UDSM UDSM UDSM wanataka nini UDSM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UDSM UDSM UDSM wanataka nini UDSM

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Janja PORI, Sep 27, 2011.

 1. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Break news Wanafunzi wametakiwa kulipa ada zao ndo wapate Boom lao ifahamike pesa imeingia leo Udsm bt Maboko katoa tamko No bum bila Ada Je? Hawajui kwamba watoto maskini mh wanategemea bum mh Habari kamili waziri wa Mikopo Daniel Amezitoa Wanaharakati mnasemaje
   
 2. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,525
  Likes Received: 2,446
  Trophy Points: 280
  Kupewa bum kuna uhusiano vipi na ada? Si watawabana kwenye registration?
   
 3. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  hapo sasa wanataka panuke
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Sep 27, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 28,194
  Likes Received: 3,127
  Trophy Points: 280
  si walijifanya kuchagua ccm wacha wavune walichopandaa unaweza panda mahindi ukavuna maharage??tena educated bana wanachagua ccm m niliona enzi za kina mwanyika na yule charles tunawapigia debe jamani tunataka mabadiliko wengine tukatoa mpaka na magari yetu jamani ubungo tubadilike loh...kura zilizozidi za wanafunzi wa chuo ..la hasha
  polen lakini hii ndio sisiemu
   
 5. M

  MWENDAKULIMA JF-Expert Member

  #5
  Sep 27, 2011
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 961
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Mkuu huwa unaandika ukiwa una haraka sana,I'm sorry to say huwa nashindwa kuelewa mabandiko yako,sijui ni mimi tu?
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Sep 27, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,040
  Likes Received: 3,798
  Trophy Points: 280
  Hapo kwa kweli hawatendi haki. Nadhani wanasubiri vurugu tu..
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Sep 27, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,040
  Likes Received: 3,798
  Trophy Points: 280
  Inabidi umzoee maana kama kuambiwa alishaambiwa lakini wapi!!
   
 8. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #8
  Sep 27, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,838
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  lipeni tu.................kila kitu kina matokeo yake
   
 9. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #9
  Sep 27, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,103
  Likes Received: 3,867
  Trophy Points: 280
  kwa kuwa chamachenu mlichokiweka huko juu kimesema hayo lazima mlipe ada ndo mpate mkopo na bado mtaona mengi zaidi ya hayo, na mkiandamana mtakula mijeledi kama kawa.
   
 10. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #10
  Sep 27, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,929
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  napita tu....maboko na Rungu la magamba
   
 11. talentboy

  talentboy JF-Expert Member

  #11
  Sep 27, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 1,134
  Likes Received: 529
  Trophy Points: 280
  teh teh teh,chuo cha taifa hki bwana!!!vurugu njema wana udsm
   
 12. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #12
  Sep 27, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 9,565
  Likes Received: 5,000
  Trophy Points: 280
  Maboko anastaafu lini?mzee ana roho ya kunguni huyu
   
 13. domokaya

  domokaya JF-Expert Member

  #13
  Sep 27, 2011
  Joined: Apr 22, 2010
  Messages: 2,682
  Likes Received: 989
  Trophy Points: 280
  Ewaaaaaaaaaaaaaaaaa patamu hapo, na si tu kuchagua CCM bali pia wanaunga mkono na kutaka mfumo uliopo uendelee, maadui hapa ni wawili MFUMO na waliouweka mfumo kwani sasa wanataka "watafute miavili mingine wajifiche" wagombee, watu walewale, mawazo yaleyale na mfumo utakuwa ule ule
   
 14. domokaya

  domokaya JF-Expert Member

  #14
  Sep 27, 2011
  Joined: Apr 22, 2010
  Messages: 2,682
  Likes Received: 989
  Trophy Points: 280
  Maboko nakupenda!
   
 15. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #15
  Sep 27, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 9,935
  Likes Received: 645
  Trophy Points: 280
  Sasa hapo ndo wametangaza kunji rasmi kudadeki,hv wenyewe hawajui kuwa ce 2nategemea hlo bum ili 2lipie hzo ada??patachimbika hapo,ngoja 2rudi 2..huyo maboko mbona atastaafu kabla ya muda wake.
   
 16. nyambari

  nyambari JF-Expert Member

  #16
  Sep 27, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 280
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Napita tu.....
   
 17. T

  Trice Sturmius Member

  #17
  Sep 27, 2011
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  2congee sn wana udsm. 2kfungua 2 ile tar 10, 2nalianzsha kunji. Mi ntakuw lady wa kwnz kuliendsha gurudum la kunji.
   
 18. T

  Trice Sturmius Member

  #18
  Sep 27, 2011
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  na vp kw wale wanaopewa asilimia 100%!?
   
 19. 2hery

  2hery JF-Expert Member

  #19
  Sep 27, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,034
  Likes Received: 1,353
  Trophy Points: 280
  watanzania ni wavivu a kufikiri!
   
 20. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #20
  Sep 27, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 9,935
  Likes Received: 645
  Trophy Points: 280
  Tena nina hamu na kunji,cjui nilianzshe mwenyewe huku kitaa...
   
Loading...