1. Madrid vs Galatasaray (Galatasaray Win)
2. Paris Saint German vs Barcelona (Barcelona Win)
3. Malaga vs Borussia Dortmund ( Dortmund Win)
4. Bayern Munich vs Juventus (Juventus Win)
Ni mtazamo wangu huo!!
Gutierez mimi Gang Chomba, nikiwa na akili timamu pasipo kushinikizwa na mtu napenda kusema wazi kuwa Bayern safari imewadia.
Hii timu inaitwa Juve ni timu nzuri sana.
Kitu kinachowatia shaka wapenzi wa Soka ni kutopata wasaa wa kuwatazama wajukuu hawa wa Bibi Lavecchia Signora.
Juve wana kipa, ukuta, kiungo na pia wana washambuliaji wa uhakika na wenye uzoefu.
Kiungo cha Bayern ndio kiungo cha timu yao ya Taifa.
Ukizungumzia kiungo cha Bayern ndio kile ambacho Kina Kloose, Muller na Bastian.
Kiungo hiki kiliwahi kunyamazishwa na Panenca katika mashindano ya Euro yalopita.
Pia Juve wana Wing Back za kueleweka ambazo ni World Class player, hapa nawazungumzia Lichsteiner na nguli Giorgio Chielini.
Kisha Bianconelli wana dabali zenye akili na katili, na zimekaa muda kwa pamoja muda mrefu sasa na zinaelewana.
Kama yoote hio haitoshi narejea kumbukumbu ya kauli ya Elgodo Infernomena Ronaldo de Lima aliepata kunena kuwa endapo utaumaliza ukuta woote wa Juve basi usianze kujishaua kushangilia, subiri uone nyavu za ndani zikitikisika kisha ndio uanze kusasambua jezi na kuanza kushangilia.
Aliisema kauli hiyo baada ya kushindwa kumfunga Buffon 1 against 1 na kuweka bayana kuwa Gigi ni habari nyingine na hana mfano wake Duniani.
So Bayern waende wakijuwa wanakwenda kutana ka timu kwelikweli ambayo hairuhusu Goli na Inasaka Magoli.
Naomba niishie hapo ili kupisha wadau kama wana maswali ama hoja ili wapenyeze katika post yangu hii.
Bismillah
drogba anakwenda kumpa mourinho pepa ngumu kulko zote alzowai tamba nazo?
Vp THEDEALER timu yako imefungwa nini?uko timu ipi?
..........mbona sasa umechelewa hujaja kunipepea, sitaki sssasa, sitaki sssasa, eeeh sitaki, ndio sitaki.......
Haaaahaaaaahaaaaaaaa mbona unalo naona hilo jasho lakutoka baada ya timu yako kufungwa,haya nakuja kukupepea sasa hivi.
ivi naomba kuuliza?? hii huduma dstv manake natumia mfumo wa extra view malipo inakuwaje kwa mwezi ni dola ngap???Mambo yamekucha matokeo ndo hayooo! View attachment 87016
Michu alidai kuwa amekwenda EPL kukuza jina, na kweli ni nyeta hatari huko premier.
Wenye weredi wa Soka washaelewa tukitoka hapa ni timu zipi zitakutana.
Wewe unaekaa na kusubiri ipangwe droo ya Nusu Fainali pole sana.
Kitu ambacho mtanzania anasema ukweli ni jina lake tu
juve2012: Si ndo hapo ushangae na wewe? Kweli Mtanzania anadanganya kila kitu, hata jina. (Misquoted Masanilo!)hahambona na yeye anajiita masanilo ilhali si jina lake,teh teh!
Masanilo: Mbona hata humu JF kuna watu ngumu hata kuelewa ni ma-she au me kwa sababu wakati fulani wana appear as she, punde wanajipambanua kama ma-he?hahaNa jinsia labda
Weledi wa upenzi wa timu mbovu? Tusubiri na tuone sisi wengine tunapiga hesabu kisayansi sio uganga wa kienyeji na mapenzi ya timu.