Ugali ni chakula cha kimasikini

Ugali ni chakula cha kimasikini

hahaha si wanasemaga ukiongea ujinga kwa kiingereza unaonekana umeongea vya maana?
Hajui wenzie wanakula burger huko kwao kwa sababu ni cheap and very convinient.

Halafu na pembeni usisahau kisamvu cha nazi/karanga ama majani ya kunde ya nazi. Mmmh hadi nimeskia njaa.:glasses-nerdy:
Anaona processed food ndo za maana badala ya natural, organic food?!

Halafu I'm drooling na hii recipe ya dagaa, naenda ifungia kibwebwe!
 
Wazungu wanatumia sana nafaka ya mahindi, kuna hizi cornflaks, ni mahindi yale, cornoil,viongo km aromat, yaani kuna vingi sana, hata uji wa maindi wanakunywa sana, yaani mahindi wao wanatoa bidhaa nyingi tofauti na sisi.
 
Hata siamini ninachosoma hapa. Nyie ndio wale mnaosema hampendi dagaa kwa sababu ni chakula cha kimaskini.

Dagaa zioshwe vizuri na kuwa braised, halafu zipikwe na nyanya chungu, carrots, bamia na viazi kwa mbali. Zitiwe tui la kwanza tu. Upewe na ugali na majani ya kunde yenye karanga ama nazi?

Huwezi fananisha na burger bwana.

Nimeenda nchi fulani za ulaya nimekuta dagaa, tena sio wale wa kutoka nchi za kiafrika wanaopelekwa na west africans au wakongo, ni dagaa wa hukohuko waliofanyiwa packaging safi kabisa.
Unga wa mahindi upo na unatumika pia na nimekula sana ugali wake ingawa unakuwa hauna ladha timamu kama wetu lakini ni unga wa mahindi kabisa.
Mexico wana ile kitu wanaita taco, grain inayotumika ni hindi.
Wakati mwingine tusipuuze vyetu kwa kudhani ni duni wakati hatuufahamu umuhimu wake vyema. Hata watafiti wengi wa lishe kutoka nchi zilizoendelea ndio wanaanza kuzijua faida za hivi vyakula tunavyoviona duni.
 
Mtoa mada umeandika kipuuzi!

Ugali ni chakula cha Afrika na sio cha wazungu, so kwa vile tupo poor ndio unahalalisha ugali=poverty?

Nonsense, bure kabisa
 
Ni kweli mkuu...
King'asti kasema nilivokuwa nafikiria, mfano wa hizo zinazoonekana za maana kama burgers they're cheap, convenient and unhealthy.
Ona hii menu aliyoweka King'asti, ni balanced diet, tasty, halafu chakula cha nyumbani una guarantee kiko fresh na si hizo burger patties zinazokuwa frozen miezi nenda rudi!
 
Last edited by a moderator:
unachotafuta kwenye grains yoyote ni carbs sasa wewe huelewi huo unga wa baga wa ngano na mahindi ya ugali yote ni starch pole sana
au rudi shule
 
Tumia chakula kitokanacho na ngano na utakuwa na akili sawa na wazungu,utalala kitanda kimoja na mbwa,utawabusu mbwa,utaongea na mbwa na utamfanya mbwa ndio kila kitu hakuna mwandani na rafiki kama madog!

Think wide, umeona hilo! Huoni ndege wanazotengeneza (labda hiyo inaweza hujawahi panda kama mimi), dawa unazomeza, nguo unazovaa, viatu, mafuta ya taa unayotumia and many many more. Umeona la mbwa tu! Mbwa ni kwa vile wana ziada ya kumpa mbwa. Je wewe una ziada, lazima mbwa awe adui kwetu! Mbwa koko tunaita
 
Nchi nyingi za wenzetu vyakula vya kikwetu ambavyo miaka ya nyuma ilikuwa ni ngumu sana kuvipata labda mpaka kwenye maduka ya wahamiaji siku hizi vimejaa belele tena kwenye supermarkets ni pumzi yako tu kama unathamini kula vyakula vya kikwetu au kama unataka kula uchafu wa vyakula vinavyotengenezwa kwa dakika tatu burger na fries. Huwa nawashangaa sana wanaosema ugali ni chakula cha kimaskini, sasa sijui ni kipi ni chakula cha kitajiri. Na kama unapenda kula ugali hata ukiwa tajiri bado utautamani tu ugali kwa nyama choma nzuri sana/samaki pembeni kuna mchicha....Acha unashusha mlima taratibu tena kwa raha zao siyo haya mavyakula hata ukiwa na njaa bado havikutamanishi.

