Ufafanuzi juu ya Kanisa kufungisha ndoa ya Mjamzito

Ufafanuzi juu ya Kanisa kufungisha ndoa ya Mjamzito

Ndoa Takatifu na isiyo najisi n binti bikra na kijana bikra. Ndoa n sadaka, sadaka lazima iume na itoke damu. Binti bikra ndo anakamilisha sadaka. Kuoa binti asiye bikra n najisi
 
Mama yake yesu aliolewa akiwa na mimba kubwa tu na ame amebarikiwa kuliko wanawake wote sasa sisi wengine ni kina nani, wanaojishaua kuuliza mna midhambi Kama yote,
 
Umalaya siku hizi unabarikiwa mpaka kanisani! Huu ni uhuni wa wachungaji na maaskofu wa kizazi hiki. Ulaya na Marekani walianza hivi hivi kucheka na malaya mwisho wa siku wakahitimisha kufungisha mpaka ndoa za mashoga na wasagaji.

Bora Yesu arudi tu achukue watu wake waaminifu hata kama ni wachache asepe nao halafu hawa wapuuzi wengine waendelee na upumbavu wao kwenye makanisa yao.
 
Ila binadamu sisi [emoji119][emoji119][emoji119]
Ya wenzetu ndio tunaonaga dhambi.
 
Sikilizeni ninyi Wakristo, hasa mlio washiriki au communicants wa Roman Catholic, Anglikana, Moravian na Lutheran.

Kanisa hufungisha ndoa kwa Wakisto walio washiriki (communicants). Kanuni na taratibu za kushiriki mnazifahamu. Kama mtu alitengwa au alijitenga mwenyewe anaruhusiwa kushiriki baada ya kuondolewa kifungo hicho na Mchungaji/Kasisi/Padre au Askofu.

Tendo la kumruhusu mtu kushiriki ni la muda mfupi na linafuatia maungamo ya mtu mbele ya Mchungaji/Kasisi/Padri au Askofu. Ungamo linaweza kuwa la hadharani au la siri kutegemeana na mazingira ya kilichomfanya mhusika atengwe au ajitenge mwenyewe.

Kanisa halizuiwi kufungisha ndoa ya mjamzito kama aliungama. Mkiona ndoa inafungwa mjue kuwa ungamo lilifanyika mbele ya mtumishi wa Mungu. Ni vizuri watu wakaelewa kuwa Kanisa haliwezi kutangaza kila ungamo linalofanyika.

Yapo maungamo yanayotangazwa na pia yapo maungamo ambayo hayatangazwi. Kwa nini baadhi ya maungamo hutangazwa huku wakati mengine hayatangazwi, huo ndio Uchungaji wenyewe ambao Wakristo Walei hawaujui. Sio afya na haikubariki waumini wakaanza kuhoji mambo ya maungamo. Kwa ujumla masuala yanayohusu maungamo ni ya Mchungaji/Kasisi/Padri au Askofu.

Kama hata Askofu hawezi kuhoji maungamo yaliyofanywa na Mchungaji/Kasisi/Padri, basi hata Mkristo mshiriki hawezi kuhoji suala hilo. Mkiona mjamzito anafungishwa ndoa mjue kuwa ungamo lilishafanyika na mkiona Kanisa limekataa kufungisha ndoa ya mjamzito, basi mjue kuwa ungamo halikufanyika au ungamo bado halijamilika.

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki
Mkishagoogle mnajikuta wajuaji
 
Mambo ni mengi...

"Mimi na Mama yake Nandy hatukuwa na tatizo lolote isipokuwa dada yake alimuonea wivu wakati nipo na yule mama. Akamtorosha/kumpoteza kama mfanyakazi akampeleka sehemu ambayo sijui".

"Nachotamani kumwambia Nandy ni kitu kimoja, kama ametambua kuna Charles Mfinanga zaidi ya mimi awe huru nampa baraka zote lakini ajue ni damu yangu".

"Akinitambua anitambue au akinikataa anikatae ila aelewe Nandy ni mtoto wangu kwa sababu mama yake aliondoka na ujauzito". - Mzee anayedai kuwa baba mzazi wa msanii @officialnandy Charles Godfrey Mfinanga

#PlanetBongo #EastAfricaRadio #TogetherTunawakilisha
FB_IMG_1658283845314.jpg
 
Back
Top Bottom