UDSM UDSM UDSM wanataka nini UDSM

System nzima imeoza mpaka kwa Mapro,no better system of control and Monitoring ni yale yale unapandisha mafuta ya Taa eti unazua uchakachuaji wachakachuaji wenyewe wanne,System inashindwa kuwacontrol hawa? Sasa imehamia mlimani? Tumefika pabaya sana kama Taifa! Boom na Ada wapi wapi?
 
kila mwanzo wa mwaka lazima wafikirie vurugu tu ... wanabeep hao
 
Anhaaa! Nadhani wanataka kufanya majario ya Student By-Law 2011, sipati picha hiyo 10/10 itakuwa vp na wanaharaki wanafki wa mlimani wenye kupigania maslahi yao binafsi na ya Mukandala
 
Kwa Taarifa bwana Kilawa Yupo meetng na wenyeviti na mawaziri ntawapa feedbk ya Boom
 
kudadeki mimi wananiboa kwenye upigaji wa picha za registration. Yaani kuna foleni kubwa, vifaa vya kupigia picha vibovu. Leo nimeenda tangu saa sita mpaka night hii ninarudi cjapiga picha. Hiyo ndio miaka 50?
 
da! Nikifika siulizi ni kunji kwakwenda mbele.tena maboko chiz kweli,huwa anikera kwa matangazo yake ya ajabuajabu kutishia watu...subiri tufike pale hapatatosha walai!
 
Samahani wakuu hivi kama hukupata mkopo zile pesa za Meals & Accomodations unatakiwa kuzilipa ama? Naomba nieleweshwe.
 
Nimerud nimerudi Kikao cha dharura kinasema tamko la Maboko ni la kweli wenyeviti wamesema mjipange ila wanafuatilia kwanza. Mh Kilawa the president ngoja nkamuhoji. First year msijali picha folen ndo mtindo
 
inabidi,wananchi wote wa nchi ya udsm waanze kufanya mazoezi ya kukabiliana na vijana wa afande kova..mpaka kieleweke.
 
Ndugu sisi tuliokosa mkopo ambapo tuliahidiwa na wizara twende jana watupe majibu ya hatima yetu. Tulichofanyiwa jana ni ujinga na dharau zisizostahimilika, et toka tar.20 waliyotupa ahad mpaka jana tar.27 wanasema hawajafanyia kaz swala letu kbs.Naibu wazir anasema hajuh chochote kuhusu sisi. Ila tatizo nilogundua ni udhaifu wa viongoz kutokuwa na msimamo wa kukubaliana na katibu wa wizara ahad zisizo na time frame et tutawasiliana na wazir, how? Tutamtumia email. So tumepanga leo kwenda kwa wazir mkuu, ila kiukwel hii nchi ni ya ajabu sana. yan wanachojua ni kutishia watu na maaskar wenye miveo ming mabegan na virungu.Jana tulikaa wizaran mpaka saa 1 ucku. Yaan hakuna matumain ya sisi kupata hiyo mikopo.
 
uckate tamaa dogo,vyuo vkifunguliwa kitaeleweka 2!
 
Hii inasikitisha na kufedhehesha sana ,hivi ni baadhi ya vitu ambavyo vinachangia kuibuka kwa migomo isiyo ya lazima.Hakuna uhusiano wowote kati ya fedha za kujikimu(boom) na Ada.
 
Wao wameshika mpini,nyie mmeshika makali,sasa 2one kama huo mgomo kama utatokea,we goma au anzisha vurugu urudi kwenu kijijini,pumbav
 
Back
Top Bottom