Umefanya nihisi njaa chaap,maana ndiyo chakula changu pendwa hata saa Saba usiku nakulaumewahi kuishi Kanda ya ziwa? inaonekana bado kuishi mkoa wa Mara. Ugali nyama mchemsho ni chakula heshimiwa kwenye sherehe mbalimbali kwenye jamii hizo

Silaha ambayo wazungu walitumia kumwangamiza mwafrika ni ku introduce ugaliKatika sherehe zote nilizowahi kuhudhuria sijawahi kuona ugali ukigawia, utakutana na vyakula vyote kama wali, ndizi, chapati, viazi n.k ila huwezi kukuta ugali!
Labda chakula kingine ambacho ni nadra kukiona ni makande ila sitashangaa siku moja kwenye sherehe labda ya kipare kukutana na kande, ugali sitegemei kukutana nao kabisa kwenye sherehe au sikukuu yoyote.
Mbona misibani ndo chakula pendwa hasa kanda ya ziwa? Na wananzengo wanapeleka na si mchele wala ndizi, mashuleni ndo msosi mkuu sijui kuhusu magereza. Misiba ya wahaya ndo wanakula ndiziKatika sherehe zote nilizowahi kuhudhuria sijawahi kuona ugali ukigawia, utakutana na vyakula vyote kama wali, ndizi, chapati, viazi n.k ila huwezi kukuta ugali!
Labda chakula kingine ambacho ni nadra kukiona ni makande ila sitashangaa siku moja kwenye sherehe labda ya kipare kukutana na kande, ugali sitegemei kukutana nao kabisa kwenye sherehe au sikukuu yoyote.
Energy drinks zimewatafuna mafigo na maini, chipsi kuku za mayai feki zimewaotesha Me nyonyo na mahipsi kwa kuchochea hormones imbalances. Utitiri wa chanjo je na soda?Silaha ambayo wazungu walitumia kumwangamiza mwafrika ni ku introduce ugali
Wazee wa urojo mnateseka sana na visivyowahusu, ndiyomaana Me wa 2000 wamekosa haiba za Kiume kabisa...😩🙆Hata ukienda Hotel au mgahawani kuambiwa Chakula kimeisha, umebaki Ugali tu ni kawaida sana
Usiulize kwani Ugali sio chakula? Sina jibu
WasukumaKatika sherehe zote nilizowahi kuhudhuria sijawahi kuona ugali ukigawia, utakutana na vyakula vyote kama wali, ndizi, chapati, viazi n.k ila huwezi kukuta ugali!
Labda chakula kingine ambacho ni nadra kukiona ni makande ila sitashangaa siku moja kwenye sherehe labda ya kipare kukutana na kande, ugali sitegemei kukutana nao kabisa kwenye sherehe au sikukuu yoyote.
Sio kweliKatika sherehe zote nilizowahi kuhudhuria sijawahi kuona ugali ukigawia, utakutana na vyakula vyote kama wali, ndizi, chapati, viazi n.k ila huwezi kukuta ugali!
Labda chakula kingine ambacho ni nadra kukiona ni makande ila sitashangaa siku moja kwenye sherehe labda ya kipare kukutana na kande, ugali sitegemei kukutana nao kabisa kwenye sherehe au sikukuu yoyote.
Ukiufunika usipoe unalowana🤨Ugali raha yake uliwe umetoka kusongwa tu hapo. Ugali wa kutokea kwa bufee sipati picha unavyofanania..
Waziunganishe maana zinashushia hadhi JF na sote kuonekana ni Vitoto vya 2000yrs.Topic za ugali zimekua nyingi
Msiba sio sherehe.Mbona misibani ndo chakula pendwa hasa kanda ya ziwa? Na wananzengo wanapeleka na si mchele wala ndizi, mashuleni ndo msosi mkuu sijui kuhusu magereza. Misiba ya wahaya ndo wanakula ndizi
Tena wengine wanatoka noa nyumbani mboga wanazikuta huko hukoLabda huko mkuu tembea mikoani utajionea, bila ugali sherehe haiendi hasa mikoa ya kanda ya ziwa, hasa Mara na Mwanza.
Sherehe kubwa 3 duniani ni kuzaliwa, kuoa/kuolewa (harusi) na kufa, utake usitake habari ndiyo hiyo.Msiba sio sherehe.
Ndo kwetu sasa huko...Nenda Mara mkuu. Hadi harusini watu wanakula udaga.
Sherehe zinahitaji misosi ya take away!! Sasa ugali utasepa nao kitaa kweli na zile plate zaoMsiba sio sherehe.
Ugali Umefumaza sana akili ya mwafrika!Energy drinks zimewatafuna mafigo na maini, chipsi kuku za mayai feki zimewaotesha Me nyonyo na mahipsi kwa kuchochea hormones imbalances. Utitiri wa chanjo je na soda?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Ndiyo nimetoka kupika ugali nakula saivi saa 5 usikuWe unaweza kula ugali saa 4 usk?
Yaani imefika hatua ugali ndo unaitwa silaha ya kumuangamiza mwafrika 🙄Silaha ambayo wazungu walitumia kumwangamiza mwafrika ni ku introduce ugali