Duuh! Mwaka huu tutasikia mengi sana mpaka kufikia hii mechi, ni kama vile vijimambo mwaka wa uchaguzibongo! Huu uteja unaoongelea umeanza lini mkuu??!! Maana statistic zinaonyesha Arsenal hajawahi kuwafunga Barcelona, ni kipigo tu wamepokea Arsenal, sasa nani mteja hapo?[/QUOTE]
Hahahahahahah Mkuu mpira si kama hesabu kwamba 2+2 siku zote ni nne!!!, nani alijua BARC watawaadhiri nyumbani kwenu!? hivyo usije ukakimbia jukwaa siku ya siku hahahahahaha. Nyie sasa hivi elekezeni nguvu zenu zote kwenye EPL vinginevyo mnaweza mkatoka kapa...🙂