Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,391
- 3,373
Uholanzi wamekuja kivingine 2nd half
Sukari imeanza kupanda eeeh🤣Kwa hapa tulipofika yeyote tu abebe hili Yuro ila sio England.
🥶🥶🥶Its coming home
Kwanini sio England unaogopa kelele?Kwa hapa tulipofika yeyote tu abebe hili Yuro ila sio England.
Kuna muda unatamani isiwepo tuVAR
VAR
Kwakweli sitapenda kabisa hawa wajinga watupeleke extra time wamalizane tu ijulikane nani anaenda kuliwa kichwa na spainHawa washindi wa pili wamalizane kwa dakka 90 wasituchoshe