Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,748
- 28,139
Nadhani mkuu hukunielewaKwa mfano chuo kina nafasi ya wanafunzi 100 wa kozi husika.
Wameomba watu 200 wa 1 ya 3&4, 150 wa 1 ya 5.
Wawachukue wote 350? Watasomea wapi wakati facilities zipo za watu 100?
Mnataka wachukue wote kisha mlete malalamiko watu wanarundikana hawasomi kwa utulivu, wanakosa vifaa vya kufundishiwa?
Hata hivyo mtoa mada pia alitakiwa abainishe bayana wazi wazi
Hizo kozi za engineering na capacity zake hapo udsm ndio tungejua shida nini?
Sasa sio kila mtu amesoma udsm kwamba anajua ila wangeweka capacity ndio tungejua kwanini watu wanakosa hapo.
Pia entry qualification ndio tungejua
Lakini kwa ufahamu wangu unakuta kozi inahitaji watu 150 na wameomba watu 500 hapo hakuna namna ila kuomba vyuo vingine tu basi ndio solution.