DC wa Songea amesema misaada kutoka nje ina masharti magumu na yanayoumiza, asikitika Ugiriki kukubali Ndoa za Jinsia Moja!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,108
Mkuu wa Wilaya ya Songea amesema Misaada kutoka Nje ina Masharti magumu na yanayoumiza

DC alikuwa anatoa salamu za mkoa kwenye Ibada ya Kanisa Halisi jana Jumapili

DC ametoa mfano wa Nchi ya Ugiriki ( Thesalonike) ambayo sasa imeingiza kwenye Katiba yake ruhusa ya Ndoa za Jinsia Moja kitu ambacho ni chukizo mbele ya Mungu wa Mbinguni

DC ametaka watu wafanye Kazi badala ya kutegemea Misaada na Mikopo

Chanzo: Star tv
 
Source Star tv
Ugiriki ni nchi ya Ulaya, ushoga ulaya ni culture, tusivamie vitu tusivyokuwa na ufahamu navyo.

Sisi tuendelee kufumuwa mitaro kimyakimya huku tukilaani ushoga unafki mtupu.
 
Sasa huo mshahara ataupatia wapi???
 
Ugiriki ni nchi ya Ulaya, ushoga ulaya ni culture, tusivamie vitu tusivyokuwa na ufahamu navyo.

Sisi tuendelee kufumuwa mitaro kimyakimya huku tukilaani ushoga unafki mtupu.
Kumbuka akina Aristotle na wengine ma philosophers walikuwa mashoga hapa tunaongelea kabla ya Kristu. Ushoga ulikuwepo, upo na utakuwepo tu tupende tusipende.
Tumeshuhudia mashekhe na mapadiri wanashitakiwa kulawiti itakuwa waumini????
 
Kwani nchi za ulaya na hata USA, Canada, Australia swala la ushoga na lenyewe linahitaji mjadala kwa sasa.......huko lipo kisheria ndo maana mashoga wanajiachia tu na yale maandamano yao na kila mwaka na hata taasisi za dini za huko wameshawatambua.

Na hata ukiwa huko labda masomoni, kwenye mail za vyuo utakutana na mialiko yao kwenda kuwaunga mkono kwenye maandamano yao wanayaita gay parade.​
 
Mkuu wa Wilaya ya Songea amesema Misaada kutoka Nje ina Masharti magumu na yanayoumiza

DC alikuwa anatoa salamu za mkoa kwenye Ibada ya Kanisa Halisi jana Jumapili

DC ametoa mfano wa Nchi ya Ugiriki ( Thesalonike) ambayo sasa imeingiza kwenye Katiba yake ruhusa ya Ndoa za Jinsia Moja kitu ambacho ni chukizo mbele ya Mungu wa Mbinguni

DC ametaka watu wafanye Kazi badala ya kutegemea Misaada na Mikopo

Chanzo: Star tv

Ufisadi rushwa na wizi wa kura ni chukizo mbele za Mungu.
 
Mkuu wa Wilaya ya Songea amesema Misaada kutoka Nje ina Masharti magumu na yanayoumiza

DC alikuwa anatoa salamu za mkoa kwenye Ibada ya Kanisa Halisi jana Jumapili

DC ametoa mfano wa Nchi ya Ugiriki ( Thesalonike) ambayo sasa imeingiza kwenye Katiba yake ruhusa ya Ndoa za Jinsia Moja kitu ambacho ni chukizo mbele ya Mungu wa Mbinguni

DC ametaka watu wafanye Kazi badala ya kutegemea Misaada na Mikopo

Chanzo: Star tv
Mkuu wa wilaya ya Songea..............
Ni vema kwa uandishi makini ungetaja na jina kabla ya kuendelea
 
Kwa nchi za Ulaya kuna nchi ina historia ya ushoga kuizidi Ugiriki?
Huko ndio kuna mashoga tangu maelfu ya miaka na wala walikuwa hawashangai. Kabla hao wazungu wengine hawajaiga.
 
Kumbuka akina Aristotle na wengine ma philosophers walikuwa mashoga hapa tunaongelea kabla ya Kristu. Ushoga ulikuwepo, upo na utakuwepo tu tupende tusipende.
Tumeshuhudia mashekhe na mapadiri wanashitakiwa kulawiti itakuwa waumini????
Leta ushaidi kwamba Aristotle alikuwa shoga na hao wana falsafa wengine ni wakina Nani?
 
Back
Top Bottom