Quetzal
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 6,345
- 10,840
- Thread starter
- #341
Namini nashangaa Huyu anamuuliza mbona mbinafsi..Anakujibu ndo nilivyo...Tena anakuuliza unaweza ishi na mtu mbinafsi?...yaani anataka Mahusiano yaende atakavyo yeye...yaani Simu apige yeye akiamua..text atume yeye akiamua..Uhuru anaotaka nje ya wewe ni uhuru gani?
relationship is about kujitoa, kutokuwa mbinafsi etc,
ukishaona mtu anajijali yeye na mambo yake, muda wake hapo kuna walakini. probably hapo mmepangwa.
shituka!!!
Kuhusu hisia zakO YEYE HAZIMUHUSU