Anglikana sasa ndoa za jinsia moja ruksa

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,000
17,909
Sasa sijui itakuaje?Baada ya kanisa takatifu la mitume sasa ni Anglikana
Kanisa la Anglikana Uingereza launga mkono huduma kwa wanandoa wa jinsia moja

CHANZO CHA PICHA,REUTERS

Maelezo ya picha,

Kura ilipitishwa na marekebisho kwa baadhi ya huduma maalum kufanyika mapema kuliko ilivyotarajiwa

Saa 9 zilizopita

Wanandoa wa jinsia moja wataweza kuwa na huduma maalum za kupata baraka katika parokia za Kanisa la Anglikana Uingereza kwa mara ya kwanza.

Huduma hizo , ingawa sio za harusi rasmi, zitaweza kujumuisha kuvaa pete, sala, confetti na kupokea baraka kutoka kwa kuhani.

Marekebisho ya kuunga mkono huduma ili iwekwe kwa majaribio yalipitishwa na bunge la Kanisa hilo kwa kura moja.

Fundisho rasmi la Kanisa la Anglikana Uingereza ni kwamba ndoa ni kati ya mwanamume mmoja na mwanamke mmoja tu.

Mapema mwaka huu, maaskofu walikataa kuunga mkono mabadiliko ya mafundisho ambayo yangeruhusu makasisi kuoa wapenzi wa jinsia moja, lakini walisema wataruhusu maombi ya baraka kwa watu walio katika uhusiano wa mapenzi ya jinsia moja kama sehemu ya huduma pana.

Ilikuwa imefikiriwa kuwa uidhinishaji wa huduma za kujitegemea huenda usije kwa zaidi ya mwaka mmoja kutoka sasa.

Lakini kura ya Jumatano, ambayo ilipita kwa uchache katika Sinodi Kuu, chombo cha kutunga sheria cha Kanisa, inamaanisha huduma tofauti za baraka sasa zinaweza kuruhusiwa, badala ya maombi tu ndani ya ibada ya kawaida ya kanisa.

Ingawa hakuna muda uliowekwa wa huduma za majaribio ya muda kuanza, inaeleweka kuwa hizi zinaweza kuidhinishwa katika wiki zijazo na huduma za kwanza katika mwaka mpya.

Pendekezo la huduma za pekee kwa msingi wa majaribio lilijiri katika marekebisho ya hoja. Mchakato rasmi wa uidhinishaji, ambao utachukua takriban miaka miwili, utafanyika wakati kesi inaendelea.

Askofu wa Oxford, Mstaafu Rev Stephen Croft, ambaye amefanya kampeni ya mabadiliko katika msimamo wa Kanisa, alisema "amefurahishwa".

Akibainisha ibada hizo hazitakuwa harusi rasmi, aliongeza: "Natumai kutakuwa na furaha na uthibitisho sawa na wale wanaokuja kupokea maombi haya watahisi kukaribishwa kikamilifu katika maisha ya kanisa."

Msimamo rasmi wa Kanisa la Anglikana Uingereza kuhusu ndoa unakinzana na toleo lake la Kianglikana nchini Scotland - The Scottish Episcopal Church - na Presbyterian Church of Scotland, ambayo yote yanaruhusu ndoa za watu wa jinsia moja.

Kanisa la Kianglikana nchini Wales limetoa huduma iliyoidhinishwa ya baraka kwa wapenzi wa jinsia moja lakini haliruhusu ndoa za jinsia moja kanisani.

Jayne Ozanne, mwanaharakati mashuhuri wa LGBT ambaye anaketi kwenye Sinodi Kuu ya Kanisa la Uingereza, alitoa wito kwa Kanisa kubadili msimamo wake ili kuruhusu wapenzi wa jinsia moja kuoana.

"Kanisa la Anglikana linasalia kuwa na chuki kubwa dhidi ya wapenzi wa jinsia moja, hata iwapo maaskofu watasema chochote," alisema.

"Ninahofia kwamba sehemu kubwa ya taifa itahukumu Kanisa la Anglikana kuwa lenye matusi, lenye unafiki na lisilo na upendo - kwa kusikitisha, wako sahihi."

Wakati huo huo, makasisi wa kihafidhina waliielezea kama wakati wa kihistoria.

Mchungaji Canon John Dunnett, mkurugenzi wa kitaifa wa Baraza la Kiinjili la Kanisa la Uingereza, alisema alihisi "kuhuzunishwa" na uamuzi huo.

