tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 12,067
- 16,607
Nimekufumbua macho tu mkuu..usije kusema sikukuambia.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....Doooh

Labda maana sielewi....Mi sioni Kama namyima Uhuru..Simu hua napiga akiwa hayupo kazini...akiwa kazini sipigagi Simu..
Sasa mpnz wako kukupigia simu ndo kumyima Uhuru..Tena penzi jipya? Lakini Simu zangu hapokeagi ...Mara nililala mapema, Mara sikuisikia, saiv ndo anasema hawezi kukaa na Simu muda wote nanyima Uhuru wakufanya Mambo mengine...
Sasa Kama unamambo Mengine unafanya SI unasema Tatizo liko wapi...nipo kwenye kikao...Kutokupokea Simu Mimi naona Kama Dharau...
ukilalamika anakata Simu eti Kama huelewi Basi...jamani Mapenzi yakigumu Hakuna kumbembelezana...Hakuna romantic language...yaani yeye anachoona kinafaa ndo hicho hicho...Mtu anaamini yupo sawa haijalishi Wewe unaumia au la...
Mi sioni Kama huu Ni upendo..Mapenzi Ni mahaba na kuhurumiana...
Mtu unasafiri unaenda mbali huko mkoani utakaa labda wiki mbili...huwezi kumuaga mpnz wako Tena Ni dakika 20 TU a Gari....
Minaamini kwenye Mapenzi furaha ya mpnz wako Ni kipaumbele...Kama mtu hainvest kumfanya mpnz wake afurahi...Basi hapo HAKUNA MAPENZI.
I think kwa wapendanao haitakiwi kufikia mkwanzano huo; hiyo sasa ni too much. Nadhani ni Afrika sijui, ambapo mambo yao wakati wote ni ^harakati za zimamoto^!??? Kuna haja ya kukaa na kupanga kama marafiki, katika mahusiano ama ndoa, mjue mnataka nini, mngependa ndoa yenu iweje, mngependa mawasiliano yenu yaweje, na kadhalika na kadhalika. Simu yoyote, wakati wowote ni muhimu maana linaweza kutokea jambo nyeti meanwhile wewe umejiwekea kanuni ya kutobudhudhiwa. ^Emergency^ ^dharura^ ^urgence^ ^emergencia^ that is obviously unkwepable!Namini Nashangaaa...Uhuru upi yaani anautaka..wakufanya Nini..mpaka Mimi Simu zangu zimpunguzie huo Uhuru...
Huyu mwanaume Ni Mgumu Sana...yaani anamisimamo ya Ajabu Sana...hata ukisema nampeleka ndugu yangu hospital..anajibu HAYA....like hata kuuliza anaumwa Nini nalo hawezi...eti kwani Huyu ndungu yako Ni Wewe?
Duuuh..kwaiyo asipokea Simu sawa...Mimi sikutaka kujua anafanya Nini Mimi nikitaka kuona Kama Kuna uwezekano wa kuonana tena niliuliza kwa text lakini hakujibu...Baada ya Muda mrefu anasema min nalalamika Sana...Sasa Kama Jambo limekukwaza ukae kimya TU?...Uhuru ktk mahusiano ni mada pana mno. La muhimu kila moja wapo anapaswa kumuamini mwenzake bila kutaka kujua ya ndani "yalikuaje... unafanya nini hapo... "na mengineo. ili upate uhuru ktk mahusiano yako ni vyema usitake kujua kila kitu cha mwenzako bila ruhusa. Kujifanya kiziwe na kipofu ili uzidishe kuenshi na furaha ndani ya mahusiano yako...
Dah sijajua bado unasubiri nini, kweli mapenzi ni upofu hapo naona kama umeachwa ila bado hujaambiwa, sasa ww subiria kuambiwaMtu kutaka Uhuru katika Mahusiano maana Yake Nini?.
Kumpigia mpnz wako simu 3 times in a span of 5 hours nazo hajapokea Ni kumnyima Uhuru?..
