UEFA Champions League, Special Thread

UEFA Champions League, Special Thread

Status
Not open for further replies.
hili game kweli ni zito nimeanza kukubali ,

Mhhh, naona ni kazi kweli kweli kuangalia hii mechi. Kama ingewezekana basi ningetoka kidogo ili nikute mpira umeisha. Ni roho mkononi full time. Ngoja tusubiri dak 45 zijazo.
 
Mhhh, naona ni kazi kweli kweli kuangalia hii mechi. Kama ingewezekana basi ningetoka kidogo ili nikute mpira umeisha. Ni roho mkononi full time. Ngoja tusubiri dak 45 zijazo.

Barca wanashinda........Refa kawabeba,labda wasibebeke....Sema Inter wana ukuta mgumu haswaaaaaaaaa
 
Noma kweli yaani..............marefa wanaharibu sana mpira siku hizi
 
kuna record ya mourinho wakati yuko chelsea,hajawahi kufungwa na barcelona 11 vs 11,mechi alizofungwa na barca lazima mtu wa chelsea atolewe.
 
mie ndio naanza kuangalia sasa ,kipindi cha kwanza sijaona lakini kwa maoni yenu inaonekana refa kachemsha.
 
Hapa ni mwendo wa kupaki basi tuu na kubutua kudadeki zao. Ila tatizo la Barca ni kama zilipendwa watawapigia zeze inter mpaka wataachia wenyewe.
 
hii ngoma imelala,barca hawarudishi goli mbili..............hivi wana hata 1 shot on target second half??
 
Ivan Ramirez Cordoba..Mourinho ni kiboko ya njia kwene kudefend..
 
huyu refa kweli amezidi kuharibu tena, offside ya nguvu ile.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom