whitemoney
JF-Expert Member
- Nov 9, 2023
- 1,200
- 2,572
ohooo! sina neno
Wapuuzi hawa wanaweza shinda kombe kweliIts coming homeeeee
😀😀maajabu yanaweza kutokea mkuuWapuuzi hawa wanaweza shinda kombe kweli
Na huu ndio ukwelWapuuzi hawa wanaweza shinda kombe kweli
Kabisa maana england mdogo mdogo wamefika final😀😀maajabu yanaweza kutokea mkuu
KabisaKuna 60% ya england kuwa bingwa maana bahati yuko upande wao sana
Mkuu ulisemaje????Aah wapi! Ikifikia hiyo hatua natoa hela zangu zote Bank nakupa!
Mkate usiku huu jamaniAfadhali wanatuwahisha vitandani maana wangefanya nimalize mkate wangu kusubiri extra time
Wazee wa kugida vyombo na magazeti asubuhi yataamka yamekolezwa wino huko ukoloniniLeo usiku TBL ya Ujerumani itakaukiwa na stock ya vinywaji
Ndio haoo fainaliHuo u- top sijauona tangu Euro hii imeanza
USSR