Hata siamini ninachosoma hapa. Nyie ndio wale mnaosema hampendi dagaa kwa sababu ni chakula cha kimaskini.

Dagaa zioshwe vizuri na kuwa braised, halafu zipikwe na nyanya chungu, carrots, bamia na viazi kwa mbali. Zitiwe tui la kwanza tu. Upewe na ugali na majani ya kunde yenye karanga ama nazi?

Huwezi fananisha na burger bwana.
 
Mtoa mada umeandika kipuuzi!

Ugali ni chakula cha Afrika na sio cha wazungu, so kwa vile tupo poor ndio unahalalisha ugali=poverty?

Nonsense, bure kabisa

Msigwa, mbona watoto wetu wanapenda chips na Piza? Lakini wazungu sijawahi ona wanatamani ugali? I stand to be corected
 
unachotafuta kwenye grains yoyote ni carbs sasa wewe huelewi huo unga wa baga wa ngano na mahindi ya ugali yote ni starch pole sana
au rudi shule
Wewe masai dada, the way you treat carbohydrates matters a lot!
 
Nimeenda nchi fulani za ulaya nimekuta dagaa, tena sio wale wa kutoka nchi za kiafrika wanaopelekwa na west africans au wakongo, ni dagaa wa hukohuko waliofanyiwa packaging safi kabisa.
Unga wa mahindi upo na unatumika pia na nimekula sana ugali wake ingawa unakuwa hauna ladha timamu kama wetu lakini ni unga wa mahindi kabisa.
Mexico wana ile kitu wanaita taco, grain inayotumika ni hindi.
Wakati mwingine tusipuuze vyetu kwa kudhani ni duni wakati hatuufahamu umuhimu wake vyema. Hata watafiti wengi wa lishe kutoka nchi zilizoendelea ndio wanaanza kuzijua faida za hivi vyakula tunavyoviona duni.

Uko sahihi sana, lakini wanaleta wanigeria (majority) kufanya biashara kwa waafrika waliopo huko. Not for wazungu! Wazungu hawali. Tumekaa sana huko western world, hawatamani , watajifanya wanakula kukupendezesha tu muwe kitu kimoja (ili asionyeshe dharau ya chakula chako)
 
Mkuu hebu soma post namba 112. Wamemodify vyakula vingi na huwezi kutambua ingredients kirahisi yakiwemo mahindi na vingine vingi. Kuna kiasi kikubwa tu cha vyakula wanavyotumia ambavyo ndani yake kuna asilimia kubwa tu ya vile tunavyovidharau, ni recipes tu zimepishana na vingi vinapitia kiwandani ila wanatumia. Vitu kama dengu, mbaazi, choroko na mahindi, vinatumika sana ila si kama ugali au vile tunavyoandaa sisi. Kingine ni kuwa wazungu wanatumia samaki na dagaa wakavu katika baadhi ya nchi, amini hicho. Unajua Mreno anakula ng'onda na Muhogo?
 
Tuko pamoja, Masai dada amesema vyote ni carbohydrates, nikamjibu kuwa what matters ni treatment ya hizo carbohydrates
 
mkuu hakuna ulichobakizaaa.....yaaani hakunaga kama dona aseeee mm ayo ma sosage cjui mengnee nn hapana na c kuwa cwez afford ila ugali.......nalemaga gete[/QUOTE

Mleta mada alikurupuka, hajui kuwa hata kwenye hivyo vyakula anavyodhani ni vya kitajiri huwa viungo vinavyotumika katika kuviunga huwa kuna mahindi ndani yake. Kwenye viungo vingi vya nyama, samaki utaona neno corn starch kwenye ingredients, hajui hilo ni hindi.
Ifuatayo ni list ya vyakula vyenye hindi ndani yake halafu mleta mada uje utuambie umasikini na uduni wa mahindi umeupata wapi.

