Ugali ni chakula cha kimasikini

Ugali ni chakula cha kimasikini

Marekani mahindi hutumika kama chakula cha mifugo kwa 80% 20% for fuel(ethanol) and for export inasemekana utumiaji mkubwa wa nafaka za maindi hupelekea akili kuwa pumbafu hvyo uwezo wa kung'amua mambo huwa mdogo
Kama utaula kwa picha ya samaki lazima uuchukie.
 
Marekani mahindi hutumika kama chakula cha mifugo kwa 80% 20% for fuel(ethanol) and for export inasemekana utumiaji mkubwa wa nafaka za maindi hupelekea akili kuwa pumbafu hvyo uwezo wa kung'amua mambo huwa mdogo

Je, Marekani hakuna wapumbavu? Je kuna uhusiano gani scientifically kati ya mahindi na interect?
 
Marekani mahindi hutumika kama chakula cha mifugo kwa 80% 20% for fuel(ethanol) and for export inasemekana utumiaji mkubwa wa nafaka za maindi hupelekea akili kuwa pumbafu hvyo uwezo wa kung'amua mambo huwa mdogo

hii ni stori ya hizi nazo inakuwa mwake kabisa..
 
Marekani mahindi hutumika kama chakula cha mifugo kwa 80% 20% for fuel(ethanol) and for export inasemekana utumiaji mkubwa wa nafaka za maindi hupelekea akili kuwa pumbafu hvyo uwezo wa kung'amua mambo huwa mdogo

huo umaskini unaousema ni upi! maana hapa japan ukiupata ugali unaununua kwa 10000 hela ya kitanzania. kaa hivyo hivyo na uroho wako wa mpunga. mimi naukandamiza sana. na nikirudi bongo nitaukandamiza kweli.
 
Be wise with SPEED. A fool at forty, is a fool INDEED!

tafiti tafadhali​
 
Ukosefu wa kung'amua mambo ni mtambuka. Halisababishwi na mahindi mkuu, Ungesema lishe duni ningekuelewa. Ila wewe umefocus mahindi . Sera mbovu za taifa hususani kwenye elimu imepelekea tuonekane na mapungufu makubwa kwenye kung'amua.
 
Kwani mifugo wakipewa mpunga hawali?..wanyana wanakula almost kila kitu binadamu anachokula,nabisha kwamba mahindi yanaleta upumbavu!
 
Nadhani kuna watu huruhusu attitudes kuwazuia kujienjoy. Nina ndugu ambae hali smoked fish zozote including kambale na dagaa kwa sababu anazilinganisha na umaskini. Huwa anashangaa akiona wenzie tunajilamba vidole. Uzuri wake ni mtu wa fani za afya kwa hiyo hata burger na fried stuff hakuli, lakini still anakubali smoked meat is best japo akila atajiskia maskini.

Like who cares. Kila mahali promo ni kwenye organic foods na kuepuka processed foods. Kuna mahali nilienda kikazi wanakula canned fruits nikawashangaa sana. Haziliki na masokoni matunda yamejaa tele!
Nchi nyingi za wenzetu vyakula vya kikwetu ambavyo miaka ya nyuma ilikuwa ni ngumu sana kuvipata labda mpaka kwenye maduka ya wahamiaji siku hizi vimejaa belele tena kwenye supermarkets ni pumzi yako tu kama unathamini kula vyakula vya kikwetu au kama unataka kula uchafu wa vyakula vinavyotengenezwa kwa dakika tatu burger na fries. Huwa nawashangaa sana wanaosema ugali ni chakula cha kimaskini, sasa sijui ni kipi ni chakula cha kitajiri. Na kama unapenda kula ugali hata ukiwa tajiri bado utautamani tu ugali kwa nyama choma nzuri sana/samaki pembeni kuna mchicha....Acha unashusha mlima taratibu tena kwa raha zao siyo haya mavyakula hata ukiwa na njaa bado havikutamanishi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Chakula ni chakula tu.

Ili mradi ukila unashiba, kudhani kuwa kuna chakula cha kimaskini na kitajiri ni upumbavu na ulimbukeni.

Kila unachokula, unatafuna na kumeza na kinaenda tumboni.

Sasa lebo ya umaskini au utajiri inatoka wapi?
 
Marekani mahindi hutumika kama chakula cha mifugo kwa 80% 20% for fuel(ethanol) and for export inasemekana utumiaji mkubwa wa nafaka za maindi hupelekea akili kuwa pumbafu hvyo uwezo wa kung'amua mambo huwa mdogo

Mi nilijua utakuja na ushahidi kwa nini ugali ni chakula cha maskini, ninachosoma hapa ni story ya matumizi ya mahindi marekani.
Maswali yangu kwa mleta hoja.
1. Je, umeshindwa kutoa point za msingi ambazo zitasaidia wachangiaji kuelezea hoja yako.
2. Je , unajua kuwa JF si gazeti la mtaani unalojisikia kuandika tu...hapa tunataka FACTS na si kupigapiga tu..
3. Kama ndio umejiunga jipange upya, JF is the home of great thinkers!!
You have to think, think, think!!
Naomba kuwasilisha.
 
Marekani mahindi hutumika kama chakula cha mifugo kwa 80% 20% for fuel(ethanol) and for export inasemekana utumiaji mkubwa wa nafaka za maindi hupelekea akili kuwa pumbafu hvyo uwezo wa kung'amua mambo huwa mdogo
Acha uongo kijana.

Maseca Instant Masa Corn Flour, 25 lb - Walmart.com

25 Lb which is around 11.3 Kg is 15.98 USD, is that cheap? 15.98 x 2040 Sh = Sh32,599 kwa kilo 11.3 za unga unasema chakula cha maskini? Waulize Wa Mexican na Spanish wanoa kula hiyo kitu kila siku ,na Wa Caribbean/Jamaicans and Trinidadians wanao kula corn bread kama wamerukwa na akili vile. Kijana, tembea uone na sio kuropoka tu.

Uisahau na breakfast cereal corn flakes inaliwa kila siku. Kellogg's Corn Flakes Cereal, 24 oz - Walmart.com
 
Itakuwa zaidi ya 80% parcent wanataka sana mahindi kwa silage the rest wanatengeneza high moisture corn au snaplage the rest ni grind corn
 
chezea ugali wewe?kitu kinasimama.......?
sawa kabisa Mkuu
huyu Nyamuleha jr naona kazoea matoke au chips mayai na hajui huko marekani wanashindia vi-bisi (Pop-corn) badala wale ugali kabisa

attachment.php
 
Back
Top Bottom