Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,447
- 8,723
Kama sherehe haina Wasukuma, ugali wa nini?
Nyama choma na ndizi.Kaka umekula ? 😂😂
Si unawekewa moto poa au unafungwa kwenye foilUgali raha yake uliwe umetoka kusongwa tu hapo. Ugali wa kutokea kwa bufee sipati picha unavyofanania..
We unaweza kula ugali saa 4 usk?Si unawekewa moto poa au unafungwa kwenye foil
Ila mawazo ni ya ugali 🙂↔️Nyama choma na ndizi.
Sifa ya ugali uliwe ukiwa wa Moto Moto .Katika sherehe zote nilizowahi kuhudhuria sijawahi kuona ugali ukigawia, utakutana na vyakula vyote kama wali, ndizi, chapati, viazi n.k ila huwezi kukuta ugali!
Labda chakula kingine ambacho ni nadra kukiona ni makande ila sitashangaa siku moja kwenye sherehe labda ya kipare kukutana na kande, ugali sitegemei kukutana nao kabisa kwenye sherehe au sikukuu yoyote.
Katika sherehe zote nilizowahi kuhudhuria sijawahi kuona ugali ukigawia, utakutana na vyakula vyote kama wali, ndizi, chapati, viazi n.k ila huwezi kukuta ugali!
Labda chakula kingine ambacho ni nadra kukiona ni makande ila sitashangaa siku moja kwenye sherehe labda ya kipare kukutana na kande, ugali sitegemei kukutana nao kabisa kwenye sherehe au sikukuu yoyote.
Wewe umedhurula uzaramoni tu unaleta uzi hapa eti sherehe zote! Hujui kuna mahali wali ni chakula cha watoto?Katika sherehe zote nilizowahi kuhudhuria sijawahi kuona ugali ukigawia, utakutana na vyakula vyote kama wali, ndizi, chapati, viazi n.k ila huwezi kukuta ugali!
Labda chakula kingine ambacho ni nadra kukiona ni makande ila sitashangaa siku moja kwenye sherehe labda ya kipare kukutana na kande, ugali sitegemei kukutana nao kabisa kwenye sherehe au sikukuu yoyote.
Hata mimi sherehe zao huwa sili wali mimi nitaenda hoteli kuagiza nitakacho ukumbini naingia kunywa tuKwetu sherehe bila ugali wahudhuriaji hawatakuelewa..
Serious kuwa ndizi ni chakula cha Me miraba minne kula na likashiba? Ndizi ni matunda tu.Nyama choma na ndizi.
Hadi saa 8 usiku natandika vizuri sana dona.We unaweza kula ugali saa 4 usk?