Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,912
- 10,262
Hawa wote walistahili kuingia semi finalDuh juventus, mhh! GO BAYERN!
Hawa wote walistahili kuingia semi finalDuh juventus, mhh! GO BAYERN!
Malaga v Borussia Dortmund.
Real Madrid v Galatasary.
Paris Saint Germain v Barcelona.
Bayern Munich v Juventus.
Barca ashapewa tiketi ya fainali..sioni wa kumsimisha hapa...
Mkuu Belo Bayern kwa Juve mziki kuna kazi maana jamaa wako safi sana 50/50
Galatasary, Juventus, Malaga, na PSG safari imewadia hapo. Baada ya hapo najua Real Madrid anaingia fainali ila sijajua na nani? Baada ya Kupanga nusu fainali ndipo nitakapo sema nani atacheza fainali na Real Madrid! hivi EPL ligi NGUMU KABISA timu zipo hapo jamani?
1. Madrid vs Galatasaray (Galatasaray Win)
2. Paris Saint German vs Barcelona (Barcelona Win)
3. Malaga vs Borussia Dortmund ( Dortmund Win)
4. Bayern Munich vs Juventus (Juventus Win)
Ni mtazamo wangu huo!!
Kijana, wewe unajua Mpira. You are Right Sir
Ndugu yangu tutaongea kuhusu ReaL Madrid baada ya tarehe 10.04, na utaniambia mimi nimesema ukweli. Kusema EPL iliingiza timu tatu robo fainali kwanza sio kweli (iliingiza timu mbili tu; man u na arsenal) lakini ili limeshapitwa na wakati hatuongelei hatua ya chini tena sasa. Ni kweli EPL ndio ligi inayotangazwa zaidi dunia na si ajabu ndio yenye washabiki wengi zaidi duniani LAKINI KIMPIRA haina tofauti sana na UFARANSA, ndio maana ni aghalabu sana ikatoa mchezaji bora duniani na hata kocha bora duniani, Ni ligi iliyojaa siasa na upendeleo wa wazi kwa MANCHESTER UNITED....Madrid kwenda Fainal sio rahis Kaka. EPL ikiwa ndo League inayoongoza kwa kutazamwa na kuwa na mashabiki wengi zaidi duniani, imeingiza team 3 kwenye Robo Fainal.
Malaga v Borussia Dortmund.
Real Madrid v Galatasary.
Paris Saint Germain v Barcelona.
Bayern Munich v Juventus.
Ndio maana siku zote Fergie hawatabiri England kufanya vizuri ktk mechi za kimataifa eg world cup au hata euro na hata Rooney hamkubali kihivyo kama Sky Sports,The Sun na BBC Sports zinavyomkuza,RVP ni >(zaidi) ya Rooney,sema Rooney binafsi nachompenda anajituma na kingine kakua nidhamu siku hizi anayo,ila bado ni mapema mno kumpa chati kiasi kumlinganisha na kina Messi na Ronaldo japo anafunga magoli mazuri na hata Bale nae bado hajafikia kiwango cha kupambanishwa na wataalam Messi na Ronaldo,kwanza alinganishwe na kina Piti yupo Rayo Vallecano,ndio maana tunasema ligi ya EPL inatangazwa sana,ila kuna wachezaji wengi wazuri hasa La Liga,najua % kubwa hapa wamemjua Santiago Cazorla Gonzalez alipotua Arsenal wengi walikuwa hata hawajawahi kumsikia,sasa mtu kama huyo hata ukibishana nae ni bure 7bu yeye anaongozwa na Sky News,BBC na waingereza kwa ujumla.Ndugu yangu tutaongea kuhusu ReaL Madrid baada ya tarehe 10.04, na utaniambia mimi nimesema ukweli. Kusema EPL iliingiza timu tatu robo fainali kwanza sio kweli (iliingiza timu mbili tu; man u na arsenal) lakini ili limeshapitwa na wakati hatuongelei hatua ya chini tena sasa. Ni kweli EPL ndio ligi inayotangazwa zaidi dunia na si ajabu ndio yenye washabiki wengi zaidi duniani LAKINI KIMPIRA haina tofauti sana na UFARANSA, ndio maana ni aghalabu sana ikatoa mchezaji bora duniani na hata kocha bora duniani, Ni ligi iliyojaa siasa na upendeleo wa wazi kwa MANCHESTER UNITED....
Ndio maana siku zote Fergie hawatabiri England kufanya vizuri ktk mechi za kimataifa eg world cup au hata euro na hata Rooney hamkubali kihivyo kama Sky Sports,The Sun na BBC Sports zinavyomkuza,RVP ni >(zaidi) ya Rooney,sema Rooney binafsi nachompenda anajituma na kingine kakua nidhamu siku hizi anayo,ila bado ni mapema mno kumpa chati kiasi kumlinganisha na kina Messi na Ronaldo japo anafunga magoli mazuri na hata Bale nae bado hajafikia kiwango cha kupambanishwa na wataalam Messi na Ronaldo,kwanza alinganishwe na kina Piti yupo Rayo Vallecano,ndio maana tunasema ligi ya EPL inatangazwa sana,ila kuna wachezaji wengi wazuri hasa La Liga,najua % kubwa hapa wamemjua Santiago Cazorla Gonzalez alipotua Arsenal wengi walikuwa hata hawajawahi kumsikia,sasa mtu kama huyo hata ukibishana nae ni bure 7bu yeye anaongozwa na Sky News,BBC na waingereza kwa ujumla.
Didier Drogba ndiye atakayemuua Mourinho!!akishirikiana na yule goal machine Burak Yilmaz..Juventus ni wababe wa kuweka ukuta mkali hata akifungwa ujerumani inaweza kuwa moja bila au 2 kwa 1 sana sana anaweza pata draw shughuli ataimalizia Turin. Dortmund anaanza kwa Malaga hapa Malaga hachomoki.Barca hatafanya tena makosa kama kwa AC Milan
Ndugu yangu tutaongea kuhusu ReaL Madrid baada ya tarehe 10.04, na utaniambia mimi nimesema ukweli. Kusema EPL iliingiza timu tatu robo fainali kwanza sio kweli (iliingiza timu mbili tu; man u na arsenal) lakini ili limeshapitwa na wakati hatuongelei hatua ya chini tena sasa. Ni kweli EPL ndio ligi inayotangazwa zaidi dunia na si ajabu ndio yenye washabiki wengi zaidi duniani LAKINI KIMPIRA haina tofauti sana na UFARANSA, ndio maana ni aghalabu sana ikatoa mchezaji bora duniani na hata kocha bora duniani, Ni ligi iliyojaa siasa na upendeleo wa wazi kwa MANCHESTER UNITED....
Galatasary, Juventus, Malaga, na PSG safari imewadia hapo. Baada ya hapo najua Real Madrid anaingia fainali ila sijajua na nani? Baada ya Kupanga nusu fainali ndipo nitakapo sema nani atacheza fainali na Real Madrid! hivi EPL ligi NGUMU KABISA timu zipo hapo jamani?
Mkuu pamoja sana, hapo ni kweli umeangalia vizuri na unaujua mpira wa duniani
Waspain wote 3 nusu fainali + mshindi wa Bayern vs Juventus(Gang Chomba tupe utabiri wako nani anatoka Bayern na Juve?)samahani lakini upo ktk wakati mgumu nakutonesha donda,maana nakuamini kwa utabiri wako ule Arsenal vs Bayern Munich 1leg pale emirates teh teh teh.
Nilikuwa nataka semi final kuwe na Juventus,Real Madrid,Barca na Bayern