Ungamo la kweli ni lile mtu anafanya yeye kwa Mungu wake akiwa sirini na siyo kwenye maonyesho ili ajulikane ameungama akidhi hitaji lakeKanisa hufungisha ndoa kwa Wakisto walio washiriki (communicants). Kanuni na taratibu za kushiriki mnazifahamu. Kama mtu alitengwa au alijitenga mwenyewe anaruhusiwa kushiriki baada ya kuondolewa kifungo hicho na Mchungaji/Kasisi/Padre au Askofu.
Tendo la kumruhusu mtu kushiriki ni la muda mfupi na linafuatia maungamo ya mtu mbele ya Mchungaji/Kasisi/Padri au Askofu. Ungamo linaweza kuwa la hadharani au la siri kutegemeana na mazingira ya kilichomfanya mhusika atengwe au ajitenge mwenyewe.
Haya yalikuwa mawazo binafsi ya Paulo. Usisahau kuwa huyu mwamba alikuwa towashi. Hivyo alitamani kila mtu awe kama alivyo yeye1 Wakorintho 7
Neno: Bibilia Takatifu
Kuhusu Ndoa
7 Na sasa kuhusu mambo mliyoniandikia. Ni vizuri mtu asioe. 2 Lakini kwa kuwa dhambi ya zinaa imeenea, kila mwanamume awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke awe na mume wake mwenyewe.
Wengi hawajui kuwa watu hufanya kitubio kule ndani kabla ya kuja madhabahuniHuwa wanaungama ofisini kabla ya ndoa.
Jana niliangalia ndoa moja yule bi harusi ile shela imerudishwa nyuma, yaani imeshushwa kabisa wakati wa pete.
Nilijihoji why, ila yawezekana binti alikuwa mjamzito.
Sometimes ukikimbiza, oops ngoja nifunge ndoa kabla tumbo halijaonekana, yanayokuja kukukuta sasa ni laana.
Hiyo 168m ni geresha kamati ya michongo
Mtume Paulo si ndiye aliwapiga marufuku wanawake kuwa wangungaji?Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi, ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi, husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu. Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo hakuna sheria. Na hao walio wa Kristo Yesu wameusulibisha mwili pamoja na mawazo yake mabaya na tamaa zake. Tukiishi kwa Roho, na tuenende kwa Roho.
Ungamo la kweli ni lile mtu anafanya yeye kwa Mungu wake akiwa sirini na siyo kwenye maonyesho ili ajulikane ameungama akidhi hitaji lake
Hao makasisi na wengineo wengi wao matapeli majizi ya sadaka halafu mnasema wanatakasa dhambi
Huwa wanaungama ofisini kabla ya ndoa.
Jana niliangalia ndoa moja yule bi harusi ile shela imerudishwa nyuma, yaani imeshushwa kabisa wakati wa pete.
Nilijihoji why, ila yawezekana binti alikuwa mjamzito.
Sometimes ukikimbiza, oops ngoja nifunge ndoa kabla tumbo halijaonekana, yanayokuja kukukuta sasa ni laana.
Hiyo tabia ya baba kuwala binti zao hadi wengine wamezaa nao imeenea sana. Ushahidi ninao kwa familia kama tatu hivi.Unakuta baba anapiga mashine mwanae. Yes ni mke wake walifunga ndoa
🙏Nakazia