Uhuru katika Mahusiano?

Uhuru katika Mahusiano?

Mkuu Kama enzi hizi za JF...upo JF..Kwanini usimuulize Babu yako kabla ya internet walikuwa wanafanya Nini Ukafanye hayo badala ya kuingia JF.

Hivi kweli Enzi hizi za Simu niandike barua kumtumia.mpnz nikisubiria majibu baada ya wiki mbili...

Hebu FICHA ujinga wako Wewe MPUMBAFU...
Sorry Youuu.,..

Kuwakuwa kwanza.
 
Matatizo unayapimaje ? Kupoteza muda katika mambo ya kipuuzi siyo tatizo ? Kupoteza katika mambo yasiyo na faida na wewe si tatizo ? Au kwako wewe tatizo ni nini ?
Mkuu mambo ya kipuuzi kwa jicho la nani? Huenda wewe unaona ni upuuzi lakini mwenzako yuko ok.
Matatizo ninayoyazungumzia mkuu ni kufanikuwa kutokuwa na kigogoro kwenye familia...
Sasa mtu katoka kuangalia mpira anarudi akapiga story na sweet wake wanafurahia maisha hapo utasema Kuna tatizo...
Sijui filosofia yako ni ya aina gani mkuu...
 
ACHANA na mahabari yaliyopita hayana masaada kwa maisha yambeleni

Upendo ndio kila kitu huwa haufi kama mnapendana kweli, huyu unaeza mfanya ex lakini kwa sababu unampenda unaweza mpa nafasi tena kama ataomba samahan na kuamua kujirekebisha.
 
Haitafanikiwa. Mtu anaejali huwa hata kwenye simu wangeweza jadili. Sasa mtu analalamika yeye anamwambia kama unapiga kulalamika kata simu, maana yake si hataki kujadili kero za bibie.
Sasa namuuliza Ina maana Mimi hisia zangu hazina maana.... Akakaa kimy eti ongea ukimaliza kata SIMU[emoji44][emoji44][emoji44]

Sasa Kama hizi Sio dalili kwa mwenye Akili.
Kama hutaki Wala hujali kuwa matendo yako yananiumiza mtu... unaTAKA tujadili Nini?

Na unamwabia MBONA Wewe mbinafsi..jibu lake ndo nilivyo siwezi badilika khaaa....Huyu mtu NIMEMUONA KAMA KICHAAA
 
Hii kitu hata mimi nafanyaa na sijui nilianza vipi lakini sipendi mtu anaepiga simu mara nyingi au text nyingii ni mvivu kutumia simu.Text naweza kusoma kama ishu sio ya muhimu sijibu naendelea na kazi zangu hapa wengi nimeachana nao sasa na mimi ndo kasoro yangu eti mtu hawezi kuvumilia basi naonaga isiwe shida kila mtu achukue time yaan ata hujanifumania unataka tuachane nakubembelezaje hapo.
Hizo ni dharau. Na kuna vitu wewe utataka afanye kwa niaba yako ila yeye hatokuwa tayari kufanya kisha atakwambia yeye ndio yupo hivyo.....
 
Unaiona simu kabisa na wala hauko busy ila unaona taabu kuipokea. Tena ndio apige aanze malalamiko , unaweza kumkatia simu aendelee kupiga kelele mwenyewe. Bibie ajiongeze tu.
Hahahahah mule mule yani, ile milalamiko ni kama mbuzi analia mee kwenye line...Unaamua huokoti simu tu maana unajua kinachofuata ni kero tu maninx au unamuuliza ndio ushaanza eh af simu unaitia nyundo tu juu kwa juu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], umenifuata hadi huku ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha nimecheka hadi nimepaliwa mate
Sam usimtese mrembo bana 😂😂😂 pokea simu zake alooh!
 
Mtu kutaka Uhuru katika Mahusiano maana Yake Nini?.
Kumpigia mpnz wako simu 3 times in a span of 5 hours nazo hajapokea Ni kumnyima Uhuru?..

Kuwa katika Mahusiano na kuishi Kama haupo katika Mahusiano ndo Uhuru?

Kwakweli nishaurini sielewi
Uhuru anaotaka nje ya wewe ni uhuru gani?
relationship is about kujitoa, kutokuwa mbinafsi etc,
ukishaona mtu anajijali yeye na mambo yake, muda wake hapo kuna walakini. probably hapo mmepangwa.
shituka!!!
 
Back
Top Bottom