uguza pole @gfsonwin!

uguza pole @gfsonwin!

Pole sana dia.
Mungu ni mwema atamponya mwanetu.
Tunamwombea apone upesi. Hatutachoka kukuombea gfsonwin
 
Last edited by a moderator:
wapendwa thanks a million. mbarikiwwe sana kw asalamu zenu za upendo kwangu na kwa mwanangu. Namshukuru sana Mungu upasuaji umeenda salam a na mida hii ndo karudishwa wodini ila bado anausingizi. naamin kwa maombi na sala zenu atapona mapema tu.

kafanyiwa upasuaji wa mguu corrective osteomalities(femur). msichoke kuniombea wapendwa wangu.

love you wote.

mwl.
pamoko sana gfsonwin! tupo pamoja!
 
Last edited by a moderator:
mhhhhhh dont I know u gfsonwin!??

eniwei, mpe pole mwanetu huyo atapona tu kwa uwezo wa Mungu!!!
cacico, vp baadaye nishtue basi tukamwone mgonjwa...
 
Last edited by a moderator:
Pole sana[QUOTE=gfsonwin;47554
mungu wetu ni mwema sana atakusaidi.
Mungu akupe amani na uvumilivu.
Tutazidi kukuombea!
 
thats ol in your mind, makubwa haya! Vp mume wangu unamuonaga?

Ndo mana yake.
Hayo ndo maisha dear.
Mme wenu huwa hakaagi mara kwa mara Fyatanga.
ye bar yake kubwa ni Club Entienes,afu anajulikana kwa jina la Mzee wa Kaunta,
Mzee wa kutoa Ofa.
Cku ntakutonya uje umfumanie na mijimama ya Boko.
 
wapendwa thanks a million. mbarikiwwe sana kw asalamu zenu za upendo kwangu na kwa mwanangu. Namshukuru sana Mungu upasuaji umeenda salam a na mida hii ndo karudishwa wodini ila bado anausingizi. naamin kwa maombi na sala zenu atapona mapema tu.

kafanyiwa upasuaji wa mguu corrective osteomalities(femur). msichoke kuniombea wapendwa wangu.

love you wote.

mwl.

Pole dada. Mwenyezi Mungu na akujalieni heri!
 
wapendwa thanks a million. mbarikiwwe sana kw asalamu zenu za upendo kwangu na kwa mwanangu. Namshukuru sana Mungu upasuaji umeenda salam a na mida hii ndo karudishwa wodini ila bado anausingizi. naamin kwa maombi na sala zenu atapona mapema tu. kafanyiwa upasuaji wa mguu corrective osteomalities(femur). msichoke kuniombea wapendwa wangu. love you wote. mwl.
hakika Mungu ni mwema na anaweza yote,tunakupenda sana na tunamwombea mtoto wetu apone mapema.
 
Mungu akutie nguvu wewe pamoja na mtoto ,uguza pole mamii gfsonwin Mungu mwenye Huruma atamlinda na kumponya mwanao amen
 
Pole sana kwa kuuguza dear.Let us pray for the childs quick recovery.
 
mhhhhhh dont I know u gfsonwin!??

eniwei, mpe pole mwanetu huyo atapona tu kwa uwezo wa Mungu!!!
cacico, vp baadaye nishtue basi tukamwone mgonjwa...
usikonde Mentor, nitakushtua! natoka job saa 11, nadhani utanikuta hosy! mzima wewe?
 
Last edited by a moderator:
wapendwa thanks a million. mbarikiwwe sana kw asalamu zenu za upendo kwangu na kwa mwanangu. Namshukuru sana Mungu upasuaji umeenda salam a na mida hii ndo karudishwa wodini ila bado anausingizi. naamin kwa maombi na sala zenu atapona mapema tu.

kafanyiwa upasuaji wa mguu corrective osteomalities(femur). msichoke kuniombea wapendwa wangu.

love you wote.

mwl.
bwana apewe sifa. natumaini atapona muda si mrefu na kurudia kwenye hali ya kawaida 🙂
 
Muda mfupi uliopita ndio tumetoka hapo Muhimbili kumuona dada yetu na mwalimu wetu gfsonwin akimuuguza mwanaye. Nilikuwa nimeambatana na mdau mwenzangu wa JF KakaKiiza....
Mtoto anaendelea vizuri na inshaallah kwa maombi na dua zenu atapona...................
 
Last edited by a moderator:
nimewasiliana na mdada wangu wa moyoni gfsonwin, amelazwa na mtoto moi muhimbili! mtoto ameshaingia theatre na anafanyiwa upasuaji wa mguu! MUNGU NI MWEMA MY DEAR, TUNAMKABIDHI mtoto mikononi mwake, sisi TUNAOMBA yeye ATATENDA!
we are together sweetheart, take heart!
Leo imekuwa siku ya bahati kwangu maana leo nilikuwa katika mizunguko yangu ya mjini nikiwa mahali nataka kuegesha gari nikakutana na Jamaa mmoja amemshika mtoto anavuka gari ila kwakuwa mimi nilikuwa na wahi magari nilikuwa speed kidogo nikakatiza barabara yule kaka akanitazama kwa mshangao lakini niliposhuka sikumfahamu huyo kaka lakini akili ikanituma mtazame usoni kumtazama nikakuta ni sura nayoitambua kumbe ni Kaka Mtambuzi na mwanae wakiume nikasimama tukasalimiana lakini akaniambia naelekea Muhimbili!Nikamuuliza Mihimbili??kulikoni??akasema kuna dada mmoja anaitwa gfsonwin ! wa jf anauuguza mtoto pale MOI nokamwuliza kama alikuwa na haraka au anisubiri niingie Banki mara moja then twende wote naye akakubali akanisubiri yeye nakijana wake wakiume Tototundu..lol!Basi nilipomaliza kazi yangu tukenda mpaka Muhimbili hadi MOI tukakutana na dada nesi tukamwuliza kama tunaweza kuingia word E akasema itabidi tumsubiri amalize shughuli za kuwatibu wagonjwa tukawa tunasubiri kwenye korido ..baada ya dakika kama 2..3..hivi akaja Dada mmoja Mrembo! akasalimiana na Mtambuzi mimi nikajua wanafahamiana tu basi walipo maliza kusalimiana akamtambulisha kwangu huyu ndiye gfsonwin !Nikabaki kinywa wazi naye akatambulishwa kuwa huyu ndiye KakaKiiza basi tukasalimiana na aktupeleka alipo lazwa Mwanae mpendwa kweli mtoto alionekana kuwa na maumivu ila kwakuwa ni mtoto wakiume alionyesha uvumilivu wa mwana ume basi tukamfariji pale mpaka tulipo ondoka.Nashukuru Mtambuzi kwakunikutanisha na gfsonwin !Mungu akupe rehema zake na mtoto apone haraka Amina.
 
akanisubiri yeye nakijana wake wakiume Tototundu..lol!
KakaKiiza umesahau kusimulia mkasa wa Tototundu, aliopokataa kwenda kumuona mwenzie kwa kuogopa sindano....LOL
lakini pia hata mgonjwa naye ni Tototundu.... Kwa mujibu wa dada gfsonwin.
Lau kama wangekutana naamini mgonjwa angepona na wangecheza kiduku hapo wodini.....LOL
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom