Uhuru katika Mahusiano?

Uhuru katika Mahusiano?

Mimi nilikuwa hivyo, nikaingia Cha kiume

Nikapata wa hivyo, yaani niliisha nikawa Kama Nina utapiamlo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ukweli unaona na nafsi inagoma kukubaliana na unachokiona
Nyie mnakondaje jamani..na mapenzi..Mimi hapa leo sijafanya KAZi yotote nimedeligate...Ila Nasikia NJAAA BALAAAA... Yaani naona Huyu nlimoa kazi ya kupika anachelewa..

Kukonda kisa Mapenzi Sijawai...ILA KUUMIA ROHO hii Mara ya pili
Nanisipo angalia kitambi kitarudi...nikiwa na stress NAKULA SANA
 
Sasa Kama hakukufanyia baya lolote mbona ulikuja kumdhihaki Sana huku , aisee hapa sasa nimeelewa kwel mwanamke ukishatembea nae mapenzi hua hayaishi , kwa maneno haya unayoongea sasa, Jamaa akirudi kupasha kiporo wallah huchomoi
PM yako imefungwa..ningekueleza kinaga ubaga...HAPA SIWEZ ELEZEA SANA
 
Sawa nimeshakuelewa , ngoja niendelee kumpigia chapuo Jamaa, kama vip mrudie tu maana alionekana ana upendo Wa kwel kwako
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...Siwezi Aisee
Siwezi enda mbele alafu NIKARUDI NYUMA...Huo Ni uzwazwa
 
Nyie mnakondaje jamani..na mapenzi..Mimi hapa leo sijafanya KAZi yotote nimedeligate...Ila Nasikia NJAAA BALAAAA... Yaani naona Huyu nlimoa kazi ya kupika anachelewa..

Kukonda kisa Mapenzi Sijawai...ILA KUUMIA ROHO hii Mara ya pili
Nanisipo angalia kitambi kitarudi...nikiwa na stress NAKULA SANA
Una stress za kula kula

Mimi ni kulala tuuuuu njaa haiumi
 
Hahahah hii ni habari kwa kifupi tu [emoji23]!!!
Ilishawahi kunitokea, mungu anisamehe tu jamani ila dah sikuwa na jinsi.
Unaiona simu kabisa na wala hauko busy ila unaona taabu kuipokea. Tena ndio apige aanze malalamiko , unaweza kumkatia simu aendelee kupiga kelele mwenyewe. Bibie ajiongeze tu.
 
Una stress za kula kula

Mimi ni kulala tuuuuu njaa haiumi
Hapana..kwanza hapa nshachangamka...naanza shughuli zangu zingine..msiba ulianza Jana mchana umaish alafajiri ya leo
 
Labda maana sielewi....Mi sioni Kama namyima Uhuru..Simu hua napiga akiwa hayupo kazini...akiwa kazini sipigagi Simu..

Sasa mpnz wako kukupigia simu ndo kumyima Uhuru..Tena penzi jipya? Lakini Simu zangu hapokeagi ...Mara nililala mapema, Mara sikuisikia, saiv ndo anasema hawezi kukaa na Simu muda wote nanyima Uhuru wakufanya Mambo mengine...

Sasa Kama unamambo Mengine unafanya SI unasema Tatizo liko wapi...nipo kwenye kikao...Kutokupokea Simu Mimi naona Kama Dharau...

ukilalamika anakata Simu eti Kama huelewi Basi...jamani Mapenzi yakigumu Hakuna kumbembelezana...Hakuna romantic language...yaani yeye anachoona kinafaa ndo hicho hicho...Mtu anaamini yupo sawa haijalishi Wewe unaumia au la...

Mi sioni Kama huu Ni upendo..Mapenzi Ni mahaba na kuhurumiana...
Mtu unasafiri unaenda mbali huko mkoani utakaa labda wiki mbili...huwezi kumuaga mpnz wako Tena Ni dakika 20 TU a Gari....

Minaamini kwenye Mapenzi furaha ya mpnz wako Ni kipaumbele...Kama mtu hainvest kumfanya mpnz wake afurahi...Basi hapo HAKUNA MAPENZI.
Kwann sasa uwe na mtu wa namna hii kwanza.....?!
 
Unaiona simu kabisa na wala hauko busy ila unaona taabu kuipokea. Tena ndio apige aanze malalamiko , unaweza kumkatia simu aendelee kupiga kelele mwenyewe. Bibie ajiongeze tu.
Namimi ndo naambiwa Kama unapiga Simu kulalamika KATA SIMU dooh

Nikamkumbuka mpnz Wangu alivyokua ananiambia Sasa unalalamika Nini? unaTAKA nikupendeje...Basi haya unaTAKA nikulambe matako[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
.
Nyuma sirudi HATA IWEJE ..tunasonga front
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Namimi ndo naambiwa Kama unapiga Simu kulalamika KATA SIMU dooh

Nikamkumbuka mpnz Wangu alivyokua ananiambia Sasa unalalamika Nini? unaTAKA nikupendeje...Basi haya unaTAKA nikulambe matako[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
.
Nyuma sirudi HATA IWEJE ..tunasonga front
Duuuuh!! [emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Pole sana.
 
Sam......huwaga hueleweki wacha ninywe apple punch nikurudie, nakufungulia Uzi kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], umenifuata hadi huku ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha nimecheka hadi nimepaliwa mate
 
Mkuu.... sinimesema nilidanganywa...au unadhani nilikua najua outcome nika ignore
Nimekuelewa vema. My point ni kuwa mtu wa namna hii anaeishi na wewe kwa dharau hivi kwanza hiyo nguvu ya kumtafuta unatoa wapi?!

Raha ya mapenzi ni kutukuzana. Yaani unaabudu uwepo wa Mwenzako katika maisha yako. Sio unakuwa unamtazama kama kituko ukitarajia afanye vitu kwa ajiri yako na wewe hakuna unalofanya kwaajiri yake....
 
Back
Top Bottom