Ugwadu! Kiboko ya mchawi

Nikiwa mdogo nimelazwa Na ndimu na kisu mpaka nimeanza kujielewa., sisi wahindi hivi vitu huwa hatudharau.
Indian hebu nieleze hayo maujanja sababu hata mm nimeambiwa nimuwekee mtoto ucku anaweweseka sana ila how it works sijaambiwa
 
ukitaka kulala ni lazma uikate kipande au hata mzma mzma inafaa?
 
Mshana vp kuhusu mafuta ya simba
 
Indian hebu nieleze hayo maujanja sababu hata mm nimeambiwa nimuwekee mtoto ucku anaweweseka sana ila how it works sijaambiwa

Mkuu kufanya kazi Ni kumzuia mtoto Na hao wanga, au michawi. Muwekee bana inasaidia sana. Wahindi hawa dharau kabisa kila kitu mpaka Leo nafanya.
 
Mkuu kufanya kazi Ni kumzuia mtoto Na hao wanga, au michawi. Muwekee bana inasaidia sana. Wahindi hawa dharau kabisa kila kitu mpaka Leo nafanya.
Poa Sunn Shet
 
Kweli mkuu wangu yaani makabila ya "huku kwetu" tunda hilo huitwa "limawe" sasa tunajisahau hadi huku jf tunalitumia tu bila kujua kuwa halitambuliki.
Kumbe hata ugwadu una tafsiri nyingine kabisa tofauti na uchachu
 
Wakijipanga upya nadhani ndo watakuua kabisa!!
 
Duuuuu iseee. Vip na kuchoma sindano, Unachoma kenye limao zima au kipande?
Hakuna tofauti japo mara nyingi ni kipande ili kuleta effects zaidi
Kumbuka ndimu inayojaza mate mdomoni ni ile iliyokatwa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…