UEFA Champions League, Special Thread

UEFA Champions League, Special Thread

Status
Not open for further replies.
wewe hebu acha ulevi.. barca wanatoka kirahisi? hawashindi?..lini hiyo ilitokea?..tuondolee ulevi wako maeneo haya...
Nilijibu hivi coz kunawatu humu last time wakati walipokwenda italy walisema hawana plan B, sasa naona wapapprecite kuwwa Barca inaplan nyingi sana za ushindi. well done my team, Mes Que un club
 
mkuu unashindanisha tofauti ya ligi wanazocheza au unashindanisha vipaji vyao na kama hiyo ndio point unayotoa jee hilo fifa wao hawalioni na hizo record messi anazo zivunja fifa wanazikubali au hawazikubali na kwanini apewe tunzo yeye tu kwa miaka yenye kufufuliza je kuna upendeleo flani na kama kuna upendeleo kwa mantiki gani hasa. mii naona fifa wanajua
vigenzo vya mchezaji bora kuliko mimi na wewe na wakisha amua ndio inakua sahihi

.View attachment 86919



View attachment 86917 View attachment 86918

Siku hizi mpira nao siasa kibao! Kwa mfano mwaka juzi na mwaka jana Messi amepata uxhezaji bora kwa lipi kubwa alilolifanya kama yeye, timu yake au timu ya taifa? nINGEKUWA MIMI FIFA 2010/11 ningempa Xavi (alichukua Euro na world cup), 2011/12, ningempa Ronaldo alifanikisha Real Madrid kuchukua La Liga! Kuvunja rekodi ni mafanikio madogo sana ya kuwa MWAMBA NA GWIJI! Niambie Maradona ameshavunja rekodi gani, Zidane ameshavunja rekodi gani? Ronadinho amevunja rekodi gani? Kuna mzambia amevunja rekodi ya magoli mengi sio messi 94 yeye 120 mmempa uchezaji bora wa dunia? Waandishi na makocha na makepteni mara nyingine hawatumii akili wanamchagua yule tu anaesemwa sana bila kuangalia mafanikio katika levels tofauti
 
Safi sana.................draw iko fair tutaona nani atavuka kwenda nusu fainali
 
FINAL gonna be Bayen vs Barcelona = BM VS BS

mengine kusindikiza tu

MAN U VS BARCA F NDIO STAHILI HAPA, wanga zenu tu
 
Nilikuwa nataka semi final kuwe na Juventus,Real Madrid,Barca na Bayern
 
Nilikuwa nataka semi final kuwe na Juventus,Real Madrid,Barca na Bayern


Mkuu Belo Bayern kwa Juve mziki kuna kazi maana jamaa wako safi sana 50/50
 
Last edited by a moderator:
Barca ashapewa tiketi ya fainali..sioni wa kumsimisha hapa...

Ukweli Barca wako safi, lakini wapinzani wake usiwabeze, mpaka hapo walipofika wamefanya makubwa na lolote laweza kutokea.
 
Nimekumis Blue G naomba uje unipepeee huku kwenye mpira!!!!
 
Last edited by a moderator:
1930898_w1.jpg
 
Malaga v Borussia Dortmund.

Real Madrid v Galatasary.

Paris Saint Germain v Barcelona.

Bayern Munich v Juventus.

itafaa usahihishe slogan yako kwani siku hizi wanasiasa hata majina yao sio ya kweli, wengi wametumia majina ya watu wengine
 
Galatasary, Juventus, Malaga, na PSG safari imewadia hapo. Baada ya hapo najua Real Madrid anaingia fainali ila sijajua na nani? Baada ya Kupanga nusu fainali ndipo nitakapo sema nani atacheza fainali na Real Madrid! hivi EPL ligi NGUMU KABISA timu zipo hapo jamani?
 
Kwa vyovyote vile nadhani bingwa atakuwa ni PSG au Real Madrid.

*Reasons
1/Wana makocha wazuri sana kimbinu kwa ulaya kwa sasa(Kuchukua kombe la klabu bingwa ulaya inahitaji technique zaidi kuliko ubora wa timu)

2/Wameweza kuvuka hatua zilizopita kwa kuzitoa timu zilizokuwa na Technique bora zaidi kwa msimu huu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom