Innocenthezron
JF-Expert Member
- Oct 13, 2016
- 393
- 472
International languages and not kiswaili which no matter how much ill be an expert on it wont take me anywhere..................badili hicho ulichoandika kwa kingereza
Naona mkuu na kacheni flan hv umependeza
Hiyo course ipo kwenye chuo chenuMwingine anasoma bachelor of of arts in drinking water ,kisa yupo udsm anajikutaaaa .Anamdharau dogo anaesoma medical lab Kairuki
ona huyu zumbukuku wa udsm.
eti collage??
do you even know what collage is?
😀 😀
collage?????? 😀
halafu eti unasahihisha kwa madaha kabisa.
would please spare me the shit and get back to school..... fuuuuuuuulllllllllll.
Haiwezekani mtu unaenda na kamba ya ID hadi Makumbusho, mwenge, Mbezi, POSTA, Kariakooo useme umesahau..
Waliosema kila kitu na mahala pake hawakukosea id ni kitambulisho cha mtu katika eneo husika........ Hivi itakuaje daktari aamue kutembea na koti lake kila maali injinia na ovaloli yake cjuh nahisi unapata maana yangu haileti picha nzuli na inaonekana n ulimbukeniAcheni kufuatilia vitu vidogo vidogo, kuvaa au kutokuvaa ID nje ya neeo husika ni maamuzi ya mtu mwenyewe na wala haimpunguzii chochote mtu mwingine.
Ukiwa na fikra za kudharauliwa ndio utajiona upo chini kwa kila kitu.
Wapo watu wengi tunawaona na vitambulisho vyao njiani lakini hatuchukulii kama kujionyesha.
Na nadhani kutakuwa na utofauti wa kweli kwa UDSM ndio maan imekuuma.
Fanya yako kiongozi.
Na wewe vaa cha kwako cha NIT.Hususani mwaka wa kwanza ndo imekuwa kero kusoma UDSM sio sababu unasoma mbinguni ..
Haiwezekani mtu unaenda na kamba ya ID hadi Makumbusho, mwenge, Mbezi, POSTA, Kariakooo useme umesahau..
Kinachokupa kiburi uivae muda wote ni kisa imeandikwa tu UDSM STUDENT.
Tuacheni huu ujinga mbona UDSM chuo cha kawaida hata kama ndo cha kwanza TANZANIA ila isifanye tuonekane washamba. Mana hizo kamba za ID wafanyakazi wa mashirika yote wanazo ila huwez mkuta mtu nazo barabarani kama ni nje ya eneo la kazi.
Zilitolewa kwa ajili ya ndani ya chuo si kwa mauzo yaaan mitandao yote ya jamiii imekuwa kero na hiyo kamba kisa imeandikwa tuu UDSM student jamani.
Mtu anapiga picha na Kaushi ila amening'iniza kamba ya ID sasa wakati wavua shati unataka sema ulisahau kamba ya ID au masifa jamani...
Imekuwa kama ng'ombe sasa na kengele.
Unajishushia hadhi ndugu, ni wapi imeandikwa kitambulisho kivaliwe sehemu husika tu? Unaweza kukivaa popote kama vile unavyotembea nacho popote, labda kama ni cha usalama wao ndio wana sheria hiyo.Waliosema kila kitu na mahala pake hawakukosea id ni kitambulisho cha mtu katika eneo husika........ Hivi itakuaje daktari aamue kutembea na koti lake kila maali injinia na ovaloli yake cjuh nahisi unapata maana yangu haileti picha nzuli na inaonekana n ulimbukeni
Kariakoo. Over.Tatizo cio ud kuwa hivyo tatizo n kwann utembee nayo kila sehemu mpk masokoni kaliakoo huko
Nahisi kama sijakuelewa hivi, Kutoka na mada husika na ulichopost.All the school kids are so sick of books and learnin'
They don't read anymore, they don't even read anymore
They just wanna be like all the rappers that I can't stand
aiseee hongera kwa utafiti wakoSishangai, UDSM ndo chuo kinachoongoza kwa kupokea washamba wengi kutoka mikoani wengine huwa wanabadilika wakifika mwaka wa tatu na wengine ndo wanabaki hivyo hivyo mpaka huku maofisini bado ni wanama tu
Your responsible for Your own life....not judging others.Ao wanaovaa itakuwa people from mikoan so kaona n ujiko kusoma jiji la makonda sa ngoja alingishe kuwa yuko dar....haha naota lakn