Mi nakutumia wewe kama ubao, uende ukawafundishe oya oya wenzio.
nusu Fainali haina upangaji mdogo wangu.
Yaani hapa timu zishajuwa kama zitafudhu zitakutana na timu gani mbeleni
Ndugu wewe mpira umeanza kuangalia jana? draw ya nusu fainali itafanywa Tarehe 12/04/2013 kwa taarifa yako. Hii si CECAFA, niambie nani atakutana na nani; acha ubishi wewe, halafu mimi sio dogo; ni mtu mzima sana Gang Chomba! Kwahiyo angalia kumbukumbu zako na uzisahihishae utaumbuka kwa watu wanaojua MPIRA. SASA WEWE UNAKUWA UBAO WA WENGINE WASIO JUA KUWA NUSU FAINALI BADO HAijapangwa ITAPANGWA TAREHE 12.04.2013 MJINI LYON...