Quetzal
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 6,345
- 10,840
- Thread starter
- #281
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....Sijui Watu hua wanadefine vipi Upendo... Ukimpenda mtu Simu yake unaifurahia sanaaa...Tena anaanza mylove, nyonga mkalia ini...nipo busy ntakupigia...Basi Roho kwatu..Ya kupigiwa simu, kuulizwa nipo wapi, nafanya nn yani ndio mapenzi ninayoyataka ila unayoyapitia sasa ndio ninayoyapitia mimi kwa madam mmoja ivi mpka najuta
Looh hili gudume...linasema lenyewe Ni SELFISH nawala halijali..khaaa
What the hell