UDSM kwa sasa ni cha kata, imebaki historia tu

Vijana wengi wanaotoka UDSM kwa miaka kama mitano sasa ni watupu sana kichwani.
Wanasoma notes za lecturers wao tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee muongo sana khaaah
 
For sure wewe ni bonge la ndina kweli kweli, hata haueleweki, na hayo ndiyo madhara ya kuwa ‘left over’. ,,, si ajabu hata huko UDOM ume graduate kwa karai lili tobolewa tobolewa kwa misumari ya sup za kufa mtuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lazima nivitaje kwa sababu kwa hapa nchini ni miongoni mwa vyuo vinavyofanya vizuri. Mfano,ndaki ya informatics udom ndiyo muhasisi wa biometric fingerprints kwa ajili ya pesa ya kujikimu na ada ambayo kwa sasa inatumika na vyuo vyote, online students registration & result assessment pia wao ndiyo waanzilishi then vyuo vingine vikafuata, tukija Mzumbe kwenye fani ya sheria wanafanya vizuri kwahiyo lazima ni vitaje.
Wee una hasira za kukosa admission UD, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ungeanza topic yako hivi " baada ya kukosa admission udsm nimeamua kuiponda namna hii" halafu uanze kushusha nondo zako,, hapo tungeelewa zaidi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Udsm ni chuo kilichokuwa kimejipambanua miaka hiyo kama chuo bora kabisa katika ukanda huu wa maziwa makuu na afrika kwa ujumla kwa kuzalisha viongozi na wasomi mahili katika nyanja ya siasa,uchumi,na sheria.

Sifa hiyo ilikijengea chuo uimara na kukifanya kiwe chuo bora afrika mashariki na kati kwa wakati ule huku kikiwa nguzo imara na tunu ya elima ya juu ya Tanzania miaka ile na siyo sasa.

Huku systems zote za nchi zikiwa zinasimamiwa na kuongozwa na wasomi na viongozi kutoka UDSM, ambao hata hvyo hawajaweza kulinufaisha taifa kimaendeleo bali wakijikita kwenye utunganji wa sera za hovyo na kusaini mikataba mibovu ya kulikwamisha taifa kimaendeleo.

Kwa sasa siyo tu kwamba elimu inayotolewa na udsm ni mbovu bali hata mifumo na sera za uendeshaji wa chuo hiki zimeparaganyika hasa kuanzia mwaka 2010, hivyo kupeleka kuzalisha wasomi wenye uelewa mdogo wa mambo na wasioweza kushindana tena katika soko la ajira kama zamani.

Hali hii imepelekea chuo hiki kujikuta kwenye ushindani mkubwa kutoka vyuo vingine kama SUA ambacho naweza sema ndicho chuo pekee kinachofanya tafiti za kweli na zenye tija hapa Tanzania ,MUHAS, MZUMBE,UDOM,NELSON MANDELA na ARDHI.

Kutokana na sababu hizo chuo hiki kimebaki kutembelea historia kwenye nyanja zote na kujikita kwenye siasa ya elimu, kutokana na wigo mpana wa kuwa na wasomi wengi waliotapakaa kila idara za serikali, wasomi hawa muda wote wamejikuta kwenye propaganda za kushindanisha ubora wa elimu ya UDSM na vyuo vingine hasa UDOM, Kikifika mbali hadi kuanzisha course zisizotambuliwa na serikali mfano molecular biology and Biotechnology, hiki ni kiashiria tosha kwamba chuo kimeshuka ubora kwani kushindana na chuo chenye miaka 12 tu kwenye taaluma huku chenyewe kikiwa na miaka zaidi ya 40 haileti afya kwenye taaluma.

Katika jambo la kushangaza muhitimu bora wa chuo hichi mwaka huu aliyefanyiwa branding ya kutosha na kupewa airtime ya kutosha kwenye vyombo vya habari alisikika akisema "hakupata mkopo, alipewa boom tu", hii ni aibu kubwa kwa muhusika na chuo pia, na kama aliyesema hivyo angekuwa muhitimu wa chuo kingine hasa UDOM mitandaoni kusingekalika, kwa wasomi wa udsm kuhoji ubora wa muhitimu, GPA na chuo husika.

Mwaka huu ndugu yangu alihitimu shahada ya kemia Udsm akiwa na GPA ya 3.9, lakini hajuhi chochote kuhusu carbon NMR spectrum, IR spectrum, GC-MS,LC-MS, TGA vitu ambavyo ni basics kwenye instrumental analysis, hiki ni kiashiria kwamba ubora wa elimu ya udsm umeshuka.

Mwaka huu nilikuta muhitimu wa zoology stationary akiwa na cheti safi kabisa chenye GPA 4.2 kutoka Udsm, jambo la kushangaza muhitimu huyo hata basics za computer applications hajuhi, yaani alishindwa kabisa kutumia copy, cut, paste vitu ambavyo ni vya kawaida sana, je project alifanyaje?, anajua mwenyewe, hii yote inaonyesha jinsi gani ubora wa Udsm umeshuka.

Mwisho kabisa katika elimu hakunaga umungu mtu, ukijisahau kidogo tu wenzako wanakuongoza, hivyo udsm ijitafakari upya, udsm siyo ya kushindana na Udom nyakati hizi labda miaka ijayo , udsm mnatakiwa mshindane na NAIROBI,MAKERERE,PRETORIA universities kutokana na ukongwe wenu kwenye taaluma.
Duh !
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka sana. Kwamba ukiwa na 5M mfuko wa shati unatunukiwa PhD kiroho saaaafi [emoji23][emoji23][emoji23]
Hajui kwamba ada ya mwaka mmoja tu inakaribia milion 4.
 
Umesema kweli ila tatizo lingine watu wenyewe vichwa vibovu sana kiti ambacho kimesababishwa na sera ya serikali wa kutaka vyuo vyote vizoe wahitimu idadi yote wasipatikane wa kukosa chuo matokeo yake ndio hayo wenye uwezo mdogo kuchukuliwa na chuo kama UDSM

Sasa kama mtu kichwani uwezo mdogo chuo kitawezaje kumuondoloea ukilaza?
 
Lazima nivitaje kwa sababu kwa hapa nchini ni miongoni mwa vyuo vinavyofanya vizuri. Mfano,ndaki ya informatics udom ndiyo muhasisi wa biometric fingerprints kwa ajili ya pesa ya kujikimu na ada ambayo kwa sasa inatumika na vyuo vyote, online students registration & result assessment pia wao ndiyo waanzilishi then vyuo vingine vikafuata, tukija Mzumbe kwenye fani ya sheria wanafanya vizuri kwahiyo lazima ni vitaje.
Ulivyosema tu hapo online students registration and results assessments nimekudharau,wenzako udsm wanatumia huo mfumo kabla hata udom hakijaanzishwa.
 
Elimu inayotolewa vyuoni inaweza kuwa ni ile ile tu kwa vyuo vingi maana hata waalimu wa vyuo vingine wengi wanatokea udsm.

Ishu kubwa katika hivi vyuo ni uzito wa jina la chuo, baaasi??

Mtu anaweza kuwa na gpa ya 4.3 kutoka vyuo vingine lakini mtu wa Udsm mwenye gpa ya 2.9 akapewa uzito kwasababu tu kasoma udsm.

Ukiangalia vizuri unakuja kugundua vyeo vingi sana vya serikalini vya juu juu wengi ni wahitimu wa udsm, ni kama vile wanabebana kifamilia.

Kupata nafasi tu ya kusoma udsm ni heshima kubwa sana, mtu anaweza kawa kapata divisioni 3 form 4, division 3 form 6 lakini akiinga tu udsm ana uwanja mpana sana kuliko kipanga aliepiga division 1 kali form 4 na 6 ila akaishia kusomea vyuo vingine.

Kwa lugha nyepesi, UDSM NI BABA LAO!!
Wewe ni mmoja wa wasomi wa nchi hii ambaye badala ya kutuonesha faida ya kile ulichojifunza hapo ud unaishia kusifia kwa maneno matupu. Ubora wa taasisi haupimwi kwa idadi ya watu waliopo ama heshima ya taasisi hiyo. Bali ubora wa taasisi hupimwa kwa matokeo ya kazi yake. Viongozi wengi wamepita hapo na kama nchi tunarudi nyuma kwa kasi. Nyerere hakupita udsm, mwinyi hakupita udsm. Bila shakaumenipata
 
Ulivyosema tu hapo online students registration and results assessments nimekudharau,wenzako udsm wanatumia huo mfumo kabla hata udom hakijaanzishwa.
Mifumo inakuwa updated kila siku, nenda utawala uwaulize mfumo wanaoutumia kwa sasa wameutoa wapi. Alafu ulivyomuvivu wa fikra, kama nadanganya ulitakiwa uweke ushahidi hapa kuniprove wrong, siyo una andika andika tu.
 
Back
Top Bottom