Ugali ni chakula cha kimasikini

Ugali ni chakula cha kimasikini

Mimi nakubaliana na wewe 100%. Hata hii mada yako inaonesha umekula ugali tangu kuzaliwa kwako hadi jana jioni. Mbaya zaidi inaonekana hujawahi kula kitu kingine tofauti na ugali......kwa mada hii, kweli ugali ni mbaya

Dah safi sana mkuu! naona umempatia jibu sahihi na la busara sana! nadhan siku nyingine hataleta uzi hapa akiwa kakamata kopo la chibuku
 
Ugali ndiyo mpango mzima weka ngunga ya dona iliyochanganywa na unga wa mhogo sato kwa pembeni na mboga za majani aina ya mgagani uliotiwa karanga aaaah pizza weka mbali na mimi
 
Chakula cha ngano ni kizuri kwa afya ya akili...wakati ugali ni wa nguvu ya mwili..sio mbaya
 
Sio Kweli Ugali una virutubisho vingi hasa Dona na Madaktari wamekuwa wakisisitiza hilo, mi natumia daily na faida zake naziona.
 
Akili za wazungu bwana yaani kitu kinachotumika kwao basi ni bora kuliko vya wengine. Hivi hivyo vyakula wanavyotumia ndivyo viliwapa akili nyingi sana za kuanza kuoana jinsia moja? Any way tuwaache baada ya miongo 5 vizazi vyao vitapungua maana watakuwa hawazaliani. Akili zao mi nazishangaa. Ujinga ndo wanaona welevu.
Na wapumbavu wachache kama hawa wana wasapot
 
mie bana angeuponda Ubwabwa wallah ningemshukia na kichambo cha kingwendu
 
Marekani mahindi hutumika kama chakula cha mifugo kwa 80% 20% for fuel(ethanol) and for export inasemekana utumiaji mkubwa wa nafaka za maindi hupelekea akili kuwa pumbafu hvyo uwezo wa kung'amua mambo huwa mdogo

Tatizo unawaamin wazungu kuliko akili yako. Endelea tu kuwaamin
 
kuna mkoa mmoja wenyeji wake hawali ugali bali ndizi na vyakula vingine legelege. Cha ajabu ni kwamba ushoga pia uko juu kwenye mkoa huo!!!. Somo: Ugali- hasa wa dona- ni sumu ya ushoga!!!
Una utani na wachaga
 
kuna mkoa mmoja wenyeji wake hawali ugali bali ndizi na vyakula vingine legelege. Cha ajabu ni kwamba ushoga pia uko juu kwenye mkoa huo!!!. Somo: Ugali- hasa wa dona- ni sumu ya ushoga!!!
Baba umetisha, nina litoto langu limoja nalilisha ugali tangu likiwa na miezi ssita ya kuzaliwa Lina nguvu hatari ndio kwanza lina miaka mitatu lakini mtaa mzima watu wanalishangaaa. Lina akili isiyo ya kawaida.
 
Marekani mahindi hutumika kama chakula cha mifugo kwa 80% 20% for fuel(ethanol) and for export inasemekana utumiaji mkubwa wa nafaka za maindi hupelekea akili kuwa pumbafu hvyo uwezo wa kung'amua mambo huwa mdogo

Hayo bi mazoea yao tu , mbona wao wanapenda sana mboga mboga wakati hapa kwetu sisi tunalishia mbuzi
 
kuna mkoa mmoja wenyeji wake hawali ugali bali ndizi na vyakula vingine legelege. Cha ajabu ni kwamba ushoga pia uko juu kwenye mkoa huo!!!. Somo: Ugali- hasa wa dona- ni sumu ya ushoga!!!
Huu mkoa ni wapenda hela tu, tamaa zinawasumbuaga tu... Siyo chakula
 
siwezi kula vyakula vya wazungu halafu kesho yake niamke nililie haki ya kuolewa na mwanaume mwenzangu! Ukila hiyo ngano ya Wamarekani lzm masaburi yanyevue nyevue hence unakuwa punga! Ugali ndo kila kitu! Tena ugali wa ulea na lidelele mix up na sabola we acha tu
Sio sabola ni sobola. Hapo umesahau na ngowani aina ya unguyugu au ulelena mfusulelu uliotiwa ndimbilu ya matevele kunoga yoyoo
 
Tumia chakula kitokanacho na ngano na utakuwa na akili sawa na wazungu,utalala kitanda kimoja na mbwa,utawabusu mbwa,utaongea na mbwa na utamfanya mbwa ndio kila kitu hakuna mwandani na rafiki kama madog!
Bila kusahau utapata akili ya kuwa shoga
Itakuwa ni kweli
Haya majibu inawezekana ni kutokana na ulaji mzuri wa ugali
 
Ugali wa Dona, muhogo, mtama, uwele umewabikiri watu wengi sana siyo bure wanaopenda kula ugali wameshaun-mia chini, ni kama shimo la panya, kuleee karibu na Uganda nyaa zao ni ndogo sababu rojo na mtelezo wa ndizi. D.cameroon anawapenda kwa hilo tu

usijarIbu kula ugali wa mtama, tear zake siyo za kitoto utalia kunako chooni,

watu wanafurahia nimeshangaa sana. Sasa sijui utaenda hosp ushonwe? au
ukikausha ndo basi tena bikra huna.
 
Back
Top Bottom