Uhuru katika Mahusiano?

Uhuru katika Mahusiano?

Yaan mpaka hapo ushakosea step tayari. Ingekuwa ni movie [emoji688] recording, ungengoja Take 2.Huwezi kuitisha upendo as if ni mkutano wa Bodi ya Wakurugenzi kujadili hatma za hisa za makampuni yao
[emoji1][emoji1][emoji1]
 
[emoji1][emoji1][emoji1]
Hivi ukiwa nae anabehave vip? Simu za wengine anapokea?? How does he talk to others?

Wakati anakutongoza alikuwa anakukeep bize chatting au ndio amechange now??
Kama zime change now basi kuna kitu hajavutiwa na wewe au huenda anamwingine huko wa kumkeep bize.

I also advise you create mazingira ya yeye kukumiss wewe. Have some charts ambazo mtu atakuwa anamiss kuchat na wewe

Asipo kutafuta ukimtafuta chakwanza usianze kulalamika. Have some positive talks....mwana mlalamishi hukera
 
Mtu kutaka Uhuru katika Mahusiano maana Yake Nini?.
Kumpigia mpnz wako simu 3 times in a span of 5 hours nazo hajapokea Ni kumnyima Uhuru?..

Kuwa katika Mahusiano na kuishi Kama haupo katika Mahusiano ndo Uhuru?

Kwakweli nishaurini sielewi
Huu ni usanii na kama mpenzi wako anakuweka katika mtihani huu ni bora ukasepa tu mapema kwani anakuweka stand by ili afanye yake na siku akiwa dry ndiyo anakuwa na uhitaji nawe. Nasema sepa mapema usije kuumizwa.
 
Sasa naanza kujiona naitaji busara na hekima kwenye kuyaendea Mambo...

Yani nimesoma comment zangu ..Nacheka SANA.
Kuna muda tunatumia hisia na hasira zaidi kuliko busara[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hivi ukiwa nae anabehave vip? Simu za wengine anapokea?? How does he talk to others?

Wakati anakutongoza alikuwa anakukeep bize chatting au ndio amechange now??
Kama zime change now basi kuna kitu hajavutiwa na wewe au huenda anamwingine huko wa kumkeep bize.

I also advise you create mazingira ya yeye kukumiss wewe. Have some charts ambazo mtu atakuwa anamiss kuchat na wewe

Asipo kutafuta ukimtafuta chakwanza usianze kulalamika. Have some positive talks....mwana mlalamishi hukera
KWELI kabisa mkuuu... Nimejitafakari Sana...Nimejiona nimekuwa na pupa Sana...
Kuna Mambo NIMEAMUA kuyafanyia KAZi...Baada ya kunifanyia tathmin

Asante kwa huu ushauri
 
Hapo kwenye kuchoose wisely sasa ndipo mtihani ulipo! Mie ndiyo maana nimeona bora nihangaike na maisha yangu tu sitaki kuhangaishana na mtoto wa mtu aise!
Haingaiko la kumpata anayekufaa < Haingaiko la kutokuwa naye
 
If you are in a true relationship, forget about true freedom.

Huu ndio ukweli.! Mimi mpenzi wangu silalamiki akinipigia ila tunajitahidigi sana tuzungunze kwenye simu at least mara tatu kwa siku, Asubuhi kabla sijaenda Job, Mchana wakati wa Lunch na jioni nikitoka Job. Hapo haiondoi kuchat..! Tunachat muda mwingi ..!
 
Kama una mpenzi mmoja sawa. Ila kama wapo kadhaaa...
 
Back
Top Bottom