Ukiskia utamu wa pipi ganda lake basi ndio hivyo 😂Yaaani nashindwa elewa hata sikumbuki kupenda namna hii mtu.....
Jamani yaaani Nasikia Raha ..nakikarahishwa KIDOGO naumia sanaaaa
Sasa mie ndio nakupenda kuliko yeye, ila we huoni hilo! Mapenzi ya kitunguu maji hayo.😂[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]....Tamu kupendwa nae..Tamu Nasikia Tamu kupendwa nae[emoji1][emoji1]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]...Mapenzi ya kitunguu maji mwisho Ni kilio TU..Sasa mie ndio nakupenda kuliko yeye, ila we huoni hilo! Mapenzi ya kitunguu maji hayo.[emoji23]
We umia sana ukichoka njoo kwangu nikufurahishe 😍 nipo kwa ajili hiyo mrembo wangu! Huwa sina sifa ya kuliza watoto wa kike.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]...Mapenzi ya kitunguu maji mwisho Ni kilio TU..
Kwakweli hapa Sina namna..Kuna mawili Either niumie Sana au nifurahi Sana..
Kwasababu nimeshindwa zuia mahaba yangu kwake.... Nimejitahidi nimeshindwa
Sawa bwana harusi, 'G'😅Yani huo ulalamishi kwa mwanamke nayempenda inakuwa kama starter. Ntampa maneno malaini hadi ashindwe na kulegea.
Mwisho anabaki tu,,,"mmh kweli?"..."Siamini bana"...mmh kweli G?"..."Asante mume"
Siwezi kukwambia kata simu wakati nakuzimia.
Kumbe unajua eeh, ila uki choose wisely huwezi jikuta na mtu mpasuaji kichwa.Mtu akishajua unampenda umekwisha wallahi yaani atakupasua hilo bichwa
Kisha atakuzungusha kama mpiga picha na hakuna kitu utamfanya zaidi sana utajichatisha
Njoo mama tena mzima mzima ili ufaidi buyu la asali...Nimeshavuka level ya sukari now.😝[emoji1][emoji1][emoji1].. Sukari ya rembo
Tulizo kwa walio umizwa
Karibia, usiogopeSawa bwana harusi, 'G'😅
Achana na kitunguu maji hikoNoma sanaaa....
😂😂😂😂😂 hata sisi tuling'ang'aniaga tu kama piston zinavyong'ang'aniaga kwenye block ila mwisho tulikubali yaishe tu. Ni swala la muda tu.Jamaniii sitaki Mimi kumuacha ...No
Mahaba niue...niponde ponde kama nyanya...hadi nkose cha kufanyaa 😂😂😂😂[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...Hivi Kuna haja gani ya kushare Mswaki... .. yaani why