Ugomvi wa Mengi na Prof. Muhongo nani msuluhishi?

Ugomvi wa Mengi na Prof. Muhongo nani msuluhishi?

Ingekuwa ni Bahkresa ni mzuri! ila sishangai pia ni kwanini unampinga Nyerere japo ndo mwasisi wa chama chako.

Haya basi mbio za uraisi ndani ya chama chako ni Lowasa, Six,Membe.
Ukija upinzani ni Slaa na Mbatia. Nadhani utaamia Zenji.
kama wewe ni mkristo basi unashusha hadhi ya ukristo, wa kristo hawana mawazo madogo kama yako, na zaidi ya hapo Raisi ajaye hakuna anayejua atakuwa nani? , na usiwe na fikra kwamba nchi hii ni ya wakristo au wakristo ni better off kuliko wengine. toa toa akili yako ya kitoto hapa. tutamsema mtu kutokana na mapungufu yake, iwe muislamu/mkristo/mpagani iwe ni Kikwete/Bakhresa/Mkapa/Mengi/Sospeter/
 
HIVI NYIE MNAMJUA MENGI AU MNAMSIKIA,,,,,,,,,???? Yaani katika watu wanyonyaji katika nchi hii wa kwanza ni MENGI. Yaani Mengi anawanyonya watu kuliko hata Wahindi,mbaya zaidi huyu mzee ni MKABILA.

Bora mnyonyaji anayekuajiri kuliko mwizi anayeiba anakwenda kuwekeza uswis kama Chenge, za EPA hadi Dubai zipo, Escrow, na nyingine nyingi tunazisikia tu katika media na nyingine tunasikia kupitia milango ya panya na hazisemwi.
 
Alafu wanasemaga huyu mbatia ni kama walivyomnini yule mbunge wa arusha eti huwa anatoa hiyo huduma labda huyu mengi ni mdau wake wa iyo bidhaa
 
Tukisema kuna wabunge wanatumika kwa maslahi ya watu mnakataa, na Spika mama Makinda ameshaonya hilo sasa imedhihirika wakina Mbatia kumtetea Mengi hadharani huko c ndio kutumika? Kuna wengi na mengi soon mtawatambua tuu, Muhongo amejitolea kulisaidiabTaifa na Watanzania maskini lkn kuna wabunge Wako kwa ajiri ya maslahi binafsi. Safari ni ndefu lkn ushindi upo.
 
Kwani kuna mtu kawazuia wazawa kukusanya mtaji na kwenda kuwekeza? Kusanyeni mtaji mkanunue kitalu, mi zangu nitawekeza TPDC kwa sababu TPDC itaingia ubia na makampuni yaliopata gas, Kama mnataka kwenda baharini kujaribu mkikosa shauri yenu, msiseme hatujawaambia

Kila la heri mkuu, katika uwekezaja na investments kila mtu ana mtizamo wake. Mengi yeye anataka waungane wawe na vitalu anajua ni kwa nini. Mimi nisiye na hela za kutosha vitalu basi nitaingia TPDC. Cha msingi serikali iwe na sikio sikivu kwa wazalendo wake.
 
Alafu wanasemaga huyu mbatia ni kama walivyomnini yule mbunge wa arusha eti huwa anatoa hiyo huduma labda huyu mengi ni mdau wake wa iyo bidhaa

Mkuu tuko katika sensitive matter katika Jukwaa la Siasa Mkuu, haya uliyosema kwa lugha hizi ni kule jukwaa la MMU!!! Tunapasua vichwa hapa kutoa hoja!!! How dare insulting Mr. Mengi kwa lugha hii?? Kanzishe mada ya Mengi na Mbatia kama unavyofikiri katika jukwaa husika na sii hapa.
 
Tukisema kuna wabunge wanatumika kwa maslahi ya watu mnakataa, na Spika mama Makinda ameshaonya hilo sasa imedhihirika wakina Mbatia kumtetea Mengi hadharani huko c ndio kutumika? Kuna wengi na mengi soon mtawatambua tuu, Muhongo amejitolea kulisaidiabTaifa na Watanzania maskini lkn kuna wabunge Wako kwa ajiri ya maslahi binafsi. Safari ni ndefu lkn ushindi upo.

Mimi siyo mbunge na ninatetea mkuu, na wapo wengi hapa wanatetea uwekezaji wa kizawa!!!Wakiwezeshwa wanaweza. Wewezesheni.
 
Tukisema kuna wabunge wanatumika kwa maslahi ya watu mnakataa, na Spika mama Makinda ameshaonya hilo sasa imedhihirika wakina Mbatia kumtetea Mengi hadharani huko c ndio kutumika? Kuna wengi na mengi soon mtawatambua tuu, Muhongo amejitolea kulisaidiabTaifa na Watanzania maskini lkn kuna wabunge Wako kwa ajiri ya maslahi binafsi. Safari ni ndefu lkn ushindi upo.

Hivi viti maalum vifutwe tu maana vinapelekea kuchagua watu waliofilisika hoja. Alafu ni udhaifu mkubwa sana mwanaume kupenda vya bure,vya kupewa.

Jana swali la msingi halikuhusu gesi,wala kwenye majibu mengi hakutajwa ila mbatia akatokea huko anakojua na kujiropokea,tena msomi mzma anaongea kwa jazba,hamaki na hasira kubwa,badala ya kuuliza swali akaanza kama anachangia hoja.

Sitaki kuamini kua mbatia alihongwa na mengi AKAROPOKE NA KUPAYUKA BUNGENI ILI BOSI WAKE APATE PUBLIC SYMPATHY AONEKANE ANAONEWA.

Sasa nimeamini mama makinda alisema kuna MIBUNGE INATUMIWA NA WATU. Haiko free au independent. Poor MBATIA. Jambo binafsi unaenda KUROPOKA NA KUPAYUKA bungeni?!
 
Serikali inawasaidia vipi wananchi kupitiaTPDC?Mnasema wananchi hawana uwezo, halafu mnataka waende TPDC, kufanya nini?

Kama pia una imply kwamba mapato hayo ya TPDC yanakuwa channeled kwenye shughuli za kimaendeleo, hapo ndo penye mgogoro.Nimekupa mifano ya serikali kumissuse funds kwenye mambo ya anasa huku wananchi shida kibao.

Sisi tunatambuwa kuwa tuko kwenye mfumo wa soko huria, na kwahiyo private sector ndo nguzo muhimu kwenye maendeleo ya nchi.Sasa nikivipi hilo litafanyika chini ya utaratibu huu?

Unaweza kunieleza kinagaubaga ni kivipi TPDC Itanufaisha wazawa kwenye uwekezaji wa rasilimali zao?
kwahiyo tukimpa mengi vitalu badala ya TPDC huyo mengi atakua anapita kila nyumba kugawa mapato ya gesi?
 
kwahiyo tukimpa mengi vitalu badala ya TPDC huyo mengi atakua anapita kila nyumba kugawa mapato ya gesi?
Nisome tena vyema, nazungumzia role ya private sector inapokuja kwenye rasilimali kunufaisha wananchi na Taifa.Wapi nimezungumzia any thing Mengi?
 
Serikali inawasaidia vipi wananchi kupitiaTPDC?Mnasema wananchi hawana uwezo, halafu mnataka waende TPDC, kufanya nini?

Kama pia una imply kwamba mapato hayo ya TPDC yanakuwa channeled kwenye shughuli za kimaendeleo, hapo ndo penye mgogoro.Nimekupa mifano ya serikali kumissuse funds kwenye mambo ya anasa huku wananchi shida kibao.

Sisi tunatambuwa kuwa tuko kwenye mfumo wa soko huria, na kwahiyo private sector ndo nguzo muhimu kwenye maendeleo ya nchi.Sasa nikivipi hilo litafanyika chini ya utaratibu huu?

Unaweza kunieleza kinagaubaga ni kivipi TPDC Itanufaisha wazawa kwenye uwekezaji wa rasilimali zao?


Ni kweli wananchi hawana uwezo lakini kwa kupitia kununua hisa TPDC hata kabwela ataweza kupata nafasi ya kufaidika kutokana na gawiwo(dividend). TPDC ni kwa ajili ya watanzania wote wenye kipato kikubwa na wenye kipato kidogo, nashindwa kuelewa kwa nini hawa wenzetu wenye kipato kikubwa hawataki kujiunga na TPDC na badala yake wanataka wasaisiwe peke yao.
 
Kuna msuguano mkubwa baina ya Mengi na Muhongo ambao unatishia uchumi wa taifa katika sekta za madini na nishati!

Si serikali wala bunge wanaochukuwa hatua za kuusuluhisha ugomvi huu!

Kutokana na maelezo ya Mbatia katika bunge la bajeti leo ugomvi baina ya watu hawa unahatarisha uwekezaji wa wazawa katika sekta za madini na nishati!

Kwa nini serikali, kwa maana ya Pinda na JK hawachukuwi hatua za kumaliza sintofahahamu hii?!

Who is Mengi by the way..Huyu Jamaa ni Mchagga mwenzangu ..lakini naona Mara nyingine anakosea Sana kutaka yeye awe treated Kama special citizen ...toka Enzi Za CTN na UGOMVI wake na Alkarim ..wa kuonesha Kombe la Afrika hadi anaonyesha bure ..pale Mnazi Mmoja ...,hasi akapewa boardgiard wa usalama wa taifa na Mrema ..UGOMVI na masilingi na Sasa Muhungo..NAJIULIZA why only him
 
Ni kweIi wananchi hawana uwezo lakini kwa kupitia kununua hisa TPDC hata kabwela ataweza kupata nafasi ya kufaidika kutokana na gawiwo(dividend). TPDC ni kwa ajili ya watanzania wote wenye kipato kikubwa na wenye kipato kidogo, nashindwa kuelewa kwa nini hawa wenzetu wenye kipato kikubwa hawataki kujiunga na TPDC na badala yake wanataka wasaisiwe peke yao.
Na TPDC inamiliki asilimia ngapi kwenye uwekezaji huo? I mean Capital investment.Kama TPDC inamiliki lets say 30%,kampuni ya nje inamili zilizobaki(70%), uwiano huo siyo mzuri kwetu endapo makampuni hayo hayauzi hisa zake nchini.Wananchi watanunuwa hisa lakini hawafaidiki na rasilimali vile inavyotakiwa.Tutakuwa hatuna sauti kwenye uwekezaji kwa asilimia 70, kwa maana hatunufaiki nazo!

Tunataka tuone manufaa haswa Ikiwemo upatikanaji wa kazi pamoja na ukuaji wa uchumi.Bila kusahau miundo mbinu ya kufacilitate uwekezaji kwenye sekta ya biashara kwa ujumla for the sake of economy and our people!

Kama umilikaji utashikiliwa na makampuni ya nje kwa asilimia kubwa, na huku makampuni hayo hayauzi hisa kwa wananchi, hilo ndilo wengine hatukubaliani nalo.Tatizo mmegeuza issue hii kuwa ni Mengi vs Muhongo, where as kiukweli ni zaidi ya hao wawili, Its about our nation and the future generation!
 
Hata wafanyabiashara au matajiri wa dunia ukiuliza the how utakuta alikopa financial institution na wengine walikuwa shareholders tangu wakiwa wadogo i.e unanunua share now you sell in say 30 years to come!!!!! Sasa basi Mzee Mengi ana hela ya kianzio!!! Serikali yako ingetoa guarantee ili akopeshwe ili apate shares katika mwekezaji!!! Na uwezo upo sema kinachotusumbua sisi wenyewe tuna asilimia kule!!! Ha ha ha!!! Kampuni inaitwa ABCD international lakini ndani mwake kuna vikampuni kibao na cha kwetu kimo ndani!!! Hu hu hu hu hu!!! sasa nitakubalije Mengi aingie tena!!! Mengi ana hela ambazo hakika akiwezeshwa kama mzawa anaweza!!! Tatizo ninaloliona yeye ni mchaga na nyie mnapiga vita wachaga wazi wazi na mlishasema hata kupitia kampeni za chama!!! Mengi si mwenzetu!!! Tehe Tehe!! Pasua jipu ila niachieni kucha na macho yangu ili niendelee kuandika humu!!

Tunampa guarantee, anakopa anakwenda baharini kudril anakosa, nani atalipa?
 
We Mengi na utapeli wenu wachagga kaa mbali tu wewe, mlivyoifanya Air Tanzania hatuna imani na mchagga. Uligombana na Dr Kigoda, pia Zakhia Menghji kisa hawajakupa Kilimanjaro Hotel, je wewe ungejenga hivyo ilivyo?

Nilitegemea ukabila utakuwa ni sababu! Mijitu mengine bwana. Huwezi ukaliona jambo kama jambo ni lazima utupie huko ukabila, udini na pengine ujisia! Bure kabisa!

Lakini kwa uhakika, Muhongo ni adui namba wani wa Taifa! Hivi pamoja na mishahara haba kule IPP, ni nani anaweza kubishia kwamba Mengi katatua matatizo ya ajira kuliko wawekezaji wengi nchini? Muhongo ametusaidia nini? Kututukana? Ana nia ambacho anachoweza kujivunia taifa hili tukamwona mwenzetu? Angekuwa ni Mzee Bakheresa ana bifu na MENGI INGEKUWA TOFAUTI, LAKINI SIO HUYO MALAYA WA KITALUMA!
 
Ok, tuna northmara,geita,bulyanhulu,buzwagi hgold mines hizi zote zinazalisha siku nyingi, kuna nzega na tulawaka gold mine hizi umeshafungwa, tuna petra-diamond pale mwadui, tuna afgem- tanzanite pale mererani, Je mtanzania amenufaika nini na hii migodi na ni kwa asilimia ngapi hii migodi toka uwepo wake imepunguza umasikini wa tanzania??
Mengi mwenyewe ana miliki vitalu vingapi vya madini ambavyo tunaambiwa kwa sasa vimekuwa mapori mpaka wizara imeamua kuwanyan'ganya watu waliovipata kwa namna za uhuni huko nyuma na awana uwezo wa kuvitumia including Mengi wako. Si angeviendeleza kama raisi, or better still kama mzalendo yeye na wahuni wenzake kwanini wamesubiri mpaka kuona wanataka kunyan'ganywa ndio wanajifanya wanafungua kampuni ya umma eti watanzania wamiliki maliasili zao, mbinu zake ni za kitoto mno isipokuwa yupo privilege tu. Kuna wajinga watakao muona mzalendo kwa matendo haya mapya na thread wameshaanzisha, wakati wenzao wameona kulikoni wakose kabisa na watanzania wengine wafaidike peke yao ni bora kabla hawaja nyan'ganywa wawai mapema.

Sasa hivyo ni viji vitalu tu unajua expenses za kuendesha mgodi mkubwa wa dhahabu au inavyovyunwa hayo mabaruti yanayopigwa milori inayobeba mchanga na ukute mwisho wake upati hata kiganja kimoja kwenye lorry all that process ina cost money umeme, maji, mafuta, mishahara et, now imagine gharama za kutoa bar moja.

Asikwambie mtu hiyo biashara ni time consuming investment, yenye kutumia hela nying na inataka watu wanoajua wanafanya nini from the get go, anyway mwisho wa siku share za Barrick ziko wazi kununua nenda uone kama ni popular hivyo.

Cha muhimu ni ku-review participation and tax policies knowing what the companies are making in profits, vinginevyo itakuwa tunadhania tu kwa sababu ya wanasiasa waropokaji na waongo.

mengi anachojaribu kusema, ni kwa kiasi gani sisi wazawa tunashiriki kwenye hizi rasilimali?? Sio kuajiliwa na kuwa mfanyakazi, tunaongelea uwekezaji kwa wazawa serikali imeonyesha jitihada kuhakikisha wazawa tunaingia moja kwa moja humu,
Kuwekeza inataka hela sio kwenye madini tu bali popote pale, kama unayo amna aliekuzuia kama unaweza kwenda bid nenda na wewe ata ukiweza wa-convince makampuni ya kizungu waje wa bid kwa mgongo wako wakupe share mwisho wa siku no one care na serikari aitojali cha muhimu show them the money wakupe kitalu ufanye ya kufanya wachukue shara za watanzania kama auna hela inakuwa ili mradi ulalame.

je serikali ilishaanzisha au kufikilia kuanzisha shirika la wazawa halafu mimi na wewe tukawa na hisa kama wazawa na hilo shirika likawa linahusika moja kwa moja na uchimbaji,utafutaji wa madini,gas na mafuta??
Huo sasa ndio u-selfish wenyewe mimi siafiki kabisa huu upuuzi wa hisa kanunueni huko kwenye makampuni ya kizungu, hawa wote big palyers wanauza hisa kwenye masoko ya kimataifa.

Kipato cha TPDC kiende kwa jamii nzima sio wengine wakifuatie huko huko juu, kwanza TPDC aina sababu ya kutoa hisa kwa sababu aijachangia gharama zozote za uendeshaji wa awali wao wanaingia kwenye mavuno tu, kama watstoa hisa ni kilekile tu cha kuwafaidisha wachache na kuchota hela za watanzania ambazo zinaitajika kwenye malengo ya kimaendeleo ya jamii nzima.

Ukichangisha watanzania mil 10 katika wale mil50 sh 100000 kila mmoja utapata bil1000, tutashindwa kuwa na shirika letu la wazawa,,
Fanyeni sasa mnasubiri nani awaanzishie nyie wazalendo hila mjue kabisa hata hivyo mwisho wa usiku ubia wa serikari hupo palepale mkifanikiwa itachukua tu 65%-75% yake kwa ajili ya watanzania wote na maendeleo ya taifa zima bila yakujali uwezo na kuhahakisha watanzania wanafaidika na maliasili zao kupitia TPDC.

serikali inashindwa kukusanya matajili wote tanzania ikawaweka chini wakachanga ikawapa kitalu bure wakachimba??? Na kulipa kodi??? Serikali inashindwa kukaa na mengi kama mzawa na kumpa ushauri wa kitalaamu nini afanye au tufanye tushiriki kama wazawa au sisi sio wazawa hapa na wao ndio wazawa kwa hiyo lazima waviuze in fair ground kati yetu na wakuja??? Ukiwa kama mzawa mwenye mawazo ya kujenga lazima upate full favour na support kutoka kwa serikali yako na sio kukejeliwa na kudharauliwa ila wakija weupe ndio wachekewe na kupewa favour, hii haipo duniani jamani ni tanzania ya mwalimu nyerere tu!!! ni aibu..
What is in it for the government nani kakwambia serikari hipo kwa ajili ya matajiri, serikari hipo kwa ajili ya mapato yake, ideally matajiri kama wanaweza fanya na kubakiza ajira nyingi nyumbani wafanye, je uwezo uo upo,maana wasitegemee serikari iwawezeshe, na kwanini serikari isifanye yenyewe kama ina huwezo wakuwawezeshe wengine huo ndio utakuwa ujinga kupindukia.
Tushikamane na kuheshimiana kwa maendeleo ya taifa hili....
Muhimu sana lakini tusitumiwe vilevile kwa maslahi ya wachache.
 
Nakubaliana na wewe mkuu kua ni jambo jema serikali kuboresha mazingira kwa wawekezaji wa ndani,nakubaliana nawe kabisa mkuu.

Hili la gesi hali ni tofauti kidogo mkuu,linahitaji mtaji mkubwa sana kaka. Alafu ni risk sana maana unaweza kuwekeza kwenye kitalu kisha kikawa hakina gesi ya kutosha kwa muda au kisiwe commercial kabisa. Utakua umepata hasara kubwa ya mabilioni ya shilingi kama sio matrilioni.mwenyewe unajua serikali haiwezi kushiriki mchezo wa kubahatisha au kufadhili kwa pesa yake watu wakabahatishe.

Ndio maana serikali inataka mtu aje na mtaji wake yeye mwenyewe,likibuma ime imekula kwake mwenyewe na isishiriki kupoteza mabilioni ya watu masikini.

Kujenga kiwanda cha kuzalisha gesi(plant) unahitaji karibu bajeti ya tanzania. Hata hizo pesa za kuwafadhili tunazitoa wapi maana hata waende kwa mganga wazawa hatuwezi kuvuna gesi mkuu. Mahitaji ya kifedha ni makubwa mkuu hata serikali haiyawezi.

Ila pesa za kutafunwa na mafisadi ndiyo zipo?Usisahau pia fungu la Mh kutoka Msoga kwaajili ya kutalii nje ya nchi ipo.What a pathetic excuse for human-being!!
 
Back
Top Bottom