Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,880
- 8,657
Kuna kila dalili waingereza wanalala na maumivu leo
Hata star times kupitia Chanel k24 wanaonyesha.Huu mtanange ni DSTV pekee au na AZAM pia?.
Tumia app ya Nova ScoreKuna mwenye link ya live streaming wajumbe??
Daaah game inanipita hii
Ni free streaming mkuu??Tumia app ya Nova Score
Unaweza kuwa sahihi ila ndoivyo tu wengne tumeshakuwa Addicted na soka tunaangalia tu hivyo hivyo,Nazario Ronaldo alikuwa sahihi sana kusema soka la siku hizi halisisimui na halina mzuka kabisa .
Huwezi amini sijaanfaoia mechi hata moja ya copa America wala Euro .
Yaani sijui nayaonaje haya machezaji na timu zao hizi .
Nadhani hii ni downfall ya soka