Haya mama, kila la heri. Ila nimefuatilia uzi wako mwanzo mpaka dakika hii na nimeona huyu jamaa hana maisha marefu na wewe.Sio maumivu ya karne..ya decade tunaanza new decade
Happy New year we mtuMmh hapo hamna kitu, jiongeze tu aisee hizo red flag zinatosha
Haiwezekani yote ujibu ila swali hili unalikwepa kwepa tu wakati lipo wazi n jibu lake jepesi tu. 😂😂😂[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....Mkuu Acha kuisemea papuchi yangu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....Eti MundedeHaiwezekani yote ujibu ila swali hili unalikwepa kwepa tu wakati lipo wazi n jibu lake jepesi tu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Daah mimi sijui nikoje ila kwa izi tabia navunja mahusiano mara moja . Nilisha mpenda mdada alikua mrembo sana kitu kilichomfanya ajiskie, ndo kila mara ananiambia yupo bize nikaona isiwe tabu sikumtafyta tena ila after kama miezi 3 akarudi kwa kasi ya ajabu nayeye ndo akawa msumbufu nikajua uko alikokua kaachika .Nikipiga coz alisema yupo njiani kurudi home ..ilikua sa nane..nikawa natuma msg hajibu...nikapiga coz nikitaka kuonana nae...coz anasafiri kesho...anasema kuonana haikua kwenye ratiba yeye hawezi vunja ratiba zake.[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]...KHAAAAAAAAAAAA
Sasa hapa ndoa Mimi kwakweli itakuwa ngumu kufungwa...Mambo yashakuwa Magumu mwanzo kabisa.
Hawa wanawake wa sasa inatakiwa asikuzoee zoee kabisa ndo mtaenda sawa na atakupenda kama ambavo mleta mada anavohaha saiDaah mimi sijui nikoje ila kwa izi tabia navunja mahusiano mara moja . Nilisha mpenda mdada alikua mrembo sana kitu kilichomfanya ajiskie, ndo kila mara ananiambia yupo bize nikaona isiwe tabu sikumtafyta tena ila after kama miezi 3 akarudi kwa kasi ya ajabu nayeye ndo akawa msumbufu nikajua uko alikokua kaachika .
Trust me . Leave the table if respect is no longer saved.
Mie si muongo jamani😝,,, utawezana tuishi kwa amani na upendo?Ni kubwa ndio na ndio wanaume wengi walivyo Yan asilimia imeendana na uhalisia waongo waongo waongo waongo waongo waongo waongo kupitiliza
Wakiachikaga wanarudi kwa ukali kinoma 😂😂😂!!!Daah mimi sijui nikoje ila kwa izi tabia navunja mahusiano mara moja . Nilisha mpenda mdada alikua mrembo sana kitu kilichomfanya ajiskie, ndo kila mara ananiambia yupo bize nikaona isiwe tabu sikumtafyta tena ila after kama miezi 3 akarudi kwa kasi ya ajabu nayeye ndo akawa msumbufu nikajua uko alikokua kaachika .
Trust me . Leave the table if respect is no longer saved.
[emoji28] Nilimeza hadi moshi,, sema kuna mambo mengine watu hua wanazingua labda wanakua wanafanya utani ila kama wapo serious kwa akili zile hata mtoto wa chekechea hawezi kufanya mambo ya kijinga kama yale..Naam ni huo huo nikasema huyu hii bangi aliyovuta leo itakuwa amevuta hadi mizizi [emoji23][emoji23]
Shukrani mkuu all the best to you too [emoji4][emoji4]
Ni kweli kabisa lakini tutafanyaje sasa zaidi ya kupambana na hali zetu.. Can you live without love? I mean hivi kuna mtu anaweza kuishi maisha yake yote bila mpenzi? Au mahusiano, Achana na watu special kama mapadri, watawa n.k[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mapenzi Ni Ushenzi
Sio wanafunzi hata watu wa kawaida wapo.. Mfano yeye hakua wakusoma.. Tatizo kubwa nadhani sio mapenzi ila ni wivu tu ndio unakua unawasumbua na wivu ni nature ya mtu anazaliwa nayo au anaupata kutokana na mazingira aliyonayo.Huyo alizidi aisee...ndio tabu ya ku date wanafunzi wa sekondari.
Happy New Year too mdada, mzima lakiniHappy New year we mtu
Mie bukheri yakhee... Hofu kwako tuHappy New Year too mdada, mzima lakini