UEFA Champions League, Special Thread

UEFA Champions League, Special Thread

Status
Not open for further replies.

time will tell... umeona mkuuu
picha.jpg
 
Nakubaliana sana na mchangiaji aliesema Barca haina plan B! Jana Barca wamecheza na wachovu AC Milan ambao hawana jipya Musimu huu si ligi ya Mabingwa tu hata Kwao si wazuri kivileee. Sasa wasiombe quarter final waangukie either kwa Madrid au Bayern Munich WAISHA hata kabla ya MECHI. Barca kwa sasa HAWANA beki kabisa yaani ni uchochoro. Xavi ameisha anachoka sana akikutana na midfields nzuri, Messi kachoka sana tu, jana kafunga MAGOLI rahisi mno yasiyo na UJUZI wowote zaidi ya kujaribu kutungua ambako mtu yoyote anaweza fanya. Barcelona WASUBIRI kiama chao. N a zama zao zimeisha sasa, WAJIPANGE UPYA, hivyo vipasi visivyo na mpango havitawasaidia chochote.
 
umeongea mengi sana mkuu ila naomba adress yako ya facebook ya kwangu mimi ni thabit khamis [thabitlule@hotmail.com] nangojea hicho kiama watakachokipata barca katika hiyo robo fainal manaake naona baada ya sheikh yahya kufa wewe ndo umerithi mikoba . wiki 2 nyuma wenzako walisema barca ameshaaga ucl na wee leo unasema ac milan ni wachovu sasa sijui tushike wapi na laitan ac milan ingalishinda ungelisema kua ac milan ni hatari kua mkweli na ukubali kua barca usipime. usichukulie kufungwa na real madrid na ukaanza kushusha viwango vya timu .
 
Haina shida ndugu yangu, nafikiri subiri uone na utaniambia kama kweli wakipangwa na hao ninaosema Barca sasa hawana huwezo hata siku moja. Email nitakuPM.
 
Sijawahi ona mchezaji kama huyu, Je Tanzania wapo au watatokea????????
 
Haina shida ndugu yangu, nafikiri subiri uone na utaniambia kama kweli wakipangwa na hao ninaosema Barca sasa hawana huwezo hata siku moja. Email nitakuPM.
kua wazi unapoongea acha kubania maneno wakipangwa na hao unosema hebu sema basi ni nani hao ?
 
Kwa upande wa uk ilikua tunaitazamia arsanal labda angaliiwakilisha uingereza katika robo fainal ya uefa champions league lakini sivyo hali ilivyokua hatimaye arsnal ameungana na wale wanao jiita mashetani wengundu a.k.a man u kwa kutupwa nje na bayern munich kutokana na goli la ugenini jee una maoni gani mwana jamii.
 
Kinyanganyiro cha kuingia katika robo fainal ya uefa champions league tayari kimeshamaliza kwa mwaka huu na timu zilizo ingia ndio hizo kutoka la liga ni timu 3 na kwa upande wa barclays premium league hakuna hata moja iliyoingia jee kwa wale waliosema kua la liga ni ligi ya mbuzi ambayo imeingiza timu tatu ambazo ni malaga real madrid na fc barcelone wana chochote cha kutuambia ?
 
Attachments

  • lule.jpg
    lule.jpg
    83.3 KB · Views: 62
Haya wana jamii kinyanganyiro cha kuwania robo fainal ndio kimeisha kwa mwaka huu na timu zilizofanikiwa kuingia ni kama hizo zifuatazo hapo 3 kutoka spain {la liga } kwa upande wa uk english premier league hakuna hata moja iliyoingia robo fainal zote zimeaaga jee wale waliosema kua la liga ni ligi ya mbuzi wana chochote cha kutuambia?
 
all team 1/4 uefa champions league 2012/2013
 
Attachments

  • thabitlule@hotmail.com.jpg
    thabitlule@hotmail.com.jpg
    44.5 KB · Views: 28
Jee c.ronaldo atamfikia?View attachment 86715
Messi bado sana kwa Ronaldo! Messi mtoto wa Mama sana, tangu anaanza soka ya ushindani amecheza Barcelona tu, hajaenda mbali kupata changamoto yoyote nje ya pale! Ronaldo amekuwa bora nchi tatu tofauti yaani Ureno, Uingereza na Spain, na sasa sijui aende wapi? Kote huko kafanya mambo makali mno. Kama magoli anahesabu tangu ameanza kuufunga timu hiyhiyo tu, aondoke hata kidogo aone kama hajageuka akina Henry au Robinho...
 
mkuu unashindanisha tofauti ya ligi wanazocheza au unashindanisha vipaji vyao na kama hiyo ndio point unayotoa jee hilo fifa wao hawalioni na hizo record messi anazo zivunja fifa wanazikubali au hawazikubali na kwanini apewe tunzo yeye tu kwa miaka yenye kufufuliza je kuna upendeleo flani na kama kuna upendeleo kwa mantiki gani hasa. mii naona fifa wanajua
vigenzo vya mchezaji bora kuliko mimi na wewe na wakisha amua ndio inakua sahihi

. 2013.jpg

thabitlulu@hotmail.com.jpg cr7.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom