jackihi makosa
Member
- Nov 11, 2013
- 36
- 7
kujigamba kisa umesoma chuo "x" ni ushamba tu. Tunataka tuone mabadiriko chanya huku mtaani. Kupata GPA kubwa au ndogo alafu useless ni sawa na hamna ulichofanya. Soma vizuri (fuatilia na zingatia masomo) ili yakusaidie na usaidie binadamu wenzako.