Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,341
- 201,597
Swali la msingi; Alimega mkate?
Mzee swali gani hili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi natabiri jamaa alipata Ngoja tuone
Swali la msingi; Alimega mkate?
Hapana... Sio karma.. tulikubaliana kuachana Wala sikuumia Sana au kutoa chozi...mpaka Leo Sina chuki nae....Wala sinabaya lakumsemea...
Kwa dunia hii ya sasa ya science na technology, simu ndio kila kitu kwa mawasilianoMawasiliano ndo Mapenzi communication ndo Mapenzi....Sasa tukiwasiliana asubuh..umeamkaje Salam...Alafu usiku ..usiku mwema
Hapo ndo Mapenzi yanakuwa wapi..
Mapenzi Ni mahaba..na mahaba yaanza kwa kuwasiliana na kuambiana maneno mazuri
Niwe mkweli...hua namkumbuka Tena sana lakini sikuumia moyo kabisa..Sijui yeye..coz nilimblock..so Sijui anaendeleajeTatizo lako unajiongelea wewe tu japo ni sahihi kwa sababu uwezi jua yanayoendelea moyoni mwa mtu. Hata kama mlikubaliana kuachana haimaanishi hakuna maumivu kati yenu mfano halisi ni wa hii hali unayopitia sasa hata mkiachana kwa amani bado kuna mmoja aliependa zaidi ataumia kwa kuwa sio lengo la mahusiano.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....Sijui Watu hua wanadefine vipi Upendo... Ukimpenda mtu Simu yake unaifurahia sanaaa...Tena anaanza mylove, nyonga mkalia ini...nipo busy ntakupigia...Basi Roho kwatu..
Looh hili gudume...linasema lenyewe Ni SELFISH nawala halijali..khaaa
What the hell
Mkuu hivi ndoa inatokeje bila mahusiano?Kwanza unakubali vipi kuwa katika mahusiano ?
Naam ni huo huo nikasema huyu hii bangi aliyovuta leo itakuwa amevuta hadi mizizi [emoji23][emoji23][emoji28] Bila shaka ni ule wa wapenzi ku share mswaki.. Danh! Dunia ina mambo kweli mka share kitu cha sh. 500 as if gharama za kukinunua zimekua kubwa.
Inapendeza kama mwaka mpya upo njema.. All the best to you.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Life is not fair kabisa, kuna muda unaamua kutulia na kua serious katika mahusiano yako, unaacha uchafu wote unakua clean kabisa.
Unaamua hadi kuachana na mambo ya michepuko mwisho wa siku kumbe wewe ndio mchepuko wenyewe.. [emoji25][emoji29]
[emoji125][emoji125][emoji125]
Niwe mkweli...hua namkumbuka Tena sana lakini sikuumia moyo kabisa..Sijui yeye..coz nilimblock..so Sijui anaendeleaje
Hapo jua tu haupendwi na hauhitajiki..... Jamaa anakuonyesha hizo dharau kama ishara ya kukufanya ujue yeye hana hisia na wewe.KWELI kabisa yaani...unaweza piga TU simu ulalamike mi naona hunipendi..Basi unabembelezwa...
Huyu yeye anasema Kama umepiga Simu kulalamika KATA TU SIMU...
Naona hapa nijiongeze tu
Utajuaje kama sio baharia huyu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio hivyo , haya yanayokukuta usikute ni dua baya LA Jamaa maana ulimdhihaki Sana , atakua alikuombea uwe unakutana na mabaharia [emoji1787][emoji1787] kazi unayo ya kuendelea kupiga kunut
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mapenzi Ni Ushenzi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ...ntakuja na ID mpya..maana mnayohusianisha Wala hayana uhusianoUtajuaje kama sio baharia huyu?
Utakuta binti baada ya kukataa kufua jamaa akapiga kimya ili amle kwanza halafu ndio aanze vituko
Mapenzi Ni hisia..hiyo miongozo ya Mapenzi Ni ipi...?Kwa maoni yangu,
Mahusiano ya kimapenzi na ndoa yanakuwa magumu kuendesha kwa sabb "kipi ni sahihi na kipi si sahihi" kinaamuliwa "kwa hisia zaidi na mtizamo zaidi" kuliko kupitia miongozo inayoeleweka.
Haitafanikiwa. Mtu anaejali huwa hata kwenye simu wangeweza jadili. Sasa mtu analalamika yeye anamwambia kama unapiga kulalamika kata simu, maana yake si hataki kujadili kero za bibie.Naelewa sana unachokiongea. Hapo changamoto mmekutana watu wawili tofauti na mwenza wako hayuko tayari kubadilika na kuendana na wewe.
Mnapokua kwenye mahusiano inatakiwa kila mtu awe tayari kubadilika kwa ajili ya mwenzake. Kujitoa kumfurahisha mwenza wako kwa vitu ambavyo vya muhimu kwake hata kama sio kipaumbele kwako. Hakuna mapenzi bila "sacrifice" lazima wote muwe tayari kusjitoa kwa mwenzake.
Kupigiana simu kila baada ya muda ni mapenzi nayo, ni dalili mtu unapendwa na mwenza wako anakufikiria. Kwa wengine wanaweza kuona ni dalili ya kubanwa ila sivyo.
Ushauri: Muite sehem kaa naye chini na mueleze kinagaubaga. Kama kweli anakupenda atabadilika kwa ajili yako.
Siwezi enda mbele alafu NIKARUDI NYUMA..NOMA
Daima mbele Nyuma mwiko