Ufisadi wa Johnson Lukaza

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
May 9, 2007
3,832
2,790
Baada ya kuona serikali inafuatilia mali za mafisadi ili kuzitaifisha naomba niikumbushe serikali hiyo kwamba isisahau kutaifisha yale majengo yaliyokuwa yanamilikiwa na Kampuni ya Sigara pale Segerea (Barakuda) Maana huyu fisadi aliyanunua kwa Tsh 4 billioni fedha za wananchi yageuzwe shule watoto waweze kusoma. Eneo linazo facilitities mbali mbali kuanzia shule nzuri ya watoto wadogo (Chekechea, Uwanja mzuri wa mpira na kadhalika.
 
Baada ya kuona serikali inafuatilia mali za mafisadi ili kuzibinafsisha naomba niikumbushe serikali hiyo kwamba isisahau kubinafsisha yale majengo yaliyokuwa yanamilikiwa na Kampuni ya Sigara pale Segerea (Barakuda) Maana huyu fisadi aliyanunua kwa Tsh 4 billioni fedha za wananchi yageuzwe shule watoto waweze kusoma. Eneo linazo facilitities mbali mbali kuanzia shule nzuri ya watoto wadogo (Chekechea0 Uwanja mzuri wa mpira na kadhalika.

Na kisha baadaye Lukaza mwenyewe apelekwe rumande maalumu kule kisiwa cha mafia...... au kwenye visiwa vya ukara kule ziwa victoria.
 
JAMAA NI BALAA SANA ONA NYUMBA ANAVYOUZA........
Thank you for your enquiry, please be advised that the Flats are two bedroom flats with akitchen and a bathroom. The Flats' price is at Tshs. 35,000,000 Million for cash purchases and Tshs. 40,000,000 Million for twelve Months credit with 20% down payment. The flats have plenty of open areas in the estate. The estate will be proffessionally managed by PROIN TZ Ltd. for the peace of mind of al the clients. I hope i have addressed both of your concerns, if not please do not hesitate to contactus. Thanking you for your interest and look forward to hear from you soon. Kind Regards Abu Faraji
 
Bwana mdogo sasa hivi yumo kwenye matatizo makubwa sana na serikali, hasa baada ya kuleta gari lake bongo la Range Rover kwenye ndege ya BA, akajiingiza kwenye msafara wa rais kwenda US na kukata tiketi ya First Class, ili aweze kupata fursa ya kuongea na rais kule, lakini kumbe alikuwa anazidi kujiponza,

Mmoja wa dada za huyu mkulu ni mke wa mshikaji wangu wa karibu sana, na wamenufaika sana na ufisadi wa mkulu, lakini sasa mambo sio mazuri kabisa, maana mkulu sasa is going down the hill kwa kukaliwa kooni na uwt!
 
Na kisha baadaye Lukaza mwenyewe apelekwe rumande maalumu kule kisiwa cha mafia...... au kwenye visiwa vya ukara kule ziwa victoria.

dada Mwafrika,
jamani umenikumbusha mbali kweli,kule kwa bibi,yaani despite miaka yote ya kukaa US hujasahau ramani ya nyumbani!!!
 
Duh Mkuu FMES,

I salute you bro.,well informed almost on each and every fisadi na ufosadi wao.Mkuu ubarikiwe sana.Yaani sio siri kila siku I get to know the real tanzania.

Again thanks so much FMES
 
dada Mwafrika,
jamani umenikumbusha mbali kweli,kule kwa bibi,yaani despite miaka yote ya kukaa US hujasahau ramani ya nyumbani!!!

Unajua marekani walinunua Guantanamo miaka mingi sana kabla hawajaanza kupeleka magaidi huko. Inabidi sasa wapenda maendeleo Tanzania tutafute kisiwa ambacho in the future tutakitumia kuwafungia mafisadi kina Mgonja, Mramba, Yona, Mkapa, mwizi na mkoloni mwenye uraia wa Utata - Rostam na mzee visenti -Chenge.

Visiwa kama hivi ni muhimu sana ibambasi kwa shughuli kama hizi.
 
Mi siku zote nikawa nafahamu kuwa Proin Ltd ni wajasiriamali wapya nchini...duh kumbe usilolijua
 
I salute you bro.,well informed almost on each and every fisadi na ufosadi wao.Mkuu ubarikiwe sana.Yaani sio siri kila siku I get to know the real tanzania.

Mkuu wangu Ibambasi,

Salute, and I am humbled ni katika kuelimishana na kujishughulisha kwa faida ya wananchi kwa kutumia nafasi yoyote uliyonayo kujaribu ku-make a difference katika maisha ya wengine kila siku ya Mungu kunapokucha, kwa sababu kila siku mpya ina mambo mapya na hasa bongo,

Ninajifunza mengi sana hapa, na ninajitahidi kufundiisha pia, lakini siku zote furaha ya bina-adam inapaswa kuwa kwenye kutoa na sio kupokea, kwa hiyo mkuu tuendelee kuhabarishana na kuelimishana, taifa letu liko njia panda, bado ninatafuta mbinu za kuweza ku-post hizi DVD, wataaalamu wananiambia kuwa ni kazi nzito kwa hiyo wakishanisaidia huenda by this week end zitakuwepo hapa,

Ahsante Mkuu!
 
Unajua marekani walinunua Guantanamo miaka mingi sana kabla hawajaanza kupeleka magaidi huko. Inabidi sasa wapenda maendeleo Tanzania tutafute kisiwa ambacho in the future tutakitumia kuwafungia mafisadi kina Mgonja, Mramba, Yona, Mkapa, mwizi na mkoloni mwenye uraia wa Utata - Rostam na mzee visenti -Chenge.

Visiwa kama hivi ni muhimu sana ibambasi kwa shughuli kama hizi.

...... si tuna kakisiwa kanakofaa tu.... tena very efficient logistically, kapo off ufukweni mwa msasani ... BONGOYO, that's what i'm talkin' bout!!

..... mimi naona wa strategize na kukatumia kwa lengo kama hilo... yaani hata mfungwa akipata malaria kali ni rahisi tu kutuma ka ngalawa na kumpakia hadi pale Salendar bridge, kisha wana pata high speed boat itakayo weza kwenda against tide ya mto Msimbazi na kumpeleka mfungwa huyo aliye mahututi nyuma ya SerwaHaji (sorry..sikumbuki wodi hii inaitwa nini pale Muhimbili)... kwani watakuwa wamejenga docking bays...
 
SteveD, hapo Mkuu naona logistics zishapangwa kabisaa...... Mkuu umenimaliza na hizo logistics manake hakuna delays za kungojea minyororo ya barabarani mambo ni majini tuu mpaka Sewa Haji!! Kaaz kweli kweli!!
 
Leo nimeona mabasi mapya yanayowabeba wafungwa.....nikakuta jamaa wanaambiana kuwa hayo mabasi yamenunuliwa na magereza kwa ajili ya kubeba mafisadi!
 
Jamni tukumbushane huyu Johnson Lukaza alikuwa katika kitengo gani??na ni nani huyu katika taifa hili la wadanganyika??
 
Hiyo UWT ni jumuiya ya CCM au ni Ikulu ndiyo iliyomkalia kooni hebu nifafanulie
 
Leo nimeona mabasi mapya yanayowabeba wafungwa.....nikakuta jamaa wanaambiana kuwa hayo mabasi yamenunuliwa na magereza kwa ajili ya kubeba mafisadi!

ha..ha..ha..ha..

eh Mungu wasaidie ndoto zao zipate kutimia!!!
 
...... si tuna kakisiwa kanakofaa tu.... tena very efficient logistically, kapo off ufukweni mwa msasani ... BONGOYO, that's what i'm talkin' bout!!

..... mimi naona wa strategize na kukatumia kwa lengo kama hilo... yaani hata mfungwa akipata malaria kali ni rahisi tu kutuma ka ngalawa na kumpakia hadi pale Salendar bridge, kisha wana pata high speed boat itakayo weza kwenda against tide ya mto Msimbazi na kumpeleka mfungwa huyo aliye mahututi nyuma ya SerwaHaji (sorry..sikumbuki wodi hii inaitwa nini pale Muhimbili)... kwani watakuwa wamejenga docking bays...

This is wharr I'm talkin' ab't
 
He's nobody in politics or national leadership only a petty criminal. Alitumiwa na mke wa marehemu Balali kuunda ka-kampuni walikotumia kuchua pesa ya EPA.

Familia yao wana uzoefu na haka kautamaduni ka ufisadi; kaka yake aitwaye Makubo aliwahi kuchukua pesa za OGL na DCP miaka ya '80s kwa mtindo huu, wakazitafuna hadi zikaisha na wakapigika kisawasawa hadi kuamua kuwa wakawa walokole familia nzima. Tangia wapate dili la EPA hawajaonekana tena kanisani.

Yaani wamemkimbia MUNGU baaada ya kupata pesa za kifisadi! hatari kabisa
 
Bwana mdogo sasa hivi yumo kwenye matatizo makubwa sana na serikali, hasa baada ya kuleta gari lake bongo la Range Rover kwenye ndege ya BA, akajiingiza kwenye msafara wa rais kwenda US na kukata tiketi ya First Class, ili aweze kupata fursa ya kuongea na rais kule, lakini kumbe alikuwa anazidi kujiponza,

Mmoja wa dada za huyu mkulu ni mke wa mshikaji wangu wa karibu sana, na wamenufaika sana na ufisadi wa mkulu, lakini sasa mambo sio mazuri kabisa, maana mkulu sasa is going down the hill kwa kukaliwa kooni na uwt!

Mkuu ES,

Huyu jamaa si ndie kaalikwa mpaka kuhudhuria Sullivan summit kule Arusha? Huyu kweli kakaliwa kooni?

Au JK ni usanii mwingine anatufanyia?

Angalieni hapa:

http://www.thesullivansummit.go.tz/company_profiles_info.asp?cID=29

Atapigana vikumbo na JK huko Arusha.
 
Back
Top Bottom