Foods That Surprisingly Contain Corn
ASHLEY LUTZ JUL. 19, 2012, 4:37 PM 247,426 2

Almost every food consumed by Americans contains corn in some way, shape or form. According to some estimates, about 3 in 4 supermarket products are made of the grain.-

We compiled a list of some surprising items featuring corn as a main ingredient. Let's just say, if corn prices stay as high as they are, then your fast food burger and fries might not be so cheap in the coming months.-

Let's hope the shortage stops soon.-

1.Hamburger patties
Most fast food hamburger patties and cheap store versions pad the product with corn.

2. French fries
Most french fries are cooked in vegetable oil which contains corn.-

3. Fast food taco meat.
Taco Bell
Fast food taco meat, such as Taco Bell's, is made with "fillers" such as corn.-

4. Chicken nuggets
Processed chicken nuggets are also filled with corn to save money. They're also fried in the stuff.

5. Soda (including diet)
Diet soda has a genetically modified corn sweetener. The regular stuff has high fructose corn syrup.

6. Ketchup
A main ingredient in the condiment is high fructose corn syrup.

7. Pudding
Most pre-made puddings are full of corn sweeteners.-

8. Fruit juice
Many of these beverages have added high fructose corn syrup.

9. Yogurt
High fructose corn syrup is often added to yogurt to sweeten it and keep it from spoiling.-

10. Salad dressings
Many salad dressings contain high fructose corn syrup.

11.Soup
Corn starch is a main ingredient in most soup mixes. And it's also added to canned stuff too.

12.Baked goods
Corn is present in many of the ingredients used to make baked goods, including vanilla extract and baking powder.

13.Gravy
Pre-made gravy is made with corn starch, which is good for thickening.

14. Mayonnaise
A main ingredient in mayonnaise is vegetable oil, which is made from corn.

15. Peanut butter
Peanut butter also contains corn syrup.

16. Milk
Vitamin D fortified milk contains corn.

17. Bottled water
Water itself doesn't contain corn.- But many of the bottles are made from corn-products.-

Source: cornallergic.blogspot.com

Mind you! amesema ugali. Your list is a list of treated, may be chemically treated corn, not ugali. Ugali wengine huiita BONDO ni raw food
 
Mind you! amesema ugali. Your list is a list of treated, may be chemically treated corn, not ugali. Ugali wengine huiita BONDO ni raw food

Topic inasema ugali ni chakula cha kimaskini lakini mleta mada akazungumzia matumizi ya mahindi akiegemea katika hasara zake endapo yatatumika kama chakula na si status aka hadhi ya ugali. Ugali upo wa aina nyingi, kuna ule wa mtama, muhogo, uwele, ugali wa ngano kulingana na mahali na kama angezungumzia hadhi ya ugali, basi tungezungumzia hilo kijamii zaidi na ndio maana ukisoma nilichozungumzia mimi katika post zangu, ni kuthibitisha kuwa mahindi si zao lenye kudhuru wala kuwa chanzo cha mapungufu kiafya na wala hao tunaowaona kuwa wana akili sana, haina maana kuwa inatokana na wao kuwa hawatumii mahindi kama muanzisha mada alivyosema. Kwa maana hiyo topic imejikita katika zao la mahindi na hasara zake kiafya na si mapishi ama maandalizi yake.
 
Msigwa, mbona watoto wetu wanapenda chips na Piza? Lakini wazungu sijawahi ona wanatamani ugali? I stand to be corected

Siki zote junk foods ziko tasty sana na si kwa hapa tu, Ulaya, Marekani, China na nchi nyingi tu, ndio maana kuna kampeni kubwa duniani juu ya matumizi ya junk foods kutokana na kuwa chanzo cha obesity kwa wengi kwani ni tasty sana na zimebeba calories nyingi combination ambayo ni lethal sana.
Kingine ni kuwa, ukiacha matunda yaliyo na ladha ya sukari, asilimia kubwa ya vyakula vilivyo na value kubwa kiafya na ambavyo havikuwa modified, yaani vilivyoandaliwa katika namna ya kawaida, huwa vinachukua muda kupendwa, si na watoto tu, bali hata na watu wazima hasa endapo watakuwa wamewahi kuonja fast meals, au refined foods. Ndio maana siku zote ni kazi kumlisha mtoto mboga za majani.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Back
Top Bottom