min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,040
- 126,565
Masomo yasayansi vipi?Matokeo ya mwaka umeyaona lakini? Hiyo ni shule moja tu tena ya kawaida
Masomo yasayansi vipi?Matokeo ya mwaka umeyaona lakini? Hiyo ni shule moja tu tena ya kawaida
Sayansi ndio wamefaulu zaidiMasomo yasayansi vipi?
Kwanza mtoa mada alitakiwa adadavue kwa kina kozi hizo za engineering zilizopo na capacity yake kwa kila mojaQualifications za kusoma kozi yoyote UDSM ni D mbili tu. Sasa kama capacity ni kudahili wanafunzi 100 na waombaji ni 1000 utawachuja vipi hao ubaki na 100?
Huu ndio ukweli sasaUkweli ni kwamba 1 ya 3 au 4 sio issue anymore kila mtu amefaulu marahi elimu yetu haina thamani tena ilisha ingiliwa na siasa .
Tanzania hakuna chuo kikuuKuna chuo kikuu halafu kuna Chuo kikuu kikuu cha Tz. Watu wanabisha ila kuna raha fulani kuchaguliwa UDSM.
NI chuo cha ndoto za wanafunzi wengi tukiwa sendokari.
Kuna colleges au nini mkuu, tuelewesheTanzania hakuna chuo kikuu
DIT ni chuo kizur sana.. nilisoma pale koz flan hivi..Competition ni kubwa but form six leavers wengi wanaotaka engineering dit ni bora zaidi kuliko udsm .
Kwa sababu udsm wanatao bachelor of science in engineering , alafu dit wanatoa bachelor of engineering kwa hiyo wangetakiwa kuelewa hicho
Pia Udsm kwa tanzania hii siyo chuo bora kwa engineering labda ni chuo bora kwa mazingira mazuri.
Ni chuo kikuu kikongwe hapa bongo lakn siyo chuo bora kwa engineering .
Kama kuna kuna mwenye hoja alete hapa hoja zake kutetea udsm
Tofauti ya hizo degree mbili ni nini kwani, ivyo Bora duniani ni ya dit ama udsmCompetition ni kubwa but form six leavers wengi wanaotaka engineering dit ni bora zaidi kuliko udsm .
Kwa sababu udsm wanatao bachelor of science in engineering , alafu dit wanatoa bachelor of engineering kwa hiyo wangetakiwa kuelewa hicho
Pia Udsm kwa tanzania hii siyo chuo bora kwa engineering labda ni chuo bora kwa mazingira mazuri.
Ni chuo kikuu kikongwe hapa bongo lakn siyo chuo bora kwa engineering .
Kama kuna kuna mwenye hoja alete hapa hoja zake kutetea udsm
Hata huyu wa CE? 1 ya 5? Ina maana huu mwaka 3 na 4 ziko za kutosha eeh?
Kwa mfano chuo kina nafasi ya wanafunzi 100 wa kozi husika.UDSM wanafanya mambo ya kizamani sana.
Wasichojua ni juwa dunia ya sasa ufaulu unaongezeka sana one zipo kibao sawa ila sasa sio nyingi kama inavyosemwa
Wote hawawezi kusoma hapo sawa ila hata huyo mwenye 1.5 kweli?? Anakosa??
Ndio vyuo vikuu viko mbeleKuna colleges au nini mkuu, tueleweshe
Usipopata division 1 ni sawa na mtu aliyefeli hata kupata chuo itakuwia vigumu sanaUkweli ni kwamba 1 ya 3 au 4 sio issue anymore kila mtu amefaulu marahi elimu yetu haina thamani tena ilisha ingiliwa na siasa .
Huyu wa engineering aende DIT palee.... MsulichumaHabarini wana jukwaa.
Nimeona nije hapa jukwaani nitoe hili jambo, huenda nitapata ufafanuzi.
Nimekuwa nikikutana na malalamiko ya wanafunzi waliomaliza form 6 mwaka huu, wanaotarajia kujiunga na vyuo hivi karibuni. Wengi wao wanalalamika kuwa kila waombapo nafasi UDSM wanakataliwa, na wengine wanadiriki kusema kuwa vigezo sahihi wamekidhi kulingana takwa husika.
Sio mtaani wala mtandaoni ni malalamiko juu ya vijana na mabinti wanaotarajia kujiunga na Elimu ya Juu. Kuhusu Kukataliwa kuwa admitted hapo UDSM.
kuna huyu jirani yangu, yeye alisoma Ilboru Sec mchepuo wa PCM, kapata 1 ya 5, kachagua Udsm Course ya Civil Engineering, kakosa, bas analalama kila muda, hapa hata mie nimeshanga, huyu vigezo amekidhi kabisa, au labda huu mwaka 1 ya 3 na 4 ziko nyingi, hivyo inafanya wenye 5 na kuendelea wakose nafasi hapo COET?
Na Malalamiko ni kwa kila kada wanalalama mno, huku wakiwa na 1 zao nzuri, shida nn? Au utaratibu umebadilika hapo siku hizi? Kulikoniii?
Najua hapa kuna wafanyakazi, wana taaluma, wahadhiri, kutoka hapo UDSM, hebu mje mtoe ufafanuzi kutuondolea sintofahamu hii, maana huku uraiani hali ni mbaya watoto wanavurugwa vibaya, wakati ndoto zao ni kuwa hapo Mlimani main campus.
Tujuzweee kulikoniiiii?