Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,618
- 2,748
Spain 🇪🇸 akishinda Duniani nzima itakua kimya mana ni vigumu kubishana na mtu ambae yupo sawa. Naanisha Spain ndie anastahili huh ubingwa.
Ila England 🏴 akishinda Duniani nzima itakua na kelele maana wapo watakaosema hawakustahili na wengine wanasema walistahili.
Bega kwa bega na mkoloni Binafsi napenda makelele.