Uhuru katika Mahusiano?

Uhuru katika Mahusiano?

Kheee Naamimi hizi statement zimenishangaza... Ndo Mara yangu ya kwanza kuzisikia katika maisha yangu..

"Unaninyima Uhuru"...Siwezi vunja ratiba zangu Khaaaaa... Ratiba zipi

Wallahi nimepatikana
Akupendae kwanza atafurahia kila ukimtafuta, kama yupo busy atakuambia lakini mtu kukuambia unamnyima uhuru ni dhahiri huna thamani kwake. Jikaushe jifanyie mambo mengine mwache na mambo yake mwenyewe, usikubali mapenzi yakutese mpende akupendae.
 
Ukiona mtu hana mda nawewe ujue hakupendi na ukijifanya huelewi atakuendesha sana na mwshowe atakubwaga tu. We kadada ni miongoni mwa wadada wa jf nnaowakubali sana kwenye koment, pole sana mpenzi wa mpenz wake mtu.
 
Kheee Naamimi hizi statement zimenishangaza... Ndo Mara yangu ya kwanza kuzisikia katika maisha yangu..

"Unaninyima Uhuru"...Siwezi vunja ratiba zangu Khaaaaa... Ratiba zipi

Wallahi nimepatikana
Miezi michache iliopita nilipata mwanaume ana tabia kama huyo wako, nikimpigia simu anakasirika na badae akipiga ni ugomvi tu hata lugha ya mahaba hana. Nilichagua tu kuendelea na maisha mengine yaani usikubali mtu akuhangaishe.
 
Kuwa makini sana ikiwezekana jiongeze tu,hapo hamna kitu usije ukalia mbeleni.Siku zote mawasiliano ndio yanaongeza chachu ya mahusiano.Sasa ukiona mwenzio analeta shida kwenye icho kipengele jiongeze tu.Eeh mapenzi yanatakiwa yabalance bwana pande zote.
 
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44].....Hujakutana na mtu unampenda kwa dhati
No hiyo sio sababu yan ndo nilivo ukinitafuta uwe na ishu ya maana ata kama nakupenda sana lakini unanitafuta unataka tuongelee kitu gani nimebase sana kwenye content ya mazungumzo.
Sikatai kuongea na mtu wangu lakini napenda mara nyingi tukutane ndo tupige hzo story zisizo na umuhimu sio nishindwe kufanya mambo ya msingi kisa story ambazo hazina manufaa.
 
Ukiona mtu hana mda nawewe ujue hakupendi na ukijifanya huelewi atakuendesha sana na mwshowe atakubwaga tu. We kadada ni miongoni mwa wadada wa jf nnaowakubali sana kwenye koment, pole sana mpenzi wa mpenz wake mtu.
Imebidi tu nikubali ukweli....
 
Dalili ya mvua mawingu.

Ni vile tu wanawake huwa tunajipa upofu kwenye red flag Kama hizi tukihisi mabadiliko yatatokea baadae.
 
Yaani[emoji2297]

Ila bado mapema ashukuru hilo ni yeye sasa aamue ni mbinu gani atakayoitumia kuishi na huyo mwenzie japo upendo una kiherehere sana sijui kama ataweza bila kuhisi kuumia.
 
Labda nisubirie yeye anitafute... Maana Mimi nishajiona SMS NA SIMU zangu Ni kero kwake.
Sasa hayo Mapenzi ya kukaa ukisubirie mtu ajisikie kukutafuta Hayo Sio mapenzi
Kwanza nikuulize. Je unaamini mungu? Na je unaamini nguvu za maombie? Basi nakushauri anza maombi ili upewe muongozo na mungu kama kweli yy ndie ridhiki yako ili usije kupoteza muda kwa mtu hana timu yaw
 
Kwanza nikuulize. Je unaamini mungu? Na je unaamini nguvu za maombie? Basi nakushauri anza maombi ili upewe muongozo na mungu kama kweli yy ndie ridhiki yako ili usije kupoteza muda kwa mtu hana timu yaw
Naamini Mungu na Naamini katika maombi...na hili Jambo nimeliombea Sana TU...Nadhani majibu yameshakuwa dhahir
 
Usiconclude kwa ushauri wa jf kaa nae muongee may be kuna kitu kinamsumbua anahitaji kutuliza kichwa.
Hatuna huo Muda wakukaa....chini..ameshasafiri kikazi..SIJUI KWELI SIJUI SIO KWELI... Ila Mimi nishaweka effort ... ambayo response imekuwa Negative.

So, nikiweka more pressure haitosaidia KITU...MAPENZI huwa yanaflow TU...hayaitaji nguvu nyingi
 
Labda maana sielewi....Mi sioni Kama namyima Uhuru..Simu hua napiga akiwa hayupo kazini...akiwa kazini sipigagi Simu..

Sasa mpnz wako kukupigia simu ndo kumyima Uhuru..Tena penzi jipya? Lakini Simu zangu hapokeagi ...Mara nililala mapema, Mara sikuisikia, saiv ndo anasema hawezi kukaa na Simu muda wote nanyima Uhuru wakufanya Mambo mengine...

Sasa Kama unamambo Mengine unafanya SI unasema Tatizo liko wapi...nipo kwenye kikao...Kutokupokea Simu Mimi naona Kama Dharau...

ukilalamika anakata Simu eti Kama huelewi Basi...jamani Mapenzi yakigumu Hakuna kumbembelezana...Hakuna romantic language...yaani yeye anachoona kinafaa ndo hicho hicho...Mtu anaamini yupo sawa haijalishi Wewe unaumia au la...

Mi sioni Kama huu Ni upendo..Mapenzi Ni mahaba na kuhurumiana...
Mtu unasafiri unaenda mbali huko mkoani utakaa labda wiki mbili...huwezi kumuaga mpnz wako Tena Ni dakika 20 TU a Gari....

Minaamini kwenye Mapenzi furaha ya mpnz wako Ni kipaumbele...Kama mtu hainvest kumfanya mpnz wake afurahi...Basi hapo HAKUNA MAPENZI.
Hili ndio lilikua lengo lako...
Hongera kwa kufunga mjadala
 
Back
Top Bottom