Kuwa katika Mahusiano na kuishi Kama haupo katika Mahusiano ndo Uhuru?
Kwakweli nishaurini sielewi
Sema nini shida..Mtu kutaka Uhuru katika Mahusiano maana Yake Nini?.
Kumpigia mpnz wako simu 3 times in a span of 5 hours nazo hajapokea Ni kumnyima Uhuru?..
Kuwa katika Mahusiano na kuishi Kama haupo katika Mahusiano ndo Uhuru?
Kwakweli nishaurini sielewi
Mtu kusema NAKUPENDA na kuonesha kwa vitendo Ni vitu viwili tofautiSimu unapiga Mara tatu
Asubuhi kumjulia Hali ameamkaje
Mchana kumsalimu siku inakwendaje
Na usiku kuongea nae siku imeendaje na kumtakia usiku mwema
Nb: unaweza usimpigie ukamtext tu au piga Mara moja tu
Au walokole nakosea?
Mimi napenda Sana halima wangu wa manzese anavyonisumbua na simu hujakaa sawa uko kwenye majukumu ukisema uwashe simu unakuta missed call 2 maana kazin nawekaga silence sipend usumbuf hapo nampigia anakua kanuna naanza kumbembeleza
Inawezekana kabisa umekutana na mtu ambaye anaamini katika methali ya "samaki mkunje angali mbichi". Anaona aku-treat kiugumuLabda maana sielewi....Mi sioni Kama namyima Uhuru..Simu hua napiga akiwa hayupo kazini...akiwa kazini sipigagi Simu..
Sasa mpnz wako kukupigia simu ndo kumyima Uhuru..Tena penzi jipya? Lakini Simu zangu hapokeagi ...Mara nililala mapema, Mara sikuisikia, saiv ndo anasema hawezi kukaa na Simu muda wote nanyima Uhuru wakufanya Mambo mengine...
Sasa Kama unamambo Mengine unafanya SI unasema Tatizo liko wapi...nipo kwenye kikao...Kutokupokea Simu Mimi naona Kama Dharau...
ukilalamika anakata Simu eti Kama huelewi Basi...jamani Mapenzi yakigumu Hakuna kumbembelezana...Hakuna romantic language...yaani yeye anachoona kinafaa ndo hicho hicho...Mtu anaamini yupo sawa haijalishi Wewe unaumia au la...
Mi sioni Kama huu Ni upendo..Mapenzi Ni mahaba na kuhurumiana...
Mtu unasafiri unaenda mbali huko mkoani utakaa labda wiki mbili...huwezi kumuaga mpnz wako Tena Ni dakika 20 TU a Gari....
Minaamini kwenye Mapenzi furaha ya mpnz wako Ni kipaumbele...Kama mtu hainvest kumfanya mpnz wake afurahi...Basi hapo HAKUNA MAPENZI.
Mbona unaonekana una picha kamili ya kinachoendelea. Mimi naona umejishauri vizuri sana.Labda maana sielewi....Mi sioni Kama namyima Uhuru..Simu hua napiga akiwa hayupo kazini...akiwa kazini sipigagi Simu..
Sasa mpnz wako kukupigia simu ndo kumyima Uhuru..Tena penzi jipya? Lakini Simu zangu hapokeagi ...Mara nililala mapema, Mara sikuisikia, saiv ndo anasema hawezi kukaa na Simu muda wote nanyima Uhuru wakufanya Mambo mengine...
Sasa Kama unamambo Mengine unafanya SI unasema Tatizo liko wapi...nipo kwenye kikao...Kutokupokea Simu Mimi naona Kama Dharau...
ukilalamika anakata Simu eti Kama huelewi Basi...jamani Mapenzi yakigumu Hakuna kumbembelezana...Hakuna romantic language...yaani yeye anachoona kinafaa ndo hicho hicho...Mtu anaamini yupo sawa haijalishi Wewe unaumia au la...
Mi sioni Kama huu Ni upendo..Mapenzi Ni mahaba na kuhurumiana...
Mtu unasafiri unaenda mbali huko mkoani utakaa labda wiki mbili...huwezi kumuaga mpnz wako Tena Ni dakika 20 TU a Gari....
Minaamini kwenye Mapenzi furaha ya mpnz wako Ni kipaumbele...Kama mtu hainvest kumfanya mpnz wake afurahi...Basi hapo HAKUNA MAPENZI.
Duh..Duuuh..kwaiyo asipokea Simu sawa...Mimi sikutaka kujua anafanya Nini Mimi nikitaka kuona Kama Kuna uwezekano wa kuonana tena niliuliza kwa text lakini hakujibu...Baada ya Muda mrefu anasema min nalalamika Sana...Sasa Kama Jambo limekukwaza ukae kimya TU?...
Mapenzi Ni compromise...Kila upande ushow effort,...
Mi naona yaani Ni Mahusiano Magumu Sana...Anasema nimsome nijue anataka Nini...namsomaje Simu hapokei, text zenyewe Sio mtu Wa kufunguka...
Eti nimuachie Mahusiano yeye ayalead... Kwaiyo mawasiliano Ni Mpaka yeye aamue....Mimi sisubirie tu ajisikie kuwasiliana
Labda maana sielewi....Mi sioni Kama namyima Uhuru..Simu hua napiga akiwa hayupo kazini...akiwa kazini sipigagi Simu..
Sasa mpnz wako kukupigia simu ndo kumyima Uhuru..Tena penzi jipya? Lakini Simu zangu hapokeagi ...Mara nililala mapema, Mara sikuisikia, saiv ndo anasema hawezi kukaa na Simu muda wote nanyima Uhuru wakufanya Mambo mengine...
Sasa Kama unamambo Mengine unafanya SI unasema Tatizo liko wapi...nipo kwenye kikao...Kutokupokea Simu Mimi naona Kama Dharau...
ukilalamika anakata Simu eti Kama huelewi Basi...jamani Mapenzi yakigumu Hakuna kumbembelezana...Hakuna romantic language...yaani yeye anachoona kinafaa ndo hicho hicho...Mtu anaamini yupo sawa haijalishi Wewe unaumia au la...
Mi sioni Kama huu Ni upendo..Mapenzi Ni mahaba na kuhurumiana...
Mtu unasafiri unaenda mbali huko mkoani utakaa labda wiki mbili...huwezi kumuaga mpnz wako Tena Ni dakika 20 TU a Gari....
Minaamini kwenye Mapenzi furaha ya mpnz wako Ni kipaumbele...Kama mtu hainvest kumfanya mpnz wake afurahi...Basi hapo HAKUNA MAPENZI.
Mkuu hapo hakuna kitu jamaa ana mtu mwingne hebu pumzika kwanza muache kama alivyoDuuuh..kwaiyo asipokea Simu sawa...Mimi sikutaka kujua anafanya Nini Mimi nikitaka kuona Kama Kuna uwezekano wa kuonana tena niliuliza kwa text lakini hakujibu...Baada ya Muda mrefu anasema min nalalamika Sana...Sasa Kama Jambo limekukwaza ukae kimya TU?...
Mapenzi Ni compromise...Kila upande ushow effort,...
Mi naona yaani Ni Mahusiano Magumu Sana...Anasema nimsome nijue anataka Nini...namsomaje Simu hapokei, text zenyewe Sio mtu Wa kufunguka...
Eti nimuachie Mahusiano yeye ayalead... Kwaiyo mawasiliano Ni Mpaka yeye aamue....Mimi sisubirie tu ajisikie kuwasiliana
JiongezeKWELI kabisa yaani...unaweza piga TU simu ulalamike mi naona hunipendi..Basi unabembelezwa...
Huyu yeye anasema Kama umepiga Simu kulalamika KATA TU SIMU...
Naona hapa nijiongeze tu