye kikao...Kutokupokea Simu Mimi naona Kama Dharau...

ukilalamika anakata Simu eti Kama huelewi Basi...jamani Mapenzi yakigumu Hakuna kumbembelezana...Hakuna romantic language...yaani yeye anachoona kinafaa ndo hicho hicho...Mtu anaamini yupo sawa haijalishi Wewe unaumia au la...

Mi sioni Kama huu Ni upendo..Mapenzi Ni mahaba na kuhurumiana...
Mtu unasafiri unaenda mbali huko mkoani utakaa labda wiki mbili...huwezi kumuaga mpnz wako Tena Ni dakika 20 TU a Gari....

Minaamini kwenye Mapenzi furaha ya mpnz wako Ni kipaumbele...Kama mtu hainvest kumfanya mpnz wake afurahi...Basi hapo HAKUNA MAPENZI.
Yeah, nadhani CreditAnalyst ameshapima kila kitu na kujiridhisha kuwa huyu bwana hamfai sema ndio haamini.Anahitaji asikie mitazamo mingine pia ...

Ushauri wangu ni kwamba kama umeona hamuendani basi muweke wazi kwamba huwezi kuendelea na mahusiano hayo(Mpe sababu)...

Pia kutokana na maelezo yako inawezekana ameshaoa au ana mahusiano na mtu mwingine(Ni mtazamo wangu)

Happy new year!!
 
Mimi Siwezi kaa siku nzima... kimya I am a caring person... What I give I expect... essential kwa mtu ambae alifanya kila namna kunihakikishia kuwa ananipenda...so I blindly believed him

Sijui why people do the things they do.. am baffled... Why should you go to Xtreme to show someone you love them but just to toy with their hearts.
Watu wanasaka kidude, they don't kiasi utakavyoumia kwa kupotezewa muda
 
Back
Top Bottom