LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 13,827
- 18,981
tuone nini? Toeni ubaguzi wenuJaribuni muone
tuone nini? Toeni ubaguzi wenuJaribuni muone
Yaani ni mambo ya unafiQ wa kiwango kikubwa.
Nilikusudia Palestinetangu lini israel imekuwa nchi ya kiislam, au ulimaanisha iran/iraq? israel ni nchi ya kiyahudi/zayuni na hizo nchi za kiislam ni maadui zake, zingine zilipigwa zikashindwa ikabidi zitiliane saini mikataba ya amani. Makundi mengi ya kigaidi duniani ni ya kiislam. Wapi ulisikia kuna makundi tishio ya kigaidi duniani yanayojinasibu ni ya kikristo, christian state? Wapi ulisikia wanamgambo wa kikristo? Chokochoko zipo kwa waislam tu wakristo hawana mambo ya shari na ugomvi, ni wapole na wanyenyekevu
Nchi gani ya kikristo ambayo imekaliwa kimabavu na waislamu, lkn nchi kibao za kiislamu zimevamiwa na wanajeshi WA Marekani,Israel n.k.tangu lini israel imekuwa nchi ya kiislam, au ulimaanisha iran/iraq? israel ni nchi ya kiyahudi/zayuni na hizo nchi za kiislam ni maadui zake, zingine zilipigwa zikashindwa ikabidi zitiliane saini mikataba ya amani. Makundi mengi ya kigaidi duniani ni ya kiislam. Wapi ulisikia kuna makundi tishio ya kigaidi duniani yanayojinasibu ni ya kikristo, christian state? Wapi ulisikia wanamgambo wa kikristo? Chokochoko zipo kwa waislam tu wakristo hawana mambo ya shari na ugomvi, ni wapole na wanyenyekevu
Nchi gani ya kikristo ambayo imekaliwa kimabavu na waislamu, lkn nchi kibao za kiislamu zimevamiwa na wanajeshi WA Marekani,Israel n.k.
Muislam akishika bunduki anaitwa gaidi, ila mkristo akishika anaitwa mlinda Amani. Foolish
kwahyo hao wazungu wanaotembea matako nje nje na vibukta ndoo unaona wamestaarabika? ama kweli wagalatia hamnazo.Haiwezekani utamaduni tena wa jamii isiyostarabika ulazimishwe kuwepo kwenye jamii isiyo yake ni upuuzi wa ajabu.
we unaakili gani . ? nyie mna elimu za kukariri ndoomaana hata sindano tunaagiza njeSasa na huyu unaambiwa ndiye msomi wa juu wa elimu dunia kwenye hiyo dini,jiulize kama huyu anakuwa na akili mgando kiasi hiki wale darasa la saba au form four failure watakuwaje?
Naunga mkono hojaWizara ya Elimu imetangaza kuwa Kanuni hiyo inatarajiwa kuanza kutumika Mwaka mpya wa masomo unaoanza Septemba 4, 2023 katika shule zote za Serikali.
Waziri wa Elimu, Gabriel Attal amesema "Unapoingia darasani hautakiwi kumtambua Mwanafunzi kwa imani yake ya dini kwa kumuangalia, nimeamua Abaya hazitavaliwa tena shuleni."
Aidha, Ufaransa imepiga marufuku alama za Kidini katika Shule n Majengo ya Serikali kwa maelezo kuwa zinakiuka Sheria.
####
France to ban female students from wearing abayas in state schools
Published
Students will be banned from wearing abaya, a loose-fitting full-length robe worn by some Muslim women, in France's state-run schools, the education minister has said.
The rule will be applied as soon as the new school year starts on 4 September.
France has a strict ban on religious signs in state schools and government buildings, arguing that they violate secular laws.
Wearing a headscarf has been banned since 2004 in state-run schools.
"When you walk into a classroom, you shouldn't be able to identify the pupils' religion just by looking at them," Education Minister Gabriel Attal told France's TF1 TV, adding: "I have decided that the abaya could no longer be worn in schools."
The move comes after months of debate over the wearing of abayas in French schools.
The garment has being increasingly worn in schools, leading to a political divide over them, with right-wing parties pushing for a ban while those on the left have voiced concerns for the rights of Muslim women and girls.
"Secularism means the freedom to emancipate oneself through school," Mr Attal told TF1, arguing the abaya is "a religious gesture, aimed at testing the resistance of the republic toward the secular sanctuary that school must constitute."
He said that he would give clear rules at the national level before schools open after the summer break.
In 2010, France banned the wearing of full face veils in public which led to anger in France's five million-strong Muslim community.
France has enforced a strict ban on religious signs at schools since the 19th Century, including Christian symbols such as large crosses, in an effort to curb any Catholic influence from public education.
It has been updating the law over the years to reflect its changing population, which now includes the Muslim headscarf and Jewish kippa, but abayas have not been banned outright.
Source: BBC
sasa kama wanapata kibali cha kuishi huko waheshimu sheria za wenyeji wao. Waspeleke imani yao ya ajabu kwa wenyejiKurudi Uarabuni Labda uwaue. Hawapo tayari kabisa kurudi kwenye nchi zenye sheria za Kiislam.
Wanapenda sana maisha ya Secular Countries au Christian majority countries.
Wakuu suala la kujiuza halihusiani na imani mnakosea sananilikutana na kahaba mmoja kavaa kidini, ikafika muda fulani akavua hilo vazi akabaki na mavazi ya kikahaba nilibaki kushangaa nimekutana na mtu au jini?
Kafiri umefurahiiiiBora
Na rozali marufukuHata hapa kwetu hayo mambo itabidi yapigwe marufuku. Unaenda shule fulani unakuta watoto wote wamevaa hayo mavazi ya kutambulisha ni wa dini fulani wakati nchi hii si ya kidini. Hayo mavazi wakavae huko wanakosali
Kama wagalatia wasivyojielewa wamebakia kuliwa ndogo tuIle dini hawajielewi na wao ndo wamejaa uswahilini
Wagalatia mna shida sana mbona masister wa RC wanajifunika vichwa vyao kama alivyokuwa anajifunika mama yake Yesu
Mashoga wengi wako MadrassaKama wagalatia wasivyojielewa wamebakia kuliwa ndogo tu
hizo rozari wanavaa wangapi wanaonekana? Unafananishaje rozari na hijabu? Basi haikupendeza hijabu zivaliwe mashuleni hasa shule zisizo za kiislam mliruhusiwa mfanye hivyo ili mjisikie vizuri kuwa dini yenu inapendwaNa rozali marufuku
Alaf utawasikia USA ndio mbaya wetu.Wakati wamekimbia makwao, kwanini wasikae makwao ili waitekereze hiyo imani yao? Halafu hawakimbilii kwa wenzao kiguu na njia Ulaya na USA ha ha ha ha
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Yaani hapa umegonga white house.Bonge ya mawazo.Kweli si waende Saudi Arabia kule watavaa Abaya mpaka Chooni.Mbona umepaniki mkuu na mapovu yote haya?
Tatizo ni Ufaransa au tatizo ni nini?
Vumilia tu..
Kama mnaona Ufaransa inawatesa, njia rahisi ni KUONDOKA Nchini kwao mrudi Iran na Pakistan... Hamna aliyewalazimisha kuishi Ufaransa, ni kiherehere chenu tu
Tec wote ni gaysMashoga wengi wako Madrassa
Kina Auntie Ali wote dini moja
Taja shoga Mkristo hata mmoja, nikutajie 1000 Waislamu
Mliwahi kuziweka nchi kama Hispania, Portuguese etc chini ya utawala wenu au haukumbukiNchi gani ya kikristo ambayo imekaliwa kimabavu na waislamu, lkn nchi kibao za kiislamu zimevamiwa na wanajeshi WA Marekani,Israel n.k.
Muislam akishika bunduki anaitwa gaidi, ila mkristo akishika anaitwa mlinda Amani. Foolish