"Itasambaratisha parokia, kuharibu uhusiano kati ya idadi kubwa ya makasisi na maaskofu wao na kusababisha makanisa katika dayosisi kuhisi kana kwamba wachungaji wao wamewaacha," alisema.

Chanzo: BBC
 
Chanzo:BBC
Hizi Dini ni za ushetani nashangaa bado zinaendelea Kuwa na waumini. Sasa sijui hao waumini wanamatatizo GANI au ndio zile sumu za kukaririshwa mistari uchwara ya biblia
 
Kwanini wakristo wasiwe kama sisi waislam kama hakuna kwenye Quran na Sunna huna la kuongeza wala kubadilisha.
Sio vizuri viongozi kuweka vitu ambavyo vime katazwa huko mwanzoni.

Biblia inasisitiza kila mara kwamba ushoga ni dhambi (mwanzo 19:1-13; mambo ya walawi 18: 22; warumi 1:26-27; wakorintho wa kwanza 6:9). Warumi 1:26-27 inatufundisha ya kwamba ushoga ni njia mojawapo ya kumkana na kutomtii Mungu. Mtu anapodumu katika dhambi na kutokuamini biblia inatuambia ya kwamba “Mungu huwaachilia” kutenda maovu zaidi ili wapate kujua ubatili wa maisha bila Uwepo wa Mungu. Wakorintho wa kwanza 6:9 inasema kuwa mashoga hawataurithi ufalme wa Mungu.
 
Upande huu walianza kitambo
Screenshot_20231117_001739_Chrome.jpg
Screenshot_20231117_001834_Chrome.jpg
 
Anglican ndio wa kwanza kuruhusu ndoa za jinsia moja
 
Hizi Dini ni za ushetani nashangaa bado zinaendelea Kuwa na waumini. Sasa sijui hao waumini wanamatatizo GANI au ndio zile sumu za kukaririshwa mistari uchwara ya biblia
Dini ni mfumo wa kumtawala mtu akili.

Hakuna Mungu na hakuna shetani pia.

Ukiwa upande utaona makosa ya wengine ila yako hutayaona kwasababu uko kwenye kutawaliwa psychology.

Unadhani ni dini ipi isiyokuwa ya kishetani na unadhani ni bora!?
 
Kwanini wakristo wasiwe kama sisi waislam kama hakuna kwenye Quran na Sunna huna la kuongeza wala kubadilisha.
Sio vizuri viongozi kuweka vitu ambavyo vime katazwa huko mwanzoni.

Biblia inasisitiza kila mara kwamba ushoga ni dhambi (mwanzo 19:1-13; mambo ya walawi 18: 22; warumi 1:26-27; wakorintho wa kwanza 6:9). Warumi 1:26-27 inatufundisha ya kwamba ushoga ni njia mojawapo ya kumkana na kutomtii Mungu. Mtu anapodumu katika dhambi na kutokuamini biblia inatuambia ya kwamba “Mungu huwaachilia” kutenda maovu zaidi ili wapate kujua ubatili wa maisha bila Uwepo wa Mungu. Wakorintho wa kwanza 6:9 inasema kuwa mashoga hawataurithi ufalme wa Mungu.
Wazungu wenyewe kwanza wengi wao walishaacha imani. biblia ni ileile ni ushetani wao
 
Dini ni mfumo wa kumtawala mtu akili.

Hakuna Mungu na hakuna shetani pia.

Ukiwa upande utaona makosa ya wengine ila yako hutayaona kwasababu uko kwenye kutawaliwa psychology.

Unadhani ni dini ipi isiyokuwa ya kishetani na unadhani ni bora!?
Uislam ndio Dini ya haki. Ndio mila ya Nabii Ibrahim, Musa na Nabii Issa bin Maryam.

Uislam una mipaka na sharia.

Uislam una taratibu zake.

Uislam ni mfumo wa Maisha.

Uislam hauendeshwi na mawazo ya mtu bali sharia ndio zinaiendesha Uislam. Ukitoka nje ya hapo ukavuka mipaka ya Uislam basi wewe si mwislam. Bali ni kafiri

Unaposema hakuna Mungu una uhakika GANI. Hivi ulishawahi kulitazama umbile la Dunia, umbile la mwanadamu (tofauti ya mwanadamu na wanyama), umbo la mbingu na ardhi, umbila la bahari?? Hivi haya yote hakuna muumbaji aliye yaumba??

Everything that exit must be have creator...
 
Back
Top